Wakuu
Naitaji bidhaa tajwa hapo juu mwenye nazo tafadhari naomba unipm
Ni shockup za nyuma
Niko dar es salaam, mwenye used na mpya wote tunaweza kuwasiliana
IST,
YOM: 2004
CC 1290
COLOUR:
silver
Engine iko poa
Some small scratches kwenye body hakuna changamoto zaidi.
karibu tumalize biashara: 0683011003
0683011003
Niwe mkweli, nilikua sijawahi kuendesha gari aina ya toyota crown na mbaya zaidi kwenye circle yangu hakukua na mtu anaemiliki toyota crown labda siku moja ingetokea by chance nikaiendesha.
Mimi binafsi preference ya magari yangu ni SUV kama Prado, Harrier ama Vanguard ambayo nimewahi kumiliki...
TOYOTA WISH AU IPSUM?- Kama alivyouliza mdau kwenye group
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
Ipsum za zamani zimeadimika, hivyo ntaongelea ile mpya kuanzia miaka ya 2001.
Toyota Ipsum inakuja na injini kubwa iitwayo 2AZ (Cc2400) yenye Vvti ambayo pia inapatikana kwenye Harrier Old na...
Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na rumion Yangu Hadi nilikuwa siamini jinsi hizi gari zilivyobarikiwa kuna nguvu, stability...
Toyota Noah
Category: Station Wagons
Transmission: Automatic
Colour: Gold
Engine 1998cc
Fuel: Petrol
Mileage: 200000km
Year of manufacture 2001
Condition: Used for 4year
Price: Tshs.Mil.11,500,000/=
Haina tatizo,njoo na fundi wako akague.
Maongezi yapo
Call#0652563680
Wasalaam,
Leo ningependa kuiongelea kidogo gari tajwa hapo juu ambayo ni miongoni mwa gari pendwa kwa wengi kutoka kwenye kampuni ya Toyota.
Toyota Allion ni gari ndogo (sedan/saloon car) yenye ukubwa wa katikati. Ilitambulishwa sokoni mnamo mwaka wa 2001.
Kwa sasa, Toyota Allion nyingi...
Nauza gari yangu toyota Carina Ti, haina tatizo lolote, AC inafanyakazi fresh. Bei ni milioni nane ( 8ml) Kwa aliye serious njoo tufanye biashara. Madalali kaeni pembeni tafadhali
Picha kwa maelezo zaidi..
Mawasiliano:0713114009
IFAHAM TOYOTA PROGRES- kwa ufupi
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagiza Magari
Utangulizi
Gari hii ndogo ya starehe ilizalishwa miaka ya 1998- 2007. Mshindani wake ni Lexus IS ingawa Progress inaelezewa kuundwa vizuri hivyo kutokua na mitetemo katika vumbi.
Injini na Mafuta
1JZ yenye Cc 2500-...
Natamani kuwa na Gari kubwa nzuri kwaajili ya matumizi binafsi.
Hapa natamani kujua Gari ipi nzuri kwa kuangalia vitu vifuatavyo.
1. Uimara
2. Matumizi ya mafuta
3. Service
4. Muonekano
Najua zipo Vanguard na harrier new model Ila Bei imenitoa huko haswa used Tz.
Ila kila nikiangalia hizi...
TOYOTA I.S.T INAUZWA
BEI MIL 7.5
FULL AC
MZIKI MNENE
NEW TYRE&RIM SPORT
CC 1290
ENGINE 2NZ
MWAKA 2005
KM 105000
Mahali iliko: BANANA DAR ES SALAAM..
#CALL 0683011003
Toyota CHASER BALLOON GX 90
Cc 1800 engine number 4s
Full tinted
Full documents
Reamsports
Safar popote mkoa wowote
call 0683011003
Location Ukonga
Bei million 2.5
Hii gari nimeipenda sana ilivyo na nafasi ndani, siti zake za nyuma zinaweza kulala kuongeza nafasi ya mizigo. Bei zake ni za kizalendo sana, nadhani kwa class yake ni gari ya bei nafuu kuliko zote. Injini ni 2.4 na inakuhakikishia power na durability. Kwanini wabongo hawajazichangamkia sana...
apartment
bagamoyo
bei
biashara
eneo
fuso
gari
heka
inauzwa
ist
kawawa
kibamba
kibiashara
kilimanjaro
kinauzwa
kiwanja
kiwanja kinauzwa
kuagiza
kuagiza gari
madale
magari
mbezi
mbezi beach
mkopo
n.k
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kupangisha
plot
shamba
subaru
toyota
uwekezaji
viwanja
yanauzwa
zinauzwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.