trump

  1. U

    Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  2. comte

    Aliyejaribu kuumua Trump alikuwa wa chama chake Republican ila alichangia chama cha Democratic

    Records show he was registered as a Republican voter in Pennsylvania, but previously made a $15 donation to a Democratic aligned group, Source Meg Oliver CBS News, Ila wa hapa wanadhani Lissu haweizekani kuwa alishambuliwa na wenzake
  3. enzo1988

    Trump Jana amenusurika kifo, leo kesi yake imetupiliwa mbali!!

    Mh, mwamba anapambana sana! Hata akishindwa tunalo la kujifunza nalo ni kutokukata tamaa kwa namna yoyote ile! US judge in Florida dismisses classified documents case against Trump A judge in Florida has dismissed the criminal case relating to classified documents that were found at Donald...
  4. TODAYS

    Wamegundua Nini?. Angalia Hii Video Fupi Baada ya Trump Kutunguliwa.

    Ni igizo fulani hivi ila naendelea kufuatilia, bado sitaki kuamini.
  5. B

    Pamoja na Kwamba Donald Trump Ni Mpinzani, aliyempiga Risasi alipatikana Muda huo huo na Amani ikarejea, Africa na Tanzania tunalo la kujifunza?

    Tukio la jaribio la kumuua Aliyekuwa Rais Wa Zamani wa Marekani na Mgombe wa Kiti Cha Urais Mh Donald Trump limeibua taharuki na sura mpya ktk siasa za Marekani. Hata hivyo kama Nchi na Kama Afrika tunalo la kujifunza kwamba Aina yoyote ya uharifu bila kujari anayefanyiwa ni nani tunapaswa kuwa...
  6. enzo1988

    Picha: Angalia risasi ilivyomkosa Trump

    Hii ni risasi iliyomkosa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump. Nawaza kule kugeuka geuka ndiyo kulimsaidia! Au mnasemaje CIA, FBI, MOSSAD na MI6 wa bongo?? Source: Sky news.
  7. kavulata

    Magharibi walitudanganya kuhusu demokrasia, Trump kama Lissu TU.

    Ni wapumbavu, hawana demokrasia, wanatudanganya sisi mazuzu TU. Trump walitaka kumuua kama vile Lissu walivyotaka kumuua hapa. Akili kichwani https://youtu.be/PvyYcx0YKLo?si=c35U2vk62XKMcN1k
  8. Yoda

    Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

    Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
  9. R

    Trump assassination attempt VS Lisu Assassination attempt: Similarities and Differences

    Similarities Differences 1. Politically motivated Trump individual motivated, Lisu state motivated 2. Opposition parties candidates Trump State investigating...
  10. BLACK MOVEMENT

    Serikali ya Tanzania kupitia Balozi wake USA watoe tamko la kulaani jaribio la kutaka kumuua Trump

    Hatuwezu kaa Kimya huku Democrasia ikiwa kwenye majaribu makubwa sana, tunaitaka Serikali kupitia Balozi wake au kupitia waziri wa mambo ya nje watoe tamko rasimi la kulaani Jaribio la kutaka kumuua Trump na kuitaka Serikali ya Marekani kuheshimu misingi ya Democrasia. Ni kwa bahati mbaya hawa...
  11. J

    Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

    Tuzidi kumuomba Mungu wa Mbinguni aifanye Dunia kuwa Mahali salama Hivi hawa Watoto wetu wamepatwa na nini jamani? Mungu wa Mbinguni utuhurumie sisi === Soma Breaking News: - Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
  12. Paul Alex

    Secret service wanaweza kuwa washirika kwenye jaribio la mauaji ya Donald Trump

    Mimi Kama mtu mwingine tu mwenye interest na mambo ya usalama nawaza mengi kwenye shambulio la Trump.. Secret service kazi yao ya kwanza wakiwa na 'target' ni kuassess threat... Hapo secret service walifeli. Secret service wakiwa na 'target' kwenye location, kazi yao ni kusecure mazingira...
  13. GoldDhahabu

    Donald Trump ataingia White House 2025

    Uebert Angel ameshamtabiria ushindi. Kwa wanaomfahamu Uebert Angel, amekuwa na Historia ya tabiri zake kutimia. Baadhi ya mambo aliyotabiri na yakatimia ni pamoja na: 1. Kifo cha Malkia Elizabeth 2. Uchaguzi wa Kenya uliompa Ruto ushindi 3. Machafuko nchini Kenya 4. Uchaguzi nchini Nigeria...
  14. L

    Watanzania tumejifunza nini kupigwa Risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump?

    Ndugu zangu Watanzania, Sote naamini tunaendelea kufuatilia taarifa ambayo imeisimamisha Dunia nzima na kuitikisa pamoja na kuteka vyombo vyote vya habari na mitandao ya kijamii ulimwenguni kwote kunakotokana na kupigwa risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump Rais mstaafu wa Marekani na mgombea...
  15. George Betram

    Jaribio la kumuua Trump: Nani wahusika? Kwanini?

    Hili jaribio la kumuua Trump akiwa katika kampeni linafikirisha sana. Madhara ya kumuua Trump akiwa katika kampeni yangekuwa makubwa sana, kifo cha Trump kingeweza kupelekea machafuko makubwa sana ndani ya Marekani, pengine ingeweza kupelekea kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe (Civil...
  16. X

    Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

    Shuhuda huyo alitoa taarifa kwa polisi na Secret Service kuhusu shooter aliyekuwa amejificha juu ya paa akiwa na silaha. Mahali ambapo shooter alikuwa juu ya paa na Trump alipokuwa akifanyia campaign ni mita 130 (google earth photo) Secret Service Agents baada ya kufanikiwa kumuua shooter...
  17. USSR

    Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

    Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo. Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa...
  18. BARD AI

    Rais Biden anatafakari iwapo atashindana na Trump katika uchaguzi wa Novemba

    MAREKANI: Mtandao wa New York Times umeripoti kuwa Rais Joe Biden anatafakari iwapo ataendelea na mipango ya kugombea Urais kwa awamu ya pili iki ni baada ya matokeo mabaya ya Mdahalo kati yake na Rais wa zamani, Donald Trump Imeelezwa kuwa Biden ametambua kuwa ana kibarua kigumu kuwashawishi...
  19. Lycaon pictus

    Dunia itakuwaje Trump atakapoapishwa kama Rais wa Marekani hapo mwakani?

    Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee...
  20. Observer

    2024 USA Presidential Debate: Joe Biden avaana na Donald Trump kwenye mdahalo wa kwanza kabla ya uchaguzi November 2024

    Wanabodi, Leo kutakuwa na mdahalo wa kwanza kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani, November 2024. Mdahalo huu utawahusisha mgombea wa urais kwa ticket ya Democrat, rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump kutokea chama cha Republican Mdahalo huu unatabiliwa kuwa wa moto kutokana na mambo...
Back
Top Bottom