Habarini wakuu na wale wazoefu mjini Dar, ni wapi nitapata spare parts za Toyota Noah, Corrola na RAV4 pia ningependa kujua wapi walipo mafundi wa kutengeneza Auto Transmission zinapokorofisha?
Ndugu wadau naomba kwa wale wenye uelewa juu ya aina hii ya magari, ubora wake, matumizi ya mafuta, na chochote kizuri kuhusiana na magari haya.
Pia naomba kujua mapungufu yake kwa wale wenye uzoefu nayo.
Je, kuna utofauti gani kati ya Toyota alphard "V" na Alphard "G" ingawa kwa macho huwa...
Habari za saa hizi members wa forum ya magari.
Najua humu kuna wazoefu wa Gari aina ya Ist. Ndio gari yangu ya kwanza nnayotaka kuinunua kwa sababu tatu.
I. Utumiaji mdogo wa mafuta (nachukua yenye cylinder ya 1300)
II. Nimeambiwa Haichemshi kwa safari za Dar - Moshi.
III. Upatikanaji...
Wasalaam Wanajamvi,
Sina Mengi naomba mwenye Kujua kuhusu gari aina ya Belta Kiujumla Msaada kwa Ufafanuzi.
Je, Belta na IST ipi gari bora katika kila Nyanja?
Nawakaribisha kunitoa Tongotongo na Ahsanteni!
Toyota Belta
Sifa
1. Rangi ni gold
2. Namba za usajili ni T244 DPS
3. Ukubwa wa injini ni 1490cc
4. Idadi ya km ilizotembea ni 77,000 kms mpaka Sasa
5. Inamwaka mmoja tokea imenunuliwa
6. Inabima kubwa iliyokatiwa mwaka huu
7. Hutumika kwenda kazini na kurudi tokea imenunuliwa
8. Haijafunguliwa popote tokea...
Toyota Kenya develops bridge mechanical ventilator
By Sylvania AmbaniApril 24th, 2020 1 min read
A pictorial view of the machine design and components. PHOTO | COURTESY
Toyota Kenya has developed a bridge mechanical ventilator prototype to help support patients with Covid-19 respiratory...
Ndugu zangu nataka kununua gari hususani brand za Toyota kama vile IST, Raum, Wish, Ipsum, Subaru, Kluger n.k.
Je, ubora na uimara wa injini nitajuaje au nifanye nini nisiingie pori?
Wadau naombeni ushauri. Mimi si mtaalamu wa magari ila nahitaji kuwa na gari kwa ajili ya familia ya watu kama saba hadi nane na matumizi ya hapa na pale, safari za kazini na mara chache safari ndefu za mikoani na hasa vijijini.
Ninahitaji gari ambalo ni rafiki kwa matunzo na mafuta na linaweza...
1998 Toyota corolla for sale.. Cc 1490, MANUAL Transmission.. 180,0000kms..Color white..Very good Condition.. Price Tzs 4.5 million
Contact 0717900640
Dar es Salaam
SOLD BY THE OWNER TOYOTA VITZ NEW MODEL-2008
Asking Price: TZS 8,500,000
Location: Dar es salaam, Tabata
Low Mileage: 64,000KMs
Number: T*** DNY
Imported: Dec 2017 with 59,000 KMs,
New Tires installed November 2019
No accident history, elegant and minty. All documents available.
Economy...
Toyota Raum ni gari dogo lililotengenezwa na kampuni ya Toyota na kuuzwa kwenye soko la ndani la Japan (JDM) kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2011 ambapo uzalishaji wake ulisitishwa rasmi. Gari hili liko kwenye kundi la magari madogo kwa ajili ya matumizi mbali mbali yajulikanayo kitaalamu kama...
Toyota Tanzania Limited is opening a new branch in Mbeya and is now seeking well qualified, result oriented, dynamic and enthusiastic professionals to fill in the following positions below:
1. Auto Cleaner
Good car washing skills, at least two years’ experience in a reputable carwash or...
Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi.
Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.