Mamlaka ya mapato Tanzania inawakumbusha walipa kodi kuwasilisha ritani na kufanya malipo ya kodi ya zuio, PAYE na SDL kwa mwezi Januari 2025 kabla au mnamo Februari 7, 2025.
Jengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu
==============
Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo - Dar es salaam.
Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini?
Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
ccm
katika
kugombea
kugombea urais
kugombea urais 2025
kumteua
meneja
rais
rais samia
samia
samia kugombea urais 2025
sheria
tanga
tra
umma
urais
urais 2025
utumishi
utumishi wa umma
Kumekua na tabia za kupigiwa simu na watu wanaojiita mawakala wa TRA wakitangaza biashara zao za kuuza electronic efd machines kwamba unaweza kutoa efd receipt kupitia simu ya mkononi. Natambua kwamba hilo linawezekana lakini, swali langu ni kwamba wanatoa wapi hizi namba zetu? na...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda, amesema Siku ya Mlipakodi ni tukio maalum linalolenga kutambua na kuwashukuru walipakodi wa kada zote kwa mchango wao katika maendeleo ya taifa.
Akizungumza Januari 23, 2025, jijini Dar es Salaam, wakati wa maadhimisho...
Naona utaratibu unazidi kubadirika.
Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari.
Admin kutoka Mapato TRA Tanzania njoo ufafanue.
Ndg zangu habarini za majukumu?
Naomba ushauri au msaada nini nifanye juu ya hili:
Mimi ni mjasiliamali nafanya uchuuzi na taasisi za umma na serikali, mwaka jana wote biashara haikuwa nzuri hasa baada ya mfumo mpya wa manunuzi yaani Nest kuanzishwa hivyo kupelekea ushindani kuwa mkubwa...
Bodaboda ni sekta rasmi Kwa Sasa.
Ni dharau kubwa Kwa bodaboda ambao kwasasa wapo zaidi ya watu million 10 hawa watu wote kila mtu akilipa elfu 10 Kwa mwaka ni pesa ndefu
Kulipa Kodi ni jukumu la kila anayeingiza kipato
Kama serikali inatoza Kodi mlinzi wa SUMA JKT, mwalimu, police, nurse n...
Kwema Wakuu?
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Tanzania ni nchi ambayo inaingiza au kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje. Bidhaa hizi zinaweza kua za mahitaji au matumizi binafsi, bidhaa za biashara, bidhaa kwa ajili ya kutoa huduma, etc.
Ukiacha bidhaa hizi zinazoagizwa sasa, wapo pia...
Pamoja na umachinga wangu, bado nikasema nisaidie nchi yangu kwa kulipa kodi, nimechukua tin namba nikakata leseni nikafungua kiosk, nikakadiriwa nilipe laki nne kwa mwaka, kila miezi mitatu 100,000/=.
Nimelipa vizuri mara tatu, mara ya nne nimechelewa kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu...
Sio kama nina wivu bali sheria ya money laundering iko wazi.
Mwaka 2018 tuliuza nyumba ya urithi na hela ikaingizwa kwenye akaunti yangu,milioni 340,
Siku ya kwenda kuitoa ili tugawane,benki walinizuia mpaka nilipoleta nyaraka za mauziano,akaunti yangu ilikuwa haijawahi kuingiziwa zaidi ya...
Habari ,
Nimepata taarifa kuwa, T.RA inawatangazia Watu kuwa Kuna mfumo mpya unatakiwa kuanza matumizi mwezi February 2025,
Mfumo huu unampa access ya Moja Kwa Moja mteja mwenye tin namba kuweza kubadili umiliki wa chombo chake direct kupitia mfumo mpya wa T.RA Portal .
Pia upatikanaji wa...
Baada ya serikali kuanza utaratibu wa kuhakikisha mifumo yake inasomana kuna utaratibu mzuri unaohakikisha kuwa ukishasajiri kampuni ile namba yako ya usajiri ndiyo namba hiyohiyo kwa ajili ya mlipa kodi. Yaani ni namba hiyohiyo ya TIN Registration kwa sababu mifumo inasomana. Hili ni jambo jema...
Mambo vp wadau?. Hivi kama umeenda TRA kufanya makadirio na waka sema utumie mashine ya EFD wakati hata uwezo WA kununua hyo mashine huna inatikiwa ufanyaje wakuu
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii manaravoice
Huu ndio mfumo mpyaa wa young African, unaitwa gusa,achia,twende kwao au ukipenda kwa lugha ya malikia
TOUCH RELEASE AND ATTACK( TRA)na kama utasahau Sana kumbuka mamlaka ya mpato Tanzania( TRA)
Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03 Januari, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake.
Katika...
Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi.
Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli.
Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.