MAJINA YAMAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE.
Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni ya Toyota ni ya mtu na famila yake .
katika ukuaji wa biashara , katakana co.ltd , ilibadilishwa ...
Katika kufanya diagnosis na kurekebisha matatizo mbali mbali kwenye magari. Asilimia kubwa ya gari nilizokutana nazo ni gari za japan mathalani gari za toyota japo nishakutana pia na gari za ulaya kama BMW, Land Rover na VW na gari za US kama Jeep na Ford.
Experience yangu mbaya kwenye kufanya...
Habarini wapendwa kwema!!! Nina gari yangu aina ya Toyota corolla fielder shida kubwa kila nikiiwasha inawaka halafu inazimika nikirudia tena bado inazimika, ila ukiiwasha halafu ukaikanyangia moto hata kwa dk 3 mpk 5 ikishapata moto engine ndo inawaka.
Nimeshaipeleka kwa fundi lkn bado shida...
Nimepata mashaka makubwa sana baada ya kutizama hizo kilometre na usajili wa gari yaani gari imesajiliwa muda mrefu lakin imetembea km chache sana nika muuliza kulikoni gari inausajili wa BAC wa muda mrefu lakini gari imetembea km chache kiasi hiki? Akanijibu tangu imenunuliwa ilikuwa haitumiki...
Pick-up double cabin
White
Imported from: great britain
Manufactured: 2004
Manual
2kd
D4d
Current location : moshi
Whatsapp /call 0713683422
Owner is a doctor
Reason for selling: requires automatic same vehicle due to left leg injury
Price: 28 million
Naomba kujua bei ya oil ya gear box ya Toyota sienta,
Pia nikiwasha gari nyakati za asubuhi au injin inapokuwa imepoa huwa inatoa muungurumo wa juu kana kwamba nimekanyaga mafuta... Kisha baada ya dk 1 inatulia.
Msaada tafadhali
Habari,
Nauza gari Aina ya Toyota Verossa number DAK haina tatizo lolote unawasha gari na kwenda safari kokote, gari ni yangu mwenyewe nauza ili nibadilishe au pia tunaweza kubadilisha na.ukaniongeza hela.
Bei ni 6.8M hata ukiwa mkoani unafikishiwa kwa usalama na uaminifu.
Kwa picha naomba...
Wakuu habari za leo,
Nina mpango wa kuagiza gari Japan, ninafikiria zaidi Harrier New model au Toyota Kluger za mwaka 2004-2006, nahitaji kujua ubora na udhaifu kati ya hayo magari mawili, na ushauri wa lipi niweze kuagiza.
Pia anaejua kuhusu calculation za mapato TRA na kulitoa gari...
Hizi Toyota Noah za namna hii watu wamekuwa wakilalamika sana kuhusu body yake kuwa si imara. Actually hii ni gari ya mizunguko ya town si ya kwendea shamba.
Ukiacha malalamiko ya kuwa Body yake ni nyanya nini kingine tatizo kwa gari hii? Kuna ndugu yangu anataka inunua kama gari ya family...
PRICE: 8,000,000 (maongezi yapo)
Model: Toyota HARRIER Lexus
Registration Number: A....
Colour:Silver
Engine: Petrol 2994cc VTI
Year 1999
Seat Capacity 5
Music redio
Full AC
Full documents (File)
Clean Seats
Trans Automatic
Imported from Japan
Kama upo serious , Whatsapp number 0764111116
The fourth Generation Toyota Coaster ilitambulishwa rasmi mnamo tarehe 22 December 2016 na kuwekwa sikoni Japan kwa ajili ta mauzo tarehe 23 January 2017.
Gari hii inapatikana ikiwa na aina za injini zilezile za matoleo ya machaguo ya model zilizopita ambazo ni 3B,13B,14B,15B-T,1HZ,1HZ-T na...
Habari za muda wakuu,
Naomba ushauri juu ya haya magari mawili. Lipi ninunue
1. SUZUKI JIMNY 2013 1.3L, manual transmission.
Hii gari ilinunuliwa mpya 0 km, hivyo usajili wake ni no. C. Ilikuwa ni ya shirika moja la kimataifa wao huuza gari likifika miaka 7 au km 70,000 mileage. Hivyo nina...
wanajamvi nataka ninunue toyota noah old model, milango minne, ili niwe nabeba abiria mbeya to Dar, sasa nasikie kuna aina nyingi za toyota noah. Mfano, field tour, town ace, super lymo extra nk, Sr40, Sr 50, Ipi ni nzuri kwa uimara, kusevu mafuta, uvumilivu kwenye ruti ndefu.
Nawasilisha.
Recently registered number DT
Pick up single cabin African specs from Toyota Tanzania special for Africa
2010 model year
1hz diesel power with black top 16-valve
New four tires by GT-RADIAL mounted with original cruiser rims
Wide screen dashboard
The car is clean with a very immaculate condition...
Wakuu,
Naomba Mdau yoyote mwenye User Manual (Mwongozo wa Mtumiaji) gari ya aina ya Toyota Probox anisaidie. Nahitaji soft copy ya mwongozo huo. Waweza attach hapa.
Asante
Recently regisered no.DUJ
Black mettalic color
2008 model
5-seater passenger
2.4cc engine capacity
2AZ-FE VVTI
Engine 4-cylinder 16-valve
Automatic Gear Transmission
•Low mileage 72,855km
All four new tyres with original rim sports
Clean and neat car
The car has all necessary documents...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.