Heshima sana wanajamvi.
TRA wametangaza ajira mpya 1,574.
Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao.
Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa...
GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo
Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu.
Siku chache kabla ya Hayati Magufuli kuapishwa alijua kuwa segerea inamuhusu,akaifunga kampuni yaje ya Home...
Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi msaada wa vitenge 200 kwa wanawake wajawazito katika Hosptali ya Wilaya ya Kalambo na vituo vya kutolea huduma za afya kama sehemu ya kurejesha faida kwa wananchi.
Mkuu wa Wilaya...
Mimi binafsi napotaka kuagiza gari, nachukua details za ile gari halafu nakuja kukadiria bei ya ushuru kupitia Calculator ya TRA, tuseme napata Mil 12,355,000 kama ushuru.
Unaagiza gari baada ya wiki tatu ushuru unaongozeka kidogo hadi mil 13+ kawaida kabisa kutoka na value ya USD KUPANDA NA...
Kwa muda takribani wiki sasa, nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo wa ajira wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) bila mafanikio. Niwaombe Mamlaka watoke hadharani na kutoa tamko kuhusu changamoto hizi na mwelekeo (Way forward).
Kuna wakati napata hisia mbaya kwamba tayari...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
Habari Wadau,
Nakutana na changamoto ya usajili wa TIN number kwenye recruitment portal ya TRA, ambapo kila nikijaribu kuingiza number husika za TIN na kuzi-save, mfumo unaleta msg kwamba zimekuwa saved successfuly, lakini baada ya muda sehemu ya TIN yenye asterisk inabaki wazi tena.
Je, kwa...
Kamishna wa Idara ya Upelelezi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hashimu Ngoda amefanya ziara ya kutembelea vituo vya forodha ukanda wa pwani katika maeneo ya Kunduchi, Mbweni pamoja na Bagamoyo lengo likiwa ni kuangalia utendaji wa shughuli za forodha katika kudhibiti shughuli za...
Miongozo ya Makadirio ya Kodi ya Mapato kwa Mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (Marekebisho ya 2023)
Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2023), inamtaka mlipa kodi (binafsi au kampuni) kuandaa na kuwasilisha makadirio...
Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu hata kujisajili.
Hali hiyo imesababisha hata wanaohitaji huduma nyingine za kimtandao nao...
Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi.
Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate.
Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua...
Ndugu ..
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo,
Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili...
Ndugu zangu.
1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ?
2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri...
Habari zenu wana jukwaa?
Hivi hizi ajira za tra let's say sisi watu wenye shahada za uhasibu naona kama kuna kada nyingi sana tunaingia,mfano tax management, customs,accounts officer, auditing etc.
Je inaruhusiwa kuomba zaidi ya nafasi moja?
Nisaidieni maana me sijawahi kuomba hizi kazi za...
Habarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.
Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
TRA ilizinduwa mfumo huo na kueleza una maboresho na utakaosaidia kurahisisha uondoshaji wa Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.