Kuna vuta naona inaendelea kwenye forums mbalimbali kati ya wapenzi wa Toyota Land Cruiser dhidi ya wapenzi wa magari ya kimagharibi.
Hapa nitaweka videos chache tu, wakishindanisha nguvu, uwezo wa kupita kwenye mazingira mabaya na kadhalika.
Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy.
Gari ambayo naweza enda...
Tofauti ya Harrier na Rav 4 Old Model
1. Uundwaji na Moboresho
Harrier iliundwa baadae miaka ya 1998 ikadumu mpaka 2002 wakati Rav 4 iliundwa miaka ya 1995 ikadumu mpaka 1999. Hivyo Harrier ilifanyiwa maboresho kwenye upande wa luxury haswa kwenye viti kua na mfumo wa umeme na uchaguzi wa...
Toyota Cresta
Automatic Gear
Full Ac
Full paid
Full documents
Cc 1980
Yom 1999
Engine Ni 1g Kavu
Big music inside
All Tyres are NEW
Price Ml 3,800,000/
Note Gari Ni YANGU na Bei haipungui maana haina tatizo lolote inaonekana Muda wote Kimara Mwisho
0744033555
Inakuwaje wanajamvi!
Kama mjuavyo Toyota land cruiser 200 series (viieite) wamesitisha utengenezaji kabisa. Sasa hivi utengenezaji utakuwa wa 300 series na picha zimeshaanza kuvuja itakavyokuwa.
Sijapendezwa na Hizi picha kwasababu body itapunguzwa upande wa juu utashuka kidogo.
Ila engine...
Wakuu nauza gari tajwa hapo juu
Reg: T---DFT
Toyota Ractis
Colour: Pearl white
Year of Manufacture : 2005
Engine Capacity: 1490cc
Condition: Perfect running condition with no accident history
Fuel Used: Petrol ( very economy).
Price: 8.8Milions ( price is slightly negotiable for serious buyer)...
Model: Toyota IST
Cc: 1490
Year: 2005
Full ac
Location: Kinondoni (Dar)
Price: 6,000,000
Contact: 0717599884
Gari ni nimeitumia mwenyewe, kwa atakayevutiwa karibu tuzungumze
HABARI YA MAJUKUMU?
KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU.
VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
bei nafuu
benz
biashara
bmw
gari
harrier
inauzwa
injini
japan
karibu
kuagiza
kuagiza gari
land rover
magari
majibu
manual
mayai
mbeya
mitsubishi
nissan
picha
siku
soko
subaru
toyota
usafiri
ushuru
viti
vitz
volvo
waagizaji
wazi
xtrail
Habari wakuu!
Nauza gari yangu mwenyewe, Make: TOYOTA, Model: IST, Year: 2005, Transition: Automatic, Engine CC: 1290, Engine type: VVT-i, Milleage: 81,900KM. Sport Rims, New Tires zimefungwa December 2020. Radio, Bluetooth
Bei 7,500,000 TZS
Bima kubwa hadi October 2021.
Gari imetunzwa vizuri...
Habari.
Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF.
Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa.
Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara...
Habari.
Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi.
Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga...
Toyota anatumia gearbox za aina tatu.
1. A type, ambazo zimefungwa kwenye SUV nyingi kubwa za Toyota. Mfano A343F iliyofungwa kwenye Toyota prado TX 1997.
2. U type, ambazo zimefungwa kwenye gari ndogo nyingi za toyota. Mfano U341E ambayo ipo kwenye NADIA .
3. CVT, ambazo zimefungwa kwenye...
Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam wamedai Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Lusubilo Mwakabibi ametumia ubabe kuilazimisha kamati ya zabuni kununua gari la mkurugenzi, Toyota Land Cruser XVR, kwa TZS milioni 470, huku manispaa ikikabiliwa na changamoto nyingi.
Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti"
Jana nikamsikia waziri wa Tamisemi Jaffo akisema DED wa Geita alitumia mwanya wa kuvunjwa Baraza la Mawaziri akakimbia haraka haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.