Wengi tukiongelea Toyota IST tunaongelea first gen na 2nd generation, ambazo nchi nyingine ikiwemo America na UK wanaziita Urban Cruise.
Sasa leo, jamaa kutoka JP wamezindua generation nyingine ya Urban Cruise ambayo ni full EV.
Inakuja na power options mbili, kubwa ni AWD, 182 hp dual motor...
Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia inakuwa kama inamiss hivi sasa sijajua kama ni ishu ya Fuel Pump au maana hata nikijaribu piga ress...
Toyota, wakongwe kutoka Japan waliokataa kuingia EV miguu yote, wamezindua EV sedan inayoitwa BZ7.
Tukumbuke BZ ni series ya EV kutoka Toyota ambazo amekua akishirikiana (co-develop) na Mchina.
This time, BZ7 ameshirikiana na GAC na kutumia battery za BYD.
Sida zaidi hatujapewa ila kwa...
Wakuu naomba msaada kujua Toyota rav 4 miss TZ naweza toa mlango wake na kuweka mlango wa vanguard yaani rav 4 isiyokuwa na tairi nyuma ya mlango? Pili Kama ni ndiyo naomba kujua Bei ya mlango huo kwa used
Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje.
Amesafiri nami nimefika kwake nitakuwa hapa kwa 3 weeks so ni gari ambayo nitaitumia sana kabla sijarudi nchi za watu...
Hizi ni baadhi ya Model chache za magari ya TOYOTA na maana zake.
Baadhi ya Model za Toyota na tafsiri zake.
CAMRY - japanese for crown(taji)
LAND CRUISER - uwezo wa kwenda popote
RAV4 -Recreational active vehicle with 4WD gari ya burudani inayotumika yenye magurudumu manne yanayoendesha...
NB📌COMPREHENSIVE INSURANCE COVERAGE IS IN EFFECT/ACTIVE✅
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 31.8M
Call📞0747 999 927
TOYOTA VANGUARD
Year: 2010
Engine: 2360Cc
Mileage: 79,000+
Transmission: AUTO
✨Sport Rims
✨Back Camera
✨Push To Start
✨Android Radio
✅Clean Interior
✅In Good Condition
✅Exchange Possible
Wanabodi
This is a developing story
Yaani story muendelezo
Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo...
Kwenye biashara iwe ni service provider au manufacturer kuna kujenga brand name lakini pia kuna logo ambayo kazi yake kubwa ni kuitambulisha brand yenyewe.
Logo ni sehemu muhimu ya kutangaza brand, huduma, bidhaa au biashara. Ni moja ya kipengele ambacho kinahitaji designer mbunifu sana ili...
Habari zenu wanaJamii..
Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002.
Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption. Nafaham zipo za 2.2cc, 2.4cc na 3.0cc. Ofcourse ningependelea yenye 2.2cc kulingana na factor yangu ya...
Ni vita na mapinduzi zaidi kutoka China yanaendelea katika sekta ya magari.
Deepal wanekuja na hybrid na EV tatu ambazo zimeletwa mahususi kupambana na SUV, offroad trucks na Executive Sedans.
Deepal G318
Hii ni REEV off-road SUV inayokuja na four au two wheel drive, ikiwa na engine ya 1.5L...
FJ Cruiser gari moja ya kibabe sana, walianza nayo tokea 2007 uko ila wakaipotezea hadi leo hawajawahi tuletea 2nd generation.
Sasa inakuja. Ingawa bado ni rummors ila picha zimeanza kuonekana uko kwa wenzetu. Kuna uwezekano tukafurahi wazee wa mandinga ya ajabu.
Baadhi ya watu wanasema...
Habari wadau, naomba kuuliza, ni ipi kati ya Mark X 2007 na Crown Athlete 2007 yenye fuel economy kuliko nyenzake?
Nafaham zote zina zinatumia engine ya 4GR japo kwa Mark X Kuna pia 2GR na 3GR ile ya Cc 3000.
Lakini hapa namaanisha ile 4GR ya cc2500 2WD na Athlete Crown yenye cc2500 2WD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.