Unajua kuna watu wana enjoy kuona wenzao wakianguka na kuwa chini, in short wana roho za kichawi.
Hongera Simba kwa kuokoa sekta ya banking nchini kwa kurudisha imani kwa depositors, maana kila mtu alishaanza kukimbiza pesa uswiss.Taifa lilikuwa linaenda kuanguka vibaya.
sasa bandiko kama hili linajibu swali la bwana yule mliyemtoza mamlioni kwa pampas na viguo vya mtoto. Hamuwezi kutumia mifano rahisi kuwafanya wananchi waelewe?
Mfano shida ya watanzania wengi iko hapa;
Mtu kanunua gari kwa dola 1000 sawa na TZS 2,270,000 inakuwaje anaishia kulipa TZS...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%..
Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali kutekeleza ajeti yake ya mwaka 2021/2022 kwa zaidi ya asilimia 95%..
Bila shaka Rais Samia anazidi kuonesha...
Kuna mambo tunatakiwa kupongeza kama tunavyokosoa.
Kiukweli kwenye swala la ukusanyaji kodi toka Rais Samia aingingie Madarakani yuko vizuri!
Kuna watu wanaleta propaganda kwamba bandarini tunaibiwa Sana lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mwezi huu wa 12 kavunja record yake ya mwaka...
Suala la kulipa kodi ni suala la kizalendo hii elimu inatakiwa iwe inawekwa kwenye mitaala ya shule zetu, mifumo yetu ya elimu imejikita zaidi kwenye kuajiriwa hivi majuzi imekuwa kama kauli mbiu ya serikali Kwamba watu wajiajiri kwani serikali haina ajira za kuwapa..inasikitisha sana inapotokea...
TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana.
Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA?
Haihitaji kumiliki basi kujua ndivyo sivyo za LATRA, au kuwa na gari au kituo cha mafuta kujua...
Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani!
Kitakachofuatia ni watu kuondoa fedha zao Benki kama ilivyokuwa kwa Magufuli, soon mtapata majibu yenu kwenye uchumi!
Huu uhuni nina uhakika MWIGULU yumo ndani yake maana ndiye anayeongoza Genge la kumdanganya mama ili aanguke waseme hawezi...
“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine.”
“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza,” Diamond.
Pia soma;
TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz kwa TRA
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie...
Aisee usiwaine tu watu Instagram ukawachukulia poa, jamaa huyu huwa anatoka sana na wadada wa Bongo movie, na picha yake akila romance na Wema ilivuja na kumpa umaarufu mkubwa.
Huyu jamaa PCK amekuwa na urafiki na Mastaa wengi na ni mfanyabiashara , ana miliki maduka ya simu, hotel, show room...
Kwangu kituo karibu, rahisi na kwa sasa kinachoaminika ni BP PUMA Tangi Bovu.
Nimeenda kuweka mafuta juzi, wakasema mashine ya risiti imegoma. Leo nimeenda tena hapo, bado hawana risiti!
Majuzi nimeona magazetini TRA wakimshitaki masikini mama mmoja hapa DSM kwa kutodai risiti. Sasa kwa hapa...
Kuna kitu naeza ita ni upuuzi au uzembe uliopitiliza. Nina mwezi sasa nafanya online TIN aplication lakini mtandao unasumbua. Kila nikifanya naambiwa failed to retrive data. Nimeenda ofisi zao labda naweza kupata msaada cha ajabu wananiambia hawawezi kunisaidia maana mtandai uko chini.
Hii...
Mtandao wa TRA hasa kwenye efiling system unasumbua sana. Unaweza kutumia zaidi ya siku mbili bado hujaweza kufanya malipo. Halafu kuna suala la faini ; ukichelewa kufile return faini, ukichelewa kulipa fani bila kujali usumbufu wa mtandao wao.
Mnapaswa kujua kuwa mfumo huo ndio njia ya...
Msiwasikilize wanasiasa,
TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo. Natamani ku attach video ya cctv ila nahisi watanirudia waniite muhujumu uchumi.
Jamaniii sijawahi shuhudia hiyo nguvu hata kama umekutwa unaiba kambi ya jeshi.
Aiseeee jitahidi hawa jamaa wakija uwe una leseni, ni...
Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga wamemsifu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utaratibu uliotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuwataka kuanza kutumia mashine za kieletroniki (EFD) katika kufanya malipo.
Sambamba na hilo wamemwomba...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo
Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa.
Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho.
Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.