Ni baadhi ya vitu mbavyo Biden na Harris sambamba na Democrats wamevifanya vitavyomsafishia njia Trump.
Mfumuko wa bei, Maisha yamekuwa ghali zaidi kipindi cha Biden na Harris
Hakuna kitu kinawaumiza wamarekani middle class na class za chini zaidi kama mfumuko wa bei. Mafuta, umeme...
Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya...
Trump na Kamala Harris wanatofautiana kuhusu Siku ya Mdahalo wa Urais. Timu ya Kamala inataka Septemba 10 katika Studio za ABC, huku Timu ya Trump ikitaka ufanyike Septemba 4 katika Studio za Fox
Tangu Biden ajiengue, Trump amekuwa hana msimamo kuhusu iwapo atashiriki mdahalo huo ambapo awali...
Kinyang'anyiro cha mbio za urais huko Marekani kimeshika kasi, na upepo wa kisiasa ukibadilika karibu kila wiki. Na sasa habari kubwa ni kuhusu Kamala Harris kuanza kuuvuta upepo wa kisiasa kuibeba Democrat.
Tangu mwanzoni Kamala Harris hakupewa nafasi yoyote ya kuwa mbadala wa Biden. Biden...
Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.
Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa...
https://youtu.be/Zy0soYeFzzs
In a dramatic return to the campaign trail, Donald Trump held his first rally since a recent assassination attempt, rallying supporters in Grand Rapids, Michigan. The event marked a pivotal moment in the 2024 US Elections as Trump, undeterred by the attack...
JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald Trump kamteua huyo huyo JD Vance kuwa Mgombea Mwenza ikimaanisha kuwa akiwa Rais Jamaa ( JD Vance )...
Nchi yao imevamiwa na wahamiaji haramu. Wauaji, wabakaji, maharamia na wagonjwa wa akili kutoka kwenye majela ya vichaa. Ameahidi anaenda kukata mzizi wa fitina wa tatizo hili akichaguliwa.
Na kwenye uchumi, viwanda na biashara ya kimataifa ameahidi anaenda kumaliza exploitation ya mataifa...
MAREKANI: Ikiwa imepita Siku moja tangu Rais Joe Biden atangazwe kupata maambukizo ya #COVID-19 na kusitisha kampeni, Vyombo mbalimbali vya Habari vya Kimataifa vimeripoti kiongozi huyo ameshauriwa kutafakari upya juu ya kushindana na Donald Trump
-
Licha ya kauli ya Biden ya hivi karibuni kuwa...
Wakati nchi inapoongozwa na chama kimoja cha kisiasa kwa muda mrefu, hata ikiwa ni kwa njia ya kidemokrasia, hatari kadhaa zinaweza kujitokeza:
Kudhoofika kwa Demokrasia: Utawala wa muda mrefu wa chama kimoja unaweza kudhoofisha demokrasia kwa kupunguza ushindani wa kisiasa. Bila upinzani...
Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
Hawa wagombea sijui kama watatoboa! Wanagusa maslahi ya wakubwa wa dunia! Walikuwa wanaongea wenyewe ,kumbe hawajui kuna msikilizaji mwingine! Hatimaya zimevuja! Tumepona??
US presidential candidate Robert F. Kennedy Jr. has apologized after his son posted a video recording of a recent phone...
Ukistaajab ya Musa utayaona ya firauni.
Ndio!! Rais wa Uganda Yoweri Museveni kupitia ukurasa wake wa twitter, amekemea shambulio la risasi alilofanyiwa Donald Trump na kumpa pole.
Rais Museveni amedai vurugu za kisiasa zinaweza kusababisha demokrasia isichukue nafasi yake🤣
Yapi maoni yako...
Ndugu zangu Watanzania,
Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu.
Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa...
Wahenga waliwahi kusema kuwa watu maskini wa fikra, mali na akili hujadili watu kwa mfano mzuri viongozi wa Chadema inadhihirisha kuwa ni watu wenye akili ndogo Sana utakuta mkutano una masaa 4 lakini kila kiongozi anayesimama anamjadili Magufuli mara Samia.
Utashangaa masaa 3 yote yanaisha...
Sekunde kabla risasi haijafyatuliwa Trump aligeuza kichwa kuangalia kulia, Risasi iliyolengwa kupenya ndani ya kichwa chake ikamkwaruza sikio, Chupu chupu.
PIA SOMA
- Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.