Nataka kununua Toyota wish namba D aya mwanzoni iwe nyeusi kwa 7M kama unayo naomba namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
alphard
athlete
bmw
crown
dualis
inauzwa
ist
kali
nauza
new
nissan
nissan dualis
noah
premio
raum
sale
sana
series
shape
subaru
subaru forester
toyotatoyota wish
wish
Wasalaam.
Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.
Nawaza hizo ideas mbili, aidha (a) Kufungua Uwakala wa Bank ama (b) Kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) na kuipeleka route za vijijini.
Location: Ndani ya Mkoa wa Geita.
NB: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo, sijawahi kuzifanya...
Wakuu naomba kufahamu wataalamu wa magari, je ni wazo jema mtu kutaka kuuza Vanguard ya mwaka 2011 na kutaka kununua Nissan Extrail ya mwaka 2016.
Naomba uzoefu na ujuzi wenu wakuu.
Gari zote hizi hapa chini.
Majuzi nilipata Pancha kwenye barabara ya lami yenye mashimo tairi ikachanika. Tairi ilikuwa tubeless.
Kwa kuwa Nilikuwa kwenye mji mdogo sikupata tairi tubeless hivyo nikaweka yenye tube. Baada ya hapo usukani hautulii. Kabla ya hapo kwenye barabara iliyonyooka ningeweza kuachia usukani na...
Ndugu zanguni natafuta Coaster ya abiri 29, gari itasafiri na watoto wa shule kwa siku tano mbugani Serengeti, baada ya kumaliza ziara gari itarudi kwa kupitia Bunda, Mwanza, Dodoma mpaka Dar, mafuta, huduma za gari na huduma za dreva itakuwa juu yako, naomba tufanye maelewano kupitia - 0734 933...
Habari wakuu,
Nilinunua gari langu tangu mwaka 2016 ilipofika mwaka 2017 lilianza tatizo lakuwa linakomea gear namba 3. Nilikaa nalo kwa muda karibia miezi sita ndiyo kuja kupata ufumbuzi ni knock sensor.
Nilitafuta used zikawekwa na tangu siku hiyo gari likapona na kurudi uhalisia wake...
Picha: Toyota Wish New Model
Nimeziona hizi gari natamani kufahamu ubora na mapungufu yake. Ninahitaji gari ndogo kwa mizunguko ya town na safari za Dar Morogoro.
So iwe inatumia mafuta vizuri na pia comfortable kiasi flani. Nina gari kubwa ambayo safari za kila weekend na foleni ya kuanzia...
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Kimweri (mwenye kanzu) akimkabidhi mshindi wa kampeni ya Benki ni SimBanking, Mayani Yahaya Hassan mkazi wa Dodoma funguo ya gari baada ya kuibuka kidedea katika droo iliyochezwa mapema mwezi huu. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Benki ya CRDB ambao walishiriki...
Wadau hamjamboni nyote? Hiki ni kisa cha kweli ambacho kilitokea Moshi.
Tarimo na Mwasha walikuwa marafiki wakubwa na wote ni wafanyabiashara, japo Mwasha tajiri zaidi. Mke wa Tarimo ni Daktari Serikalini.
Tarimo akamtongoza mke wa rafikiye. Mke akamwambia mumewe kuhusu jambo hilo na fumanizi...
Habarini Wakuu,
Nataka kununua Toyota Crown Althele ya 2005-6 nataka kujua fuel consumption na Services.
Na Kusafiria Dar-Moshi inaweza kucost pesa ngapi kwa Fuel
Iwe na Engine 4A, 5A na Automatic Gearbox (manual tutaongea)
Iwe imetunzwa vizuri hasa body liwe limenyooka
Namba yeyote lakini bora zaidi kuanzia B, C, D
Iwe popote tanzania iweze kufika Dar hata kwa gharama yetu
Bei ni makubaliano kulingana na hali ya gari
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.
NB: Ni kwa ajili ya kutembelea...
Naombeni ushauri kwa wale wanaozijua gari za Toyota corona, maana kuna mtu anaiuza na ni namba B, nipo kweny process ya kuilipia na kuifanyia matengenezo mdg mdg.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.