Kwa takwimu zisizo Rasmi 75% ya magari yote Tanzania ni aina ya TOYOTA. Suala lililobaki ni kuchukua takwimu kutoka TRA ndani ya miaka 10 ni magari mangapi aina ya TOYOTA yaliingia Tanzania (mapya na yaliyotumika) jumlisha na mengine yalikuwepo ambayo bado yapo barabarani + yale yaliyoagizwa...
.
Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama wanaendesha big SUV..
.
Kama ile old gari ni ngumu na himilivu aisee ndo maana wakaiita Land Cruiser mtoto na...
Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
Kwa miaka yangu mingi barabarani.. Gari zinazoongoza kuishiwa na mafuta njiani ni Toyota hasa hasa hizi wanasema zinanusa tuu mafuta.. Yaani mafuta yanaisha yote mpaka tank inanukia kutu.. Pump inashindwa kunusa inakata.. Gari inanusa tuu mafuta ila bado dereva anatembea na kidumu..taa ya low...
Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota.
Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza.
Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari...
Habari ya usiku wakuu.
Nimekuja tena kijana wenu kwani naamini JF ni uwanja wa suluhisho.
🔥Ninahitaji TOYOTA RAUM NEW MODEL iwe na engine ya 1490cc.
🔥Gari iwe na namba kuanzia DW, DX, DY, na kuendelea.
🔥 Iwe katika hali safi kabisa isiyo na tatizo lolote
🔥ISIWE rangi nyeupe.
🔥Iwe na nyaraka...
American consumer reports inasema Toyota ni gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani zikifuatiwa na BMW. Mazda, Honda na Audi.
Magari ya Kimarekani kama Ford, Tesla nk ni magari yasiyoaminika kabisa nchini Marekani.
Habari zenu wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada naomba maelezo kuhusu kununua gari hiyo pichani yaani rav4 1995-2000 mkononi (used)uliyotumika hapa Tanzania ni vitu vipi vya kuzingatia, Budget ni mil 7
Wakuu kherii!
Inahitajika gari tajwa hapo juu.
Iwepo dar.
Iwe rangi nyeusi.
Tukikubaliana bei nakuja na fundi kukagua gari fast tunafanya biashara.
Nicheck 0747282028
Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c
Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana ndugu mteja.
Mawasiliano
0718982463.
Habari wakuu,
Nimekuwa nikipitia nyuzi nyingi kuhusu magari tofauti lakini sijabahatika kukutana na uzi ukijadili Toyota Altezza na Subaru Legacy ni gari ambazo natamani kununua.
Naomba kufahamishwa pros and cons zake, binafsi sina uzoefu au ujuzi wa magari, hivyo nategemea kupata maoni yenu...
Kampuni hiyo ya kuunda Magari imesema taarifa zilizovuja ni pamoja barua pepe 296,019, namba za wateja wanaotumia mfumo wa T-Connect na namba za simu zinazounganisha magari kupitia mtandao.
Wateja walioathiriwa na kuvuja kwa taarifa hizo ni kutoka duniani kote na hasa waliojiandikisha kwenye...
Tarehe 13 October 2022 nitakuwa na send off ya bint yangu. Mwenye gari la kukodisha aina hizo hapo juu na liwe rangi nyeusi tuwasiliane. Root itakuwa kutoa ukumbini (Baracuda Hall) Tabata Baracuda saa za asubuhi kwa ajili ya kupambwa gari.
Baadae jioni litamfuta Kimara Korogwe (salon) na...
Kama ambavyo imekua desturi sasa, Toyota ni mojawapo wa makampuni ambayo yamehama Urusi rasmi, nchi inaendelea kutumbukia kwenye shimo kiuchumi, huku Putin akikusanya wanywa gongo wakapambane pale wanajeshi rasmi wameshindwa.....
Amid Russia's ongoing war with Ukraine, Toyota announced it will...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.