Wasalaam wakuu,moja kwa moja kwenye mada.
Mimi Napenda Sana hili gari Aina ya Toyota ipsum old model,yaani hii gari ipo moyoni sio siri.
Naomba kujua bei yake kutoka Japan mpaka Dar au kama nikitaka kununua kwa mtu,inachezea bei gani?Ila iwe nzima plate namba walau iwe DS.
ONDOKA NA GARI KWA BEI NAFUU SANA KARIBU WHATSAPP KWA MAELEZO ZAIDI
1.TOYOTA SPACIO
ENGINE 1zz
Engine cc 1970
Full Ac
Full Document
Bei Mil 8.8
2.RAUM NEW MODEL 2004
REG #DE
Low Milleages.
Engine 1nz
CC 1490
Full Ac
Full Document
All duties and tax payed
Bei Mil 8.8
3.TOYOTA IST 2004
REG #DR...
Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rangi bajeti yangu 10.5M.
Sitaki iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali.
Habari nauza toyota Passo
Maelezo :
Toyota passo
Cc 990
Piston 3
Rangi Pearl
New tyres
Full ac
Iko kwenye hali nzuri kabisa ,Haina changamoto yeyote ,
Price : 6M
MAWASILIANO: 0754200363
Wahi chap
Wakuu nadhani ni Tanzania pekee ukiwa na gari sio Toyota spare zake kupata ni mlolongo kidogo.
Nchini Kenya, Uganda au Rwanda gari yoyote una miliki na spare zipo ila Bongo ndo kipengele kingine.
Nimeanzisha uzi huu tupeane tarifa ni wapi (maduka yapi) kwa TZ Dar/Mwz/Arusha/Mbeya mtu anaweza...
Tunamalizia ushindi wa Simba na sherehe za 8-8 kwa kukuletea chuma kali kwa bei mtelezo
Toyota Chesa hyoo ipo posta DAR full Ac Tair Safi bei imepoa mil 3 top njoo chap 0713-096-076
Wahi chap tuache comments zisizo na mashiko.
Wadau naombeni ushauri wenu,
Nataka kununua toyota rush,kwa matumizi binafsi na kwenda kazini.
Vipi kuhusu durability,spea,ulaji mafuta, mwendo barabarani, matatizo yake nk.
Nimetoka sehemu na gari yangu, kufika home nacheki tairi ya nyuma kushoto, dah yote imelowa oil
Kumwita fundi anasema ni oil ya diff, seal ya ekseli imekufa.
Nikicheki mfukoni, mambo yako ovyo vibaya sana, fundi akatoa oil seal, kwenda dukani wananiambia sh 5000/(elfu tano), nilijua labda...
Toyota Noah Namba T.169 DGH inauzwa. Ipo Dar es Salaam
Ni 4 Wheel Drive
Ya Mwaka 1996
Imetembea KM 276,907
Bei Tsh.9,100,000
Mhitaji anakaribishwa namba 0765451014
Asanteni
Ondoka na hii Toyota Rumion 2007
✅CC 1490
✅2WD
✅Black Mettalic
✅ Automatic
✅Utumiaji wa Mafuta 16.2km/l
✅Bima bure(Third party)
✅BEI:17M Pamoja na usajili
LIPA 5M Gari ikifika malizia ama lipa nusu gharama nyingine lipa kidokidogo kwa mwaka mzima(mkopo) Ipo #MillesMotors Sinza Mori...
PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
bmw
discovery
dualis
fuso
isis
mark x
mazda
nissan
nissan dualis
note
offa
pdf
raum
scania
series
spacio
subaru
subaru forester
suzuki
toyota
ubaya
ufupi
ushauri
volvo
wapenzi
Wakuu,
Toyota Probox hii ina kama mwaka mmoja toka niingize nchini toka Japan. Imekuwa ikifanya vizuri toka nimeinunua ila hivi karibuni, ilianza kupunguza nguvu, haiendi zaidi ya 80KM/HR barabarani na kwenye mlima haizidi 40km/hr.
Mlio wa gari pia umebadilika sana na inakula sana mafuta sasa...
UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO.
TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU.
●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi
●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu
●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
Kampuni ya uzalishaji wa magari ya Toyota imesema itasitisha shughuli za uzalishaji katika viwanda vyake nchini Japan mwezi huu kutokana na marufuku ya kutoka nje kwa #Covid mjini Shanghai.
Hii ni kampuni kubwa ya pili ya magari kutangaza kuwa inaathiriwa na marufuku ya kutoka nje ya Covid-19...
Naomba wataalamu mnisaidie mada tajwa hapo juu nimekutana na markII namba A jamaa anataka 2.5M is he correct? Vip vipul na ulaji wa mafuta mim ni mgen kwenye magar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.