Salamu
Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan
Wazir wa Fedha, Dkt.Mwigulu Nchemba
Ninayo furaha sana kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa baraka zake kuu tunazoendelea kuzishuhudia katika Taifa letu. Kwa namna ya pekee kabisa ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani, umoja na...
Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi
WAOMBAJI - 135,027
Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027
NAFASI - 1,596
20 % kwa Wazanzibar - 319
80 % kwa Bara - 1,277
CHANCE YA KUPATA KAZI
Wazanzibari - 10 kwa kila waombaji 100 ( 319/3000)
Wabara - 1 kwa...
Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS 6,000,000 tu p.a.
Mwaka jana akasema kodi imepanda kutoka Mil 24 mpaka Mil 36! Akaambiwa kama...
Wakuu Habari zenu.
Wale walio tuma mahombi Tax Manger position na Internal Affair Officer tuchangamshe vichwa na Maswali ya Miaka ya nyuma.
IMPORTANT ANNOUNCEMENT
ALL CANDIDATES EXPECTED TO SIT FOR THE TAX MANAGEMENT OFFICER APTITUDE TEST MUST TAKE THIS TEST:👇👇
📌 TAX MANAGEMENT OFFICER II...
Leo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo.
Nafasi hizi za ajira zilitangazwa mnamo Februari 6, 2025, zikijumuisha kada mbalimbali.
Kutokana na idadi kubwa ya...
TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa kipindi cha miaka 4 ya Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
TRA wamekua wakitamani sana kufanya mabadiliko na maboresho kwenye huduma zao lakini kuna jambo bado HAWALIFANYII KAZI AU HAWALIJUI. Pia nina mashaka sana na UWEZO wa watu wao wa kitengo cha TEHAMA.
1. Website yao ina mambo mengi sana, inatembelewa na wateja wengu sana. Walitakiwa kuongeza...
Wakuu kwema?
Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua.
Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana.
Sasa muuzaji...
Kupitia mfumo mpya wa kuomba leseni za undeshaji magari, mambo yanaonekana kuwa magumu badala ya rahisi. Unapohitaji leseni kwajili ya kuendesha magari ya abiria na mitambo inakupasa kuhudhuria chuo kilichothibitishwa na serikali, baada ya kutoka chuo, unaenda police kitengo cha usalama...
Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. 🤣🤣🤣Raha sana hii nchi.
Sasa wenzetu na mimi waliopo TRA nao wanakatwa? Au ndiyo wana compensate kwa bonus?
Ukinunua dai Risiti,
Ukiuza toa Risiti.
Mhe Mjumbe habari,
Kwanza, natumia jukwaa hili kukupongeza wewe binafsi pamoja na wenzako wote kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa wajumbe wa Kamati hii maalum ya kusikiliza sauti za wasiokuwa na sauti juu...
Mi nmeend TRA kukata lessen sasa wanataka EFD kutoka seem nliyosoma nmerudi chuo wanasema izo zilifutika mana toka nimalize ilikua mwaka jana na lessen nmeend kukata mwaka huu naiyo ishu ya tra yakutaka EFD wameianzisha siku so nyingi nafanyaje kwa wazoefu msaada
Nikajua ukiwa chawa, haubugudhiwi.🤣🤣
TRA wamefatilia makampuni ambayo Mwijaku anayotangaza biashara nao, na kutaka makampuni hayo yalipe kodi kwa mamlaka hiyo.
Mwijaku baada ya kupata taarifa hiyo akatoa povu. Hajaamini macho yake.
TRA nyoosheni hivyohivyo, hakuna kucheka na wowote
Wakuu nimekuja kwenu, ofisi za TRA Temeke zina fikirisha sanaa katika uwajibikaji wao
Nili-register TRA TIN Number mwaka 2020 branch ya Mbagala sasa nataka nihamishe ile TIN number location isome Ilala hapo ndo kimbembe aisee
Hawa jamaa nimefanya process zotee online barua nimeandika na...
Wakuu heri ya jumapili.
Sijajua ni kuchanganyikiwa au vipi,kuna jamaa yangu kafunga safari kaenda huko kwao Magu kwa mganga ili tu awekwe sawa kwa ajili ya hizi kazi za tra zilizotangazwa majuzi.
Jamaa mwanzo alinidokeza hilo jambo na akawa ananishawishi na mimi niunge tera but mimi sio muumini...
Mfanyabiashara, Novita Shirima (49) na dereva, Justine Mbise (29) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka sita, ikiwemo kumiliki kemikali aina ya ethanol kinyume cha sheria, kughushi stempu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.