Chama Cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) imeiomba serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Nchini ( TRA) kuweka utamaduni wa kukutana na wafanyabiashara kujadili namna ya kuweka mifuno mizuri ya ukusanyaji wa kodi stahiki hali itakayosaidia wafanyabiashara hao kulipa kodi kwa hiari...
Nimeona bandiko la member mmoja akitahadhalisha kuhusiana na Ponze Scheme moja inajiita Champions Investments ltd. Inadai ipo Mwanza. Nami nimeomba Link ya kuingia kwenye group lao.
Hawa jamaa ni matapeli. Ukiangalia Hata members wao wengi ni kutoka nchi flani flani kwa mujibu wa namba zao za...
Nina Leseni class A na D
Nimesoma Veta PSV ili kupata leseni class C1 cheti kipo. Naomba mwenye connection ya TRA niweze kupata leseni kwa urahisi nataka nipate madaraja
A
D
C1
E
Nipo ubungo Dar
Ukifika TRA unakuta na mizigo mingi sana kwa mfano TRA pale Longroom pamekua kama godwn la kuhifadhia mizigo,ukiangalia pale Kuna mizigo ya Congo,Rwanda,Burundi,Zimbabwe,Malawi,Zambia nk..ukiuliza wanakwambia hii ni mizigo tumeikamata haikua na Efd machine.
Nikamuuliza mmoja wao je hii mizigo...
Kariakoo ni kituko sehemu kama ile ningefikiria ndiyo iwe focal point ya ukusanyaji wa mapato lakini nenda duka lolote kariakoo ukanunue kitu alafu omba risiti uwone.
Kwanza wana kali moja hiyo, wanakuambia bila risiti bei inapungua, mbili, ukiwa unachukua mzigo mkubwa unapeleka mbali...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, Uledi Mussa amesema Vikosi hivyo vimeondolewa ili kuhakikisha kunakuwa na Haki katika ukusanyaji mapato nchini.
Amesema TRA inataka watu walipe Kodi bila Shuruti na hivyo Mamlaka hiyo imeagiza Maofisa wake wakusanye kodi bila...
Nani asiyezijua mashine za EFD au hizi zinazotumiwa na jamaa wa parking au kwenye malipo mbalimbali?
Mashine hizi sasa ni takwa la kisheria kwa wafanya biashara vinginevyo hakuna kufanya biashara.
Uliza bei za hizo mashine. Si ajabu kusikia 600,000/- kwa moja na malipo lukuki ya mwezi kwa...
Mitaani kuna vituko vingi.
Kuna magari ya wasiyojulikana wengi tu sasa hivi, lakini hii ni kiboko. Gari T140ALF ina usajili wa karibia miaka 20 nyuma kwa gari iliyotengenezwa 2022, LC300 Landcruiser New model.
Inakuwaje hapo?
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema TRA ilipanga kukusanya kodi ya Tsh. Trilioni 20.7 kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2021 lakini ilikusanya Trilioni 17.89 pekee.
Upungufu huo ambao ni 14% umetokana na kutoshughulikiwa ipasavyo kwa Madeni na Mashauri ya Kodi ambayo...
Hili limekaa kisiasa zaidi kwanza ukiwa mpinzani hawa jamaa watahakikisha unaishiwa ili mirija isi support tena upinzani.
Hizo mali za mama Bonge mlizochukua badae utasikia hazijulikani zilipo ama haionekani. Na kodi mnazo bambika watu hazisaidii sana zinaua biashara za watu na watanzania...
Kuna kitu sijakielewa hapa, au hakipo sawaaa, ukitaka kuanzisha biashara lazima ufuate utaratibu wa kisheria mfano lazima uwe na tin na lesseni ya biashara husika, embu fikiria unataka kuanzisha biashara ya miamala ya kipesa imezoeleka kama tigopesa ili upate line za kazi hiyo lazima uwe na...
Leo tarehe 13 Oktoba 2022, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata shehena ya mizigo ya vitenge ya marobota 290 katika kontena mbili yenye thamani zaidi ya tsh. Billioni 5 iliyopitishwa kwa magendo katika bandari zetu.
Mfanyabiashara mwenye shehena hiyo alitorokea Dubai majuma matatu...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imebaini uwepo wa magari barabarani yaliyobandikwa na kutumia namba ambazo hazijatolewa na TRA ama Taasisi nyingine za Serikali ambazo zimepewa jukumu hilo kisheria.
“Aidha, kumekuwepo na matumizi ya vibati vya namba vyenye rangi zisizotambulika kisheria...
Jamani watu wa mamlaka tafadhalini hebu chukueni hatua za makusudi kurekebisha hili tatizo la taarifa za marejesho mtandaoni (e-Filling Returns)
Kusema ukweli imekuwa kero isiyovumilika tena, inapofika tarehe za marejesho mtandao unazidiwa inaweza kuchukua zaidi ya siku moja mpaka 5 pengine...
Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba!
Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
Ni pale shemeji na wifi yenu alipokamata njumu mifukoni kwenye suruali yangu! Macho yalinitoka kigugumizi mate kukauka kutaka nimezwe na ardhi! Ilibidi tu niwasingizie wakina Trab na Trat!
Za mwizi kweli 40! Ebu nanyi fungukeni mliwasingizia kina nani kwenye situation kama hiyo.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo tarehe 25/09/2022 mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Uboreshaji wa Mitaala inayoongozwa na Profesa Makenya Maboko jijini Dodoma, imependekeza kuingizwa kwa elimu ya kodi katika mitaala ya elimu nchini Tanzania kuanzia kwenye Shule za Msingi hadi Sekondari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.