toyota

  1. Toyota Ractis (EFP) Inauzwa

    For sale Toyota Ractis (EFP) Inauzwa

    YOM: 2011 Capacity: 1300cc Automatic Petrol From Japan . TZS. 15.9m . Call: 0717 650800
    TZS15,900,000.00
  2. Financial Analyst

    Toyota corola Axio ya 2009 imekaa mwake sana

    Toyota corola Axio Ina Nice design kwa kweli Sio vibaya watalaam watupatie moja mbili tatu zaidi kuhusu gari hili
  3. M

    Car4Sale Toyota Ractis (EFP) Inauzwa

    This thread is for the general discussion of the classified ad Toyota Ractis (EFP) Inauzwa. Please add to the discussion here.
  4. FAJES

    Ipi gari ya kuchukua hapa, Subaru Impreza, Mazda Verisa au Toyota Rumion?

    Wazee, Ushauri unahitajika. Karibuni. Nasikia Subaru Impreza zinasumbua engine, ni kweli?
  5. Mnyenz

    Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  6. Jerry magere

    Car4Sale NAUZA TOYOTA HARRIER CHASSIS 240G

    Make/Model:Toyota Harrier Fuel:Petrol Engine code:2AZ CC:2400 Color:Black Metallic Mileage:71,000kms New tyres✅ Sports Alloy Rims✅ Sunrooof✅ Yom:2003 Price: 37.5M +Free registration.
  7. B

    Toyota Rumion inaweza kitumika kama gari ya bolt?

    Wakuu, nipeni ufafanuzi juu ya hii gari Kwa matumizi ya bolt inafaa?
  8. Jerry magere

    Car4Sale Nauza Toyota Alphard 2007/ chassis

    Price: 24,800,000 + Registration. Low Mileage: 63,000km Cc: 2360
  9. Nguvuyabwana

    Msaada spea ya Toyota Alteza

    Wakuu kwema!?. Msaada tutani, nina gari aina ya Toyota Alteza ina engine ya 3s Yamaha imeua throttle(inajires na kuwasha chek engine muda wote). Wapi naweza pata spea!
  10. kingkimbe

    Naitaji control box ya Toyota duet

    Wakuu habari zenu. Kama kichwa kinavyosema hapo juu naitaji control box ya Toyota duet engine ni EJ-DE piston tatu msaada wenu tafadhali
  11. incredible terminator

    Wanaojua magari Naomba kujua changamoto za Toyota Sienta

    Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta, Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani? Hasa katika barabara za vijijini?
  12. M

    Car4Sale Gari Toyota Surf Inauzwa

    Gari: Toyota hilux surf Mahali: Morogoro mjini Bei ya kuanzia: Maeleweno yapo japo bei ya kuanzia ni Milioni 8 Gari lipo katika hali nzuri na linatembea lsipokuwa lina changamoto ya Cylinder head.Kama kuna yeyote yeyote yuko interested tunaweza kuwasiloana PM
  13. Makungu charles

    "ijue Toyota Harrier E new modern"

    Toyota Harrier ni gari la kifahari linalozalishwa na Toyota na linajulikana kwa muundo wake mzuri, utendaji bora, na faraja. Toleo la Toyota Harrier lenye jina la "E New Moden" linajumuisha sifa mpya na teknolojia ya kisasa ambayo inaboresha uzoefu wa kuendesha gari. Sifa za Toyota Harrier (E...
  14. M

    Toyota Porte kwa taxi mtandaoni

    Ndugu zangu habari. Baada ya baadhi ya shughuli zangu kwenda mrama nimeamua kufanya kazi ya taxi mtandaoni maarufu uber. Sasa nimekuja hapa jukwaani kuomba ushauri kutokana na gari nitakalotumia. Gari langu ni toyota porte, namba DX cc 1490. Hii gari huwa naitumia kwa shughuli za hapa mjini na...
  15. Satoh Hirosh

    Toyota IST vs Toyota Aqua katika biashara ya Taxi

    Habari wakuu, Kuna huyu mdogo wetu kitaani hapa amemaliza chuo miaka kadhaa iliyopita ila yupo home Hana mishe za kueleweka. Sasa Mzee kastaafu na ameshachukua kiinua mgongo. Dogo amemwomba Mzee anunue gari ili awe anapiga mishe za taxi mtandao(Uber,bolt nk). Chaguo lake yeye lilikuwa ni...
  16. Kitomai

    Car4Sale **FOR SALE: TOYOTA LANDCRUISER HZJ-79 SERIES. FOR DALE**

    Type: Pickup Double Cabin Model Year: 2017 Engine: 1HZ 12-Valve Black Top Cover Diesel Features: - Immaculate Interior 🔥 - Snorkel ✅ - New BF-Goodrich Tyres & Rims ✅ - Fully Serviced ✅ Price: 165 million TZS, includes free registration 💰🤝 For viewing, please call 0784225000.
  17. K

    Hivi hiki Kiberiti Toyota Vits Engine 1 KR CC 990 vipi uimara wake kwa matumizi ya Mjini

    Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990. Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam...
  18. Kaudunde Kautwange

    Changamoto ya toyota allex kutowaka baada ya ingine kupata normal temperature

    Wakuu habari, Nina toyota Allex, changamoto yake ni kuwa, nikiwasha, engine ikipandisha temperature kwenye normal inakuwa fresh, sema ikitokea nimezima, aiseee.. kuwaka tena inakuwa na changamoto sana, yaani hadi niiache ipoe kabisaaa... changamoto inaweza kuwa nini!?
  19. Chaz Joe

    Nahitaji kufahamu gharama za ushuru wa TOYOTA NOAH bandarini zikoje?

    Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu. Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza hiyo gari na kodi zote tafadhali nijuze
  20. Kitomai

    Car4Sale Toyota LANDCRUISER PRADO FOR SALE*

    * TRJ 150. Brown color. 2690cc.Petrol. Automatic. Number T...DDE. In good condition. Price 90mil Mawasiliano 0784225000
Back
Top Bottom