Hivi katika hali ya kawaida tu unawezaje kusimamisha Magari kwa zaidi ya nusu saa upande mmoja eneo linaingiza magari na kuyatoa mjini?
Wale Trafiki ni ushamba au ujinga wanafanya pale? Hakuna sababu yoyote ya kufanya vile. Trafiki wajue kuna Wagonjwa wakati mwingine wanawahishwa Mahospitali...
Huko kigamboni maeneo ya kisiwani (kwa Steven) pameonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya askari wa usalama barabarani kutokana na foleni ya kijinga inayochangiwa na uzembe wa Tarura/ Tanroad!
Itakumbukwa kila mwaka serikali hutoa fungu la kurekebisha kurudia eneo hilo!
Hadi sasa eneo hilo...
Kuna malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba Jeshi la Polisi Tanzania kitengo cha Usalama Barabarani wanafunga barabara kwa sababu ya Mwamposa hivyo kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Hizi ni barabara za umma, kama mtu ana biashara yake anawahi na muhimu anunue Chopa sio kuleta usumbufu kwa...
Nashangaaa Goba Center imejengwa round about kupunguza foleni ila bado unakuta kuna trafiki jioni
Ambapo sasa hata umuhimu wa kuwa na round about haupo tena foleni vile vile
Ninaliomba jeshi la polisi usalama barabarani Dar es Salaam ikiwezekana wote mpige kambi kwa siku mbili eneo la Mbagala ili mdhibiti hili kundi la bodaboda wahalifu, ninaposema wote najua bodaboda ni wajeuri hawazuiliki.
Tatizo ni nini, tatizo lililopo ni uhalifu unaotokana na madereva wa...
Nimekuja kaskazini, kila baada ya Kilomita 5 unakutana askari wa usalama barabarani.
Yaani ukitoka na gari private Moshi mpaka Arusha ni mwendo wa kunyata (kutembea polepole) barabara ina matrafiki wengi sana. Huwezi kutoboa lazima usimamishwe.
Hivi kuna barabara nyingine yenye trafiki wengi...
Matokeo yake imekuwa wengi wanagongwa wakiwa na abiria kwa makosa ya ujinga wanaosema wao fashion. Kwanini hawa vijana msiwasake vijiweni waliong'oa saiti mira wote ndaani.
Habari.
Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha.
Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni na kukagua gari wanachukua hadi dakika 10 wamekusimamisha bila kujali umetoka wapi na unaratiba gani...
Huko kwa majirani zetu Kenya bhana wamepinda sana, kuna video inasambaa ikimuonesha bodaboda akiwa amepaki pikipiki yake pembeni ya barabara, na umaridadi kabisa akaingia barabarani na kuanza kuongoza magari kutoka barabara ya lami na kuelekea njia ya vumbi ambayo haijulikani inaenda wapi...
Ukiwauliza madereva, kama wangependa askari wa usalama barabarani wawepo au wasiwepo barabarani, utashangaa pale robo tatu ya idadi ya madereva uliowahoji watakapokujibu kuwa wangependa barabarani kusiwe na askari wa usalama barabarani. Ukiwauliza sababu ya wao kupenda hivyo watakwambia kwa...
Eneo la Phantom sio geni kwa waenyeji wa Shinyanga na wanao pita highway kwenda au kutoka Mwanza. Hili eneo ni kero sana hasa wakat wa Jioni
Sio ajabu ukiwa pale ukaona Gari dogo lina vuta barabara ilihali Traffic light inawaka taa NYEKUNDU kuashiria kusimama
Sio Ajabu gari ukiwa pale...
Wakuu, kuna jambo nataka kujifunza leo, hivi ni utaratibu kwenye Madaladala (Hasa ya Dar) kwamba Trafiki akipiga mkono anayetakiwa kwenda kuongea naye ni Kondakta?
Kwa ninavyofahamu ukisamishwa na Trafiki hautakiwi kushuka kwenye gari mpaka Trafiki aje akague anachokitaka bila wahusika wa gari...
Habari wakuu,
Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele si mpya, naamini watu wengi mmekutana nayo hii hasa kwa wakazi wa Mbezi ya Kimara. Hili ni jambo hatari ambalo linaweza kusababisha majanga muda wowote, hasa ukizingatia madereva wengi wa bajaji walivyo rafu barabarani.
Kubwa zaidi...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua rushwa kwa madereva na kisha kumtumia ili awashughulikie.
Kamanda Jongo amesema hayo leo wakati akizungumuza na madereva, abiria na mawakala wa vyombo vya usafiri...
Mfanyabiashara Aman Elikana (38) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake.
Elikana alikuwa akituhumiwa kumuua askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, mwenye namba...
Habari zenu ndugu,
Kutoka Dar, askari wa JWTZ apandishwa Kizimbani Kwa Kukaidi Amri Halali ya Askari Trafiki wakati akitekeleza Wajibu wake.
Hii safi sana, lazima ieleweke kwamba utii wa Sheria bila shurti ni Kwa Kila raia bila kujali hadhi wala vyeo.
Askari Jeshi hasa JKT mara nyingi Huwa...
Trafiki hawawezi kulifungia gari kwa kosa la kutowasha taa usiku, watamuadhibu dereva. Mabasi mliyoyafungia hayana hitilafu yoyote tatizo ni madereva walizima ving'amuzi, hivyo madereva wangeadhibiwa.
LATRA hayo mabasi yapo barabarani kwa mikopo benki na wamiliki wanatakiwa wailipe hiyo mikopo...
Adui zetu wakubwa barabarani sio Polisi bali ni Madereva wenzetu.
Kusema kweli adui zetu wakubwa barabarani ni madereva wenzetu kuliko hata hao Polisi tunaowaona maadui. Dereva anatumia nguvu nyingi kuchukua tahadhari dhidi ya Polisi kuliko hata dereva mwenzake. Kwa nini Polisi baadhi yetu...
Haya ndiyo mambo muhimu sana kwenye kudhibiti ajali za barabarani;
~ Iwekwe sheria ambayo itahakikisha kabla ya anayetaka leseni ya udereva pamoja na mafunzo anapimwa macho na dakitari wa polisi au wa hosipitali ya serikali, madereva wengi wana tatizo la mtoto wa jicho ambalo husababisha uono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.