Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1.
Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
Ndugu mdau uliyekuwa ukitufuatilia kupitia mnakasha huu, tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na mabadiliko ya sera zetu, tumelazimika kufungua mnakasha mpya kwa ajili ya magari yanayotoka moja kwa moja Japan na nchi nyingine.
Hivyo sasisho zote kuhusu bidhaa na huduma zetu utazipata huko...
Wadau,
Poleni na kazi za kutafuta mkate wa kila leo.
Baada ya kukosa Toyota Noah ya kukodi nimeamua kujimwambafy kwa kutafuta ya kununua. Nahitaji Toyota Noah SR 40 ambayo haina zaidi ya miezi mitano (5) toka isajiliwe nchini Tanzania.
Gari iwe inatembea, isiwe na tatizo lolote, iwe na...
Habari,
Nataka kununua gari aina ya Toyota Avensis 2.0 D-4-D, hii gari inatumia mafuta ya Diesel. Kuna mtu ana uzoefu na hizi gari. Pia kuna mtu ameshawahi kununua hii na anayo. Nilikuwa nauliza kuhusu changamoto za maintenance na ushuru wake maana TRA sioni option ya ushuru wa gari kama hiyo...
Gari aina ya Toyota Noah au Hiace inahitajika kwa ajili ya kusambaza vinywaji vikali Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara kwa mwezi mmoja.
Dereva ni wangu, mafuta na matengenezo ya kawaida pia ni juu yangu. Budget yangu ya kumlipa mwenye gari (mmiliki/mkodishaji) ni laki sita (TZS...
Hili gari kwa familia kubwa nalipenda.
Naomba kujua madhaifu yake katika:
- Safari ndefu Dar to Mwanza
- Ulaji mafuta
- Kwenye barabara ya vumbi
- Bei yake yard
Naombeni msaada.
Make: Toyota Mark X 2006
Cc: 2490
Mileage:130,000
Seat: Leather seat 5, both front electronic
Airbag; 9
Sound and Radio: touch screen and subwoofer
Mirror: side mirror indicator
Key: push start
Price: 8,200,000
Location: Mbezi Beach Tanki Bovu
Tel: 0653 029400
Hivi hizi sticker huwa zinasaidia nini hasa. Na leo nimekutana na IST ina sticker kibao mojawapo imeandikwa OFF ROAD. Nikabaki kucheka. Hivi hizi sticker huwa zinawasaidia nini hasa jamani.
Price: TZS 14,000,000
Toyota VOLTZ impoorted and used for only 13 Months in Tanzania for sale by the owner
Facilities and specifications
- Km 117,000-Imported with 110,000 KMs (Rarely driven in Tanzania)
-New tyres installed Nov 2018
-Elegant music system
-Smart radio that support video
-Back...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.