tra

  1. KING MIDAS

    Gharama kubwa za uchapishaji wa stika za vinywaji za TRA chanzo bei kubwa za vinywaji nchini

    Wazalishaji wa vinywaji vikali na baridi Tanzania wanalipa zaidi ya shilingi bilioni 100 kwa mwaka kwa hizi stempu. Kampuni inayolipwa ni kutoka Ulaya (Uswisi) inaitwa SICPA. Hizi gharama ni kubwa ukilinganisha na nchi majirani, mfano Zambia ni robo ya hii bei. TRA wameshauriwa sana kwamba...
  2. ubongokid

    Ni lini TRA mtawezesha tupate TAX Clearance bila kufika ofisi zenu zenu?

    Habari za wakati huu; Moja kati ya kero kubwa kabisa ya kulipa kodi hapa Tanzania ni swala la Kwenda kwenye hizi ofisi za TRA,kupanga foleni na kupoteza muda. Swali langu kwa hawa maafsaa wa TRA ni hili. Kwa kuwa sasa kila mtua anao uwezo wa kuingia mtandaoni na kufanya mchakato wa kulipa kodi...
  3. comte

    TRA mnawaibia TFF na timu za mpira kwa kuwakata VAT badala ya kusubiri iletwe kwenye ritani za mwezi husika

    Kwa kawaida mlipa kodi aliyesajiriwa kwenye VAT hutakiwa kulipa au kudai kurejeshewa tofauti ya kodi kwenye mauzo na kodi kwenye manunuzi kutegemeana na ukokotozi. Kwa taarifa hii ya TFF inaelekea TRA imechuka 18 % mapato yote ya mchezo wa siku husika. Kwa maoni yangu hii ni kinyume cha sheria...
  4. Kaka mwisho

    Kweli HELSB inakusanya pesa za mkopo kupitia TRA kwa wanufaika waliojiajiri?

    Kichwa cha habari kinajieleza. Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari. Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB. Je, hizi tetesi ni kweli.?
  5. lumwetuli

    Karibuni Lumwe Tax & Consulting service

    Tangazo: Habari za leo wateja wetu wapendwa, Tunapenda kuwatangazia huduma zetu za ushauri wa kodi. Kama mmiliki wa biashara au mtu binafsi, tunaelewa ugumu wa kuendesha shughuli zako za kila siku na wakati huo huo kukidhi mahitaji ya kodi. Hapa ndipo tunapokuja na kusaidia kufanya maisha yako...
  6. MSAGA SUMU

    Wafanyakazi TTCL kupelekwa TRA na bandarini

    Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi. Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni...
  7. B

    TRA mnawaumiza wafanyabiashara

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya ulipaji kodi nchini hasa kwa wafanyabiashara wadogo, wafanyabiashara wengi wanagharamia fedha nyingi na kupoteza muda mwingi katika zoezi zima la kulipa Kodi. Mathalani mlipa kodi anasafiri umbali mrefu sana kwenda kukadiriwa kodi na kupewa control number...
  8. mangiTz

    Swali kwa TRA kuhusu makato ya kodi kwa wafanyabiashara waliopo VAT na Non VAT registered

    Habari Wana JF. TRA Tanzania naomba ufafanuzi kwanini mfanyabiashara ambaye hayuko VAT akiuza bidhaa Kodi yake haikatwi kwenye faida badala yake anakatwa katika mtaji na faida kitu ambacho Kodi inakuwa kubwa ambayo inaelekea pengine wengi hukwepa Kodi(yaani kutoprint risiti za EFD) Mtu...
  9. Perry

    DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

    Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia. Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara...
  10. N'yadikwa

    TRA ni wakati sasa mbadilishe Tovuti yenu iwe ya kisasa

    Kusema ukweli tovuti yenu ya kizamani sana. Taasisi kubwa kama yenu hampaswi kuwa na lay out ya tovuti ya kizee hivi.
  11. Masokotz

    Je, mfumo mpya wa TRA Efiling unaweza kuongeza wigo wa kodi?

    Habari za wakti huu, Kwanza nianze kwa kuwapongeza TRA Tanzania kwa mfumo wao mpya wa usimamizi wa masuala ya kodi. Ni hatua nzuri hasa kutoka kwenye mfumo wa ukusanyaji wa kodi wa "Manual" na kisha kuhamia katika ule mfumo wao wa online uliokuwa very user unfriendly mpaka kwenye huu mfumo wao...
  12. Kaka yake shetani

    Kwanini TRA mnatulazimisha kuja na risiti za mauzo wakati rekodi zetu mnazo?

    TRA tunawatambua mnakusanya kodi. Mifumo imebadilika mkaanzisha mashine zinazotumia mtandao kupata makusanyo siyo kwa kutumia kitabu tena ambayo ni EFD. Kuwa na TIN ni lazima unapotoa risiti au kununua. Sasa kwa wafanyabiashara wanapofanya manunuzi ya mizigo lazima wapate risiti ya manunuzi...
  13. tripleec

    TRA waibuka na elimu kwa njia ya mtandao

    Naomna mamlaka ya mapato Tanzania wamekuja na mkakati wa kuelimisha kwa njia ya mtandao kama tangazo hapo juu lilivyojielekeza ( Join conversation )
  14. B

    Wizi wa TRA kupitia kodi ya pango

    Kodi ni matoleo ya watu kutokea katika mapato yao ambayo kimsingi hayapaswi kuwa mzigo. Mnapowalazimisha watu hata kwenda kukopa ili wawaletee tu nyie pesa kwa hakika hiyo siyo kodi tena bali ni wizi. "Mtu kajenga nyumba yake kwa kujikongoja labda kwa miaka kadhaa ikimgharimu labda 60m/- +...
  15. Scaramanga

    TRA yaja na elimu kwa njia ya mtandao

    Mamlaka ya Mapato Tanzania naona imebuni njia ya kutoa elimu kwa mtandao na hii wamekuja na kuhusiana na uboreshaji wa mfumo wao wa e file
  16. BARD AI

    Mazoezi ya kuzuia majanga ya moto yazua taharuki TRA Dodoma, mmoja akimbizwa Hospitali

    Baada ya watu 191 kunusurika kwenye tukio la moto katika jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), tukio hilo limetajwa kuwa ni mazoezi ya kukabiliana na majanga ya moto. Licha ya kunusurika huko mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo alikimbizwa katika kituo cha afya cha Makole kupatiwa...
  17. Titicomb

    TRA kwanini kodi (ushuru) hutozwa kodi tena kwa jina lingine? Wabunge mko wapi?

    Nimejaribu kuisoma kanuni iliyotolewa na TRA ya kukokotoa kodi inayolipiwa bidhaa zinaoingizwa toka nchi za nje nimepata maswali mengi sana. Mojawapo ya maswali ni kwanini Ushuru wa Forodha unatozwa Ushuru wa Bidhaa pia unatozwa Ushuru wa Ongezeko la Thamani (VAT)? Kwanini Ushuru wa Bidhaa...
  18. comte

    TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

    Ila bado tunahitaji ufafanuzi wa hicho mnchoita thamani ya forodha na mjiongeze kwa kuweka sheria na kifungu husika kinachowaongoza kutenda haya ambayo yanaliza watu kila siku
  19. Mjomba Fujo

    Mnaotaka kuingiza bidhaa nchini kokotoo la TRA ndio hili

    Kwenye tembea tembea zangu mitandaoni nimekutana na kikotozi cha TRA kinachotumiwa kwenye uingizaji wa bidhaa hapa nchini, kwakweli kinatia kichefuchefu na kukatisha tamaa. Jioneeni wenyewe nisiseme sanaa;
Back
Top Bottom