Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana.
Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali...
Huduma zimesimama ili kuruhusu zoezi la maboresho kufanyika. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema Mei 03, 2021 Meli hiyo ya Abiria na Mizigo ilipata changamoto ya kupigwa mawimbi makubwa katika Bandari ya Matema kuelekea Bandari ya Mbamba Bay
Hatua hiyo ya maboresho inazingatia umuhimu wa...
Kufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini.
Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja...
Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu...
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote...
Niombe mwenye CV ya Mkurugenzi Mpya wa TPA lakini pia tupate experience yake pamoja na Miradi au ofisi alizowahi kuhudumu na mafanikio au mabadiliko aliyosababisha katika ofisi hizo.
Tumekuwa na wateule wa Rais ambao hawajawahi kufanikiwa popote walipowahi kufanya kazi, lakini pia utamaduni...
Ipo haja yakubadili mfumo wetu wa utendaji kazi kama nchi ikiwemo vyombo vya dola. Mkurugenzi wa TPA alikuwa na riport au matokeo ya ukaguzi toka ilipofanyika exit meeting. Alielewa Kuna maeneo kuna mianya iliyopelekea mkaguzi kutengeneza hoja zilizokosa ushahidi wakuzifuta nakupelekea hoja hizo...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amethibitisha taasisi hiyo kumshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan.
Hivi Karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti"...
Bandari Billing section kulikoni mbona hatupati invoice tulipe tutoe mizigo yetu au KAKOKO kaondoka nayo, msitukwamishe bana, fanyeni utaratibu as quick as possible. Kwani hizi system ana control nani? mara leo TPA kesho TRA, ngachoka kabisa.
Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzania wengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya
“Ripoti...
Watuhumiwa watatu ambao walikuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) tayari wamefukuzwa kazi
Mtu wa nne ni mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni M/S Ntinyako Company Ltd. Iliyokuwa ikipewa zabuni ya usambazaji wa vifaa vya ujenzi na miundombinu ya maji katika Bandari ya...
Kwa wiki zima mitandao ya jamii imemshupalia Dr Hamis Kigwangalla kwa ufisadi wa kutumia Tsh bilioni 2.58 bila idhini ya Bunge. Pengine Kigwangalla yuko kwenye "spotlight" kwa vile siku zote ni mtu wa majibizano kwenye mtandao ya jamii.
Sasa kuna manunuzi ya Tsh bilioni 22.69 yaliyifanywa na...
Jamani TPA kulikoni tunashindwa kutoa mizigo tangu jana eti system hakuna, nani anadhibiti hii system?
Tuna wateja kutoka nchi jirani wanafuata magari yao wanapata hasara kukaa zaidi ya muda wao hebu fanyeni kazi, yaani mpaka muda huu hakuna invoice zilizotoka tangu jana.
Tunakuomba Waziri hebu...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA), imesema inafanya upembuzi yakinifu katika bandari zote za Ziwa Nyasa unaolenga kuboresha miundombinu na kuimarisha shughuli za kibiashara katika ziwa a waandishi wa habari katika Bandari ya Kiwira iliyopo wilayani Kyela mkoani Mbeya.
Alisema wameamua...
Bandari ya Bagamoyo ingefilisi, kuuza nchi
Sunday May 19 2019
Kwa ufupi
Pamoja na kusamehewa kodi na ushuru mbalimbali kama zile za lazima kisheria, kulipwa fidia ya hasara ya kibiashara watakayopata kwa mujibu wa mahesabu yao, mwekezaji pia aliweka sharti la kuachiwa ajipangie bei ya kuwatoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.