Wandugu, nimekutana na changamoto hiyo kwenye gari langu kwa mda wa zaidi ya miezi 4 sasa nimejaribu kuonana na mafundi tofauti dhidi ya watano kla mmoja alifanya alichozani ni tatzo, nimebadili coil, o² sensor , control box ,cylinder head, plug, pump bila mafanikio ila ikiwa na miss ukifungua...
Kwanza tunawashukuru Nissan kuja kufungua kiwanda cha magari Tanzania. Sasa ukitaka Toyota nenda kanunue Kenya maana huko nasikia Toyota wamefungua/wanafungua kiwanda. Ukitaka VW nenda Rwanda maana huko tayari kiwanda kipo.
Ila Nissan, Tanzania ndio zitakuwa zinaundwa.
Nasikia hata hao VW...
Kuna mtu anahitaji Toyota Noah, roadtour yenye namba C au D. Ana kianzio cha shilingi mil tano, nyingine atamalizia baadae.
Kama unayo au kuna mtu anayo anataka kuisukuma, tafadhali, weka namba zako hapa, utapigiwa simu.
Mwezi huu wale wazee wa torrent imetoka hii filamu ya James Bond kwa jina la no time to die ,katika kutazama hii filamu nimeona scene ambayo imenifikirisha kwa nini na kuna maana gani?
Mapema land rover walitoa video fupi ya no time to die ambayo ipo YouTube, cha kushangaza ni James Bond...
TOYOTA IST NAMBA D NZURI (Mwaka 2004)
Haina tatizo lolote, Haijafunguliwa engin
Well maintained, Full paid documents
Engine Type 2nz, Engine capacity 1290
Haijarudiwa rangi, Full aircondition
Bei 10.5million maongezi yapo
PiGa 0621604087
WhatsApp 0621604087
Call 0621604087
Toyota IST ya 2007, 1490 CC, 63,800 KM.
Price/Bei: TSh 14.5 million
Inuzwa na mmiliki (hakuna dalali).
Ipo Mbweni malindi/Mbweni JKT, Dar es Salaam.
Wasiliana 0759970963/ Whatsapp 0625536529
2007 Toyota IST
Details
Price negotiable: Yes
Condition: Used
Year: 2007
Make: Toyota
Model: IST...
Assalaam Wanabodi,
Nauza gari yangu aina ya Toyota Mark II Gx 100. Gari hii iko katika hali nzuri. Haijaguswa Engine wala Gearbox kwa matengenezo yoyote.
Changamoto kidogo iko kwenye bodi, sehemu ndogo sana ya juu imelika kutokana na chumvi ya bahari hapa Dar es Salaam. Na hii ni kutokana na...
Bila Catalytic Converter kuna sumu zinazotoka kwenye moshi ambazo zitakuwa zinaingia kwenye hewa.
Sumu hizo hazifanani kulingana na aina ya engine,
Engine za petrol hutoa Hydrocarbons, Carbon monoxide pamoja na Oxygen gas.
Engine za Diesel hutoa NOX, Oxygen gas pamoja na Carbon dioxide...
Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo.
Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.