Wadau,wazoefu na mafundi,kwa kipato changu cha kawaida nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc,vigezo
1.ulaji mdogo wa mafuta
2.upatikanaji na unafuu wa spare
3.uimara wa gari rafu road
4.uimara wa vipuri.
Hello wanajukwaa.
Nina Toyota Alpha huwa natoka nayo mara kadhaa niki
Huwa ni my choice hasa pale napoenda sehemu na watoto ila huwa wanapenda kuruka ruka hasa pale nikiwa nimepaki kwenye foleni, kwenda kuwanunulia juice dukani, n.k.
Hali ya kuruka ruka kwao inaleta mgandamizo na kuifanya...
Wadau, naomba kujua, kwanini toyota raum 1490cc watu hawazichangamkii sana? zina madhaifu gani?
Vipi kuhusu
1. Uimara na uvumilivu rafu rodi
2. Ulaji wa mafuta
3. Upatikanaji na bei ya spare parts.
4. Kuilinganisha na allex, runx ni sawa?
je kati ya model hizi ipi nzuri kwa ulaji kidogo wa mafuta?
Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana,
Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya.
Wake wataalamu tunawasikiliza.
Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
Wakuu njia yangu ina rafu rodi kama km 7 baada ya hapo ni lami safi, kipato changu cha kawaida, safari yangu kwenda na kurudi home ni km 110, kati ya hizo, Corona,Carina Ti na Allex nichukue ipi?
Kipimo ni uvumilivu rafu road, ulaji kidogo mafuta, uimara wa gari, upatikanaji spea.
Dukani bei yake si rafiki, kama kuna mtu anayo labda nyumbani kwake au kwenye gari lililokatwa screpa naomba tuwasiliane , pengine naweza kuipata kwa bei rafiki zaidi kuliko dukani inakopigwa AC na kulipiwa kodi kila mwezi 😂😂
Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana.
Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid.
Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa kama central attacker huku vitz akitokea pembezoni mwa uwanja kama winga.
Kutokana na mabadiliko...
CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota.
Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14.
Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012...
Hili gari origin yake ni crown majesta, engine 3.5Ltr 😬😬lakini Usiiogope 😄😄maana ni HYBRID, mfumo wake ni CVT yaani kiufupi ulaji wake wa mafuta ni kama wa 2.0Ltr engine cars😋😋 kwa average ni 15km/ltr . Hii ni premium Edition ya crown iliyotengenezwa miaka iyo na kama tujuavyo kwa Majesta ndio...
Wakuu,
Nina Toyota Premio f niliagiza kutoka Japan mwaka jana mwishoni. Gari imekuja na rim size 14 na nikipita barabara ya vumbi kuna wakati inagonga sana chini, kwenye mlango wa dereva kwa pembeni kuna hizi options zimeandikwa kama inavyoonekana kwenye picha niliyoambatanisha hapa(Pamoja na...
Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha.
Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona...
Habari wa ndugu. Naulizia yard ambayo naweza kupata gari aina ya Totota Town Cruiser. Najua Toyota wanazo ila wanauza mpya na bei zao siziwezi.
Nawasilisha
Gari ni yangu mwenyewe
Imelipiwa bima kubwa - 1,239,000
Leather seat Safar automotive
New tyres
Km 79,000 - OG
Gari haina kasoro yoyote
Bei 31m
Call/watsap 0715140001
Wadau kama kichwa cha habari hapo juu, nina succeed juzi kati nikafanya service, nikataka kubadilisha AC AIR FILTER. Ajabu ni kwamba fundi ananiambia succeed hazina mfumo wa AC AIR FILTER. Mafundi nisaidieni hapo.
kati ya toyota carina ti vs toyota allex,ipi imetulia
1.ulaji mafuta
2.upatikanaji spare
3.unafuu wa spare
4.kuhimili rafu rodi
5.uimara wa bodi,engine,gbox etc..
Dear Wadau,
Please kindly find the below snaps and Table 1: 1999 TOYOTA HILUX SURF SSR-X V SELECTION for your information and consultation.
Kwangu reliability and durability kwenye gari are the key inputs ndio maana nimechagua 3RZ over 1KZ that's why naomba ushauri kwa wadau wote ambao ni...
Linapokuja suala la kuunda ndinga ambazo zina high performance na higher fuel efficiency Mjep huwa hakosei.
Na hapo ndipo alipowapiga Westerners na kitu kizito kiasi cha kushindwa kupenya soko la dunia na hasa Afrika kwa kuwa magari yao ni aghali sana kuyatunza.
Toyota Innova Hycross: ukipenda...
Nataka kununua, toyota carina ti mkononi kwa mtu, naomba ushauri kwa wazoefu wa magari/engine, juu ya
1. Uimara wa gari
2. Upatikanaji wa spare
3. Ulaji mafuta
4. Bei za spare kuwa juu au kawaida
5. Uvumilivu wa gari, barabara za vumbi.
6. Gari kuhimili safari ndefu, mfano Dar to Kigoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.