Kuna vitu vinaudhi sana. Serikali ya CCM walifanya mbwembwe nyingi kusema wanafufua huduma ya treni kwenda Arusha na Tanga. Na tukumbuke walitumia fedha yetu ya kodi, sio fedha za CCM.
Sasa ni wazi kwamba yote haya walifanya kwa ajili ya kampeni waliyotaka kufanya ya maendeleo ya vitu, ili...
Mitaa hiyo wenye magari wanapata tabu sana kwa kufokewa na wapita njia. Mwenye gari akipita mitaa hiyo ajiandae kisaikolojia.
Kuanzia mtembea kwa miguu, kilema, msukuma mikokoteni, mwenye baiskeli, machinga na wazee wa mingo za parking wooote wote ni matrafiki, waelekezaji, wajuaji na...
Kwa wakazi Kigamboni kuna jambo kidogo linanipa shida barabara za Kigamboni mbona zina askari wa barabarani wengi toka feri mpaka kufika Kongowe unakutwa ushasimamishwa mara 4 daaah hii ni zaidi hata ya mikoani najiuliza huku kuna wavunja sheria wengi au.
Nitaeleza kwa kifupi Sana!
Maana nafahamu watu wengi wanapenda mijadala ya pombe na umbea kuliko kuchangia mijadala ya haki na katiba!
JE; KITAMBI NI KOSA LA ASKARI AU LA MFUMO WA KAZI?
Watu wengi huwa wanashabikia mambo bila kuangalia kanuni za kazi zikoje!?
kazi ya Utrafiki siyo nyepesi Kama...
Korona ilipoingia Rais Magufuli alichukua hatua zote stahiki kuzuia.
Katika hali ya kushangaza, Rais huyu asiyelala kwa ajili ya Taifa lake Kitengo cha Usalama BARABARANI kimelala usingizi wa pono.
Rais aliagiza magari na usafiri wa umma watu wasisimame, wakae level seat, baadhi ya daladala...
Waziri Simbachawene amemwagiza IGP kuwaondoa trafiki wote wenye vitambi na kuwapangia kazi nyingine.
Najiuliza, ipo sheria inayokataza trafiki kuwa na kitambi? Shughuli ya utrafiki Ni ngumu kuliko majukumu ya OCD, OCS na RPC?
Natamani awamulike pia hao, ila pia tofauti na utrafiki kazi...
Kituo kikubwa cha kubadilisha magari na abiria cha MAKUMBUSHO kilichopo Kijitonyama kwa sasa ni kama mtoto yatima.
Kituo hiki kilijengwa baada ya kile cha Mwenge kuvunjwa. Kituo hiki kina njia nyingi za kuingilia na kutoka na ni kizuri kwa miundombinu japo kimekuwa kero kuliko kona kwakuwa...
Jana natoka zangu nyumbani nikiwa nimefunga mkanda wangu wa gari kama kawaida kwa ajili ya usalama wangu barabarani. Nimeendesha gari mpaka eneo la buzuruga stand iliyopo Nyakato Mwanza nikamuacha mwenzangu niliyekuwa naye ndani ya gari yangu.
Nikaondoka kupitia njia ya kutoka Buzuruga Stand...
Ni sehemu iko katika barabara ya Moshi kwenda Arusha. Kuna bonde kubwa na daraja na huko nyuma Wajapan walikufa kwa ajali mbaya na hata pamejengwa mnara wa kumbukumbu kwa ajili yao. Kutokana na uwepo wa daraja hili na bonde pamefanywa kuwa sehemu ambayo huruhusiwi ku-overtake na sasa trafiki...
Moshi. Wingu limegubika mahali alipo askari wa kikosi cha Usalama Barabarani maarufu kama trafiki, anayetuhumiwa kumjaza mimba mtoto mwenye umri wa miaka 14 wa askari mwenzake.
Januari 9, Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Salum Hamduni aliliambia gazeti hili kuwa polisi huyo anashikiliwa na...
Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu.
Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.