Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.
Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.
Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?
Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi...
NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX.
Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000.
Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.
Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011
Iwe namba E
Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem
Price yangu ni milion Tisa
Niko dar es salaam
Kama kuna mtu anayo please ndm
TOYOTA KLUGER
Mil 20.5 NATOA BOX 5
INA SUNROOF
MODEL
ENGINE 2AZ CC 2360
KM.91930
FULL DOCUMENTS
NEW TIRES
COLOR BLACK
LOCATION DAR ES SALAAM
0714787795
Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.
Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya
1. Utumiaji mafuta
2. uimara
3. Speed
4. Kupatikana vipuri
5. Ukisasa zaidi
6. Mwonekano mzuri.
7. Bei zake sokoni
Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari kwa whatsapp 0656388678. Iwe model ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea. Bei isizidi milioni 40...
Habari zenu wakuu
Nmejichanga changa nikapata milion 12 za kuvuta kausafiri, nategemea kuvuta kutoka mkononi mwa mtu. Sina hela yakuongezea kuagiza gari mpya sina uwezo huo.
ili niondokane na kero za usafiri wetu wa Dar es Salaam wa daladala.
Naomba mnishauri kati ya gari hizi ipi itanifaa...
Kenya na Toyota Tsusho Corporation ya Japani wametia saini makubaliano ya mfumo wa ushirikiano katika utengenezaji wa magari na maendeleo ya nishati mbadala.
Makubaliano hayo yatawezesha Toyota kuanzisha kiwanda cha kutengeneza magari nchini. kampuni imefanya uwekezaji wa awali wa Kshs 800...
Wakuu kwema?
Siku ya Jumamosi nilisafiri na gari yangu Toyota Premio F(1490cc) kutoka Arusha kuja Dar es Salaam. Ilikuwa ndo mara ya kwanza kusafiri safari ndefu kwa kutumia hii gari kwa hiyo nilitaka kujua pia consumption yake ya mafuta highway iko vipi.
Siku ya Ijumaa niliweka full tank na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.