Wadau hamjamboni nyote?
Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani, amemwambia Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuwa anataka Israel imalize vita vya Gaza kabla ya yeye kurejea madarakani iwapo atashinda uchaguzi, vyanzo viwili vilivyo na taarifa juu ya suala hili vimeeleza kwa The Times of Israel...
Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani
Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa
kufanyika tarehe 5 November 2024.
Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani
ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii...
Zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani mwezi Novemba, ni wakati wa kuzielewa sera kati ya Makamu wa Rais wa chama cha Democratic, Kamala Harris na Donald Trump wa Republican.
Sera za Harris Kamala vs Trump
1. Mfumuko wa Bei
Harris anasema kipaumbele chake kitakuwa ni...
They manipulate both sides to create false hope. To them, it’s just a chessboard♟️
♟️ In chess, white and black pieces are bitter enemies, but those who move the pieces are usually good friends.
Enjoy the show 🎬🍿
Angalia Spana hizi kutoka team Trump aka MAGA, kwenda Kwa mpinzani wake ambaye ni Makamu wa Rais Kwa Sasa katika Uongozi(sio utawala maana huu upo Shit countries tu).
Ingekuwa bongo angetakiwa kureport kila baada ya dakika 45 central.
Wanajua show wakimbizi wa gaza waliofanya lebanon na Jordan.
Wanajua jinsi wakimbizi wa gaza waishio marekani wanavyoondana na kuvunja amani huko.
Wanajua #freepalestine ni utapeli
Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi...
Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani.
Akimzungumzia Kamala Harris huko Pennsylvania, alisema: "Sina tatizo la uelewa – lakini yeye anaweza kuwa na tatizo hilo."
Trump...
Miaka mingi nyuma kabla ya kugombea mara tatu mfululizo kuwania urais wa Marekani, Donald Trump (78) alikuwa bilionea mwenye mbwembwe nchini Marekani.
Maisha ya tajiri huyo wa majengo huko New York yalikuwa kwenye magazeti ya udaku na runinga katika miongo kadhaa kabla ya mbio zake...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden asema ameshatoa kibali trump apewe ulinzi sawa na Rais aliyeko madarakani
Soma Pia:
Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump
Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
October 11...
https://x.com/dogeofficialceo/status/1843382048767258909?t=snaDQf8FVMrm5Dx2zKuZzw&s=19
Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake. Hiyo ndiyo gharama ya kujaribu uhuru wa kujieleza. Bodi za makampuni yake zinaweza kumwondoa kwa kuwa...
My take;
Just take the Islamic republic out, weaken them enough for the people of Iran to take care of the rest. When the people get rid of the Islamic republic and the Ayatollah goverment nobody needs to worry about any nuclear wars.
Zikiwa zimebaki siku 30 kuelekea uchaguzi wa Rais wa Marekani, Upepo wa ushindi unavuma zaidi kwenye kambi ya Trump, Ikiwa atashinda hali inaweza kuwa mbaya sana kwa Iran.
Aliyekuwa kiongozi mzito mwenye ushawishi zaidi kwenye jeshi la Iran, Qasem Soleimani aliuawa 2020 kufuatia agizo la Trump...
Rais wa zamani Donald Trump alisema kuwa Israel inapaswa kulenga vituo vya nyuklia vya Iran alipokuwa akizungumza kwenye tukio la kampeni huko Fayetteville, North Carolina, siku ya Ijumaa.
Matamshi ya Trump yalikuja kama majibu kwa kauli za Rais wa Marekani Joe Biden, ambaye alikuwa ameionya...
Jana kulikuwa na debate kati ya Jade Vance wa chama Cha republican na Tim Walz kutoka democrats.
Niliangalia hiyo debate, yaani Trump alipomchagua Vance, watu waliona Kama amechagua chaguo lisilo sahihi, hata Republican wenzake walikuwa hawamkubali Vance.
Debate ya Jana imebadilisha Kila...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy katika jengo la Trump Tower huko New York mapema Ijumaa wiki hii na amemuahidi kumaliza haraka vita kati ya Urusi na Ukraine ikiwa atashinda kiti cha Urais wa Marekani.
“Tuna uhusiano mzuri sana na pia...
Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala Harris kwenye mbio zake za Urais dhidi ya Donald Trump.
Kupitia barua yao ya pamoja, maafisa hao wa...
dhidi
donald trump
kamala
kamala harris
maafisa
maafisa usalama
marekani
mkono
mkuu
trumptrump vs kamala
uchaguzi
uchaguzi marekani 2024
uchaguzi mkuu
usalama
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (78), amesema hatarajii kugombea tena kwenye uchaguzi wa urais mwaka 2028 iwapo atashindwa katika uchaguzi wa Novemba 2024.
Akizungumza na Sinclair Media Group, Trump aliulizwa kama anaweza kufikiria kugombea tena endapo atashindwa uchaguzi wa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.