Wanajamvi nawapongeza kwa maoni yenu mazuri juu ya masuala mbali mbali.
Nahitaji kununua gari.
Naomba kufahamu kati ya Nisan Dualis na Toyota allex ipi ya kuchukua apa na kwasababu zipi.
Natafuta gari tajwa hapo juu mwenye nayo isiwe ya udalali. Nahitaji gari safi ilionyooka bila vipengele offer yangu 9M.
Nicheki DM fasta angalizo gari iwe number D yeyote ile ila gari iwe imetunzwa vizuri.
Kama gari yako imepasuka vitasa au dashboard na body iliobondeka bondeka kausha. Hii ni...
Wanajamvi Salaam.
Nahitaji kununua gari kwa mara ya kwanza, naomba kufahamu kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari bora na kwasababu zipi.
Natanguliza shukrani za dhati kwa majibu yenu mazuri.
Meya wa manispaa ya Moshi Juma Raibu aliingia ofisi na Toyota Landcruiser ila baada ya wajumbe 18 kumkataaa huku 10 wakitaka aendelee na kazi idadi kubwa ikashinda kutokana na tuhuma kadhaa zinazomkabili ilibidi akubali kuvuliwa wadhifa wake na kurudi nyumbani na "toyo" a.k.a bodaboda huku...
Hii kitu nimekutana nayo sana kwenye familia tatu za engine za toyota
NZ engines[1NZ-FE, 2NZ-FE]
AZ engines[1AZ, 2AZ]
na ZZ engines [1ZZ sanasana]
Sitotaja gari zinazotumia hizo engine sababu hata nikianza kuzitaja ni nyingi sitamaliza, lakini huenda zaidi ya 50% ya gari ndogo ambazo watu...
Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari.
Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana.
Ni size gani itafaa?
Sitaki tairi za Kichina.
Manufacturer: TOYOTA
Model: IST
Year - 2002
Engine Size: CC 1490
Mileage: 154991
Transmission: Automatic
Colour: Grey
Fuel: Petrol
PRICE / BEI: Tsh.8.8 Mil ( Milioni 8 na laki 8 )
MAWASILIANO :
ᴄᴀʟʟ ı ᴡʜᴀᴛsᴀᴘᴘ ı ѕмѕ: +255658090789
Wakuu habari,
Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. 🙏
Salam Salam wapigania Uchumi.
Nina Toyota hiace(dungu) ipo Tanga mjini. Nafikiria niisajili ifanye moja Kati ya kazi (routes) zifuatazo;
1. Kufanya town route(daladala)
2. Kufanya routes za nje kidogo ya mji..at least umbali usiozidi 70km.
3. Kufanya routes za mbali zaidi ya 70km.
4. Nyinginezo...
KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU
**************
♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️
***************
🔅VEHICLE DESCRIPTION
Make : TOYOTA
Model ...
bank of tanzania
bmw
canter
dodoma jiji
dualis
gari
hiace
honda
japan
kuagiza
kuagiza gari
landcruiser
mitsubishi
mkopo
music producers
nissan
nissan dualis
premio
series
starlet
subaru
subaru forester
toyotatoyota premio
van
vitz
Toyota GR Yaris ni Sampuli za vitz, Ila Toyota anazalisha hizi gari akilenga European market. Production yake imeanza last year
Kinakuja na Engine za aina mbili, 1.5L inline 3 na 1.6L inline 4 zote zikiwa na Turbo.
Pia kinakuja na gearbox za aina mbili, K120 CVT gearbox with first actual gear...
Habari ya wakati huu wakuu.
Mwenzenu nimeamua kuchukua Rumion ila sasa nimekuta kuna toleo la 2007-2008 na toleo la 2010-2015.
Haya matoleo mawili nimeona yana tofauti ndogo za muonekano; show ya mbele, ndani kwenye dashboard hasa sehemu ya AC na ndani kwa nyuma. Sijui kuhusu uimara...
Wakuu
NAHITAJI mtu mwenye gari aina ya Toyota Ist aniuzie. Iwe Cc 1290. Isiwe imerudiwa rangi au kusushwa injini. Namba DF na kuendelea. Awe mwenye gari sio dalali.
Mwenye nayo anicheck- PM
IMESHUKA BEI
TOYOTA VITZ
Full A/C
Cc 990
4 piston
No mechanical problems
imebadilishwa rangi
Bei: mil 4.5
Simu- 0713096076
ipo kawe, Dar es salaam.
Serious customers dont comment. Pls call asap
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.