Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001.
Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa.
Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena.
WhatsApp 0712 148001.
bajaj
benz
brevis
carina
fuso
ist
kilimanjaro porters assistance project
kushuka
land cruiser
magari
mama salma
mama samia
mazda cx-5
mazda demio
mazdacx5
milioni
mitano tena
noah
passo
pickup
pilau la mama samia
prado
range rover
raum
simba fc
suzuki escudo
suzuki swift
toyota
vitz
wadau wa biashara
Wakuu kwema!?. Msaada tutani, nina gari aina ya Toyota Alteza ina engine ya 3s Yamaha imeua throttle(inajires na kuwasha chek engine muda wote). Wapi naweza pata spea!
Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,
Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?
Hasa katika barabara za vijijini?
Gari: Toyota hilux surf
Mahali: Morogoro mjini
Bei ya kuanzia: Maeleweno yapo japo bei ya kuanzia ni Milioni 8
Gari lipo katika hali nzuri na linatembea lsipokuwa lina changamoto ya Cylinder head.Kama kuna yeyote yeyote yuko interested tunaweza kuwasiloana PM
Toyota Harrier ni gari la kifahari linalozalishwa na Toyota na linajulikana kwa muundo wake mzuri, utendaji bora, na faraja. Toleo la Toyota Harrier lenye jina la "E New Moden" linajumuisha sifa mpya na teknolojia ya kisasa ambayo inaboresha uzoefu wa kuendesha gari.
Sifa za Toyota Harrier (E...
Ndugu zangu habari.
Baada ya baadhi ya shughuli zangu kwenda mrama nimeamua kufanya kazi ya taxi mtandaoni maarufu uber.
Sasa nimekuja hapa jukwaani kuomba ushauri kutokana na gari nitakalotumia. Gari langu ni toyota porte, namba DX cc 1490. Hii gari huwa naitumia kwa shughuli za hapa mjini na...
Habari wakuu,
Kuna huyu mdogo wetu kitaani hapa amemaliza chuo miaka kadhaa iliyopita ila yupo home Hana mishe za kueleweka. Sasa Mzee kastaafu na ameshachukua kiinua mgongo. Dogo amemwomba Mzee anunue gari ili awe anapiga mishe za taxi mtandao(Uber,bolt nk).
Chaguo lake yeye lilikuwa ni...
Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990.
Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam...
Wakuu habari,
Nina toyota Allex, changamoto yake ni kuwa, nikiwasha, engine ikipandisha temperature kwenye normal inakuwa fresh, sema ikitokea nimezima, aiseee.. kuwaka tena inakuwa na changamoto sana, yaani hadi niiache ipoe kabisaaa... changamoto inaweza kuwa nini!?
Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu.
Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza hiyo gari na kodi zote tafadhali nijuze