Mnamo tarehe 4 June nililipia sh 70,000 kwa ajili ya driving licence, nikaambiwa nitatumiwa ujumbe mfupi wa maneno nikaifate.
Hadi leo tarehe 30 June sijapata huo ujumbe katikati hapo nilienda kufatilia wakaniambia mashine ya kuprint imeharibika. Ina mana mpaka leo mashine imeharibika?au kuna...