MAREKANI: Mahakama imeagiza Rais wa zamani, Donald Trump kumlipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bliloni 211, mwanamke aliyetambulika kama E Jean Carroll ambaye alimshtaki Trump kwa madai ya kumnyanyasa Kingono mwaka 1990.
Kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama, Mgombea Urais huyo wa Republican atalazimika...
Waziri wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson amemuidhinisha Donald Trump kugombea urais wa Marekani, akidai atawashangaza wakosoaji wake na kuunga mkono Ukraine, na kufanya "Magharibi kuwa na nguvu" na "dunia kuwa thabiti zaidi".
.
Waziri mkuu huyo wa zamani aliwakejeli mahasimu kwa...
Uchaguzi wa Marekani unafanyika mwaka huu mwezi November
Democract itawakilishwa na Biden, raisi wa sasa wa USA wakati upande wa Republican, bado hanapatikana mgombea lakini wako kwenye mchakato wa kumpata mgombea. Kuna dalili kubwa bwana Trump akawa mgombea wa uraisi kupitia Republican
Je...
D.Trump kaposti kwenye truthsocial kwamba Mungu kamuumba Trump kuja kuokoa USA, angalia na sikiliza mwenyewe …
https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/111703421569603715
Russian President Vladimir Putin Wants Donald Trump Back as President, Says Retired US Army General Barry McCaffrey
latestly.comDec 31, 2023 4:50 AM
Retired US Army General Barry McCaffrey has said that Russian President Vladimir Putin is "actively hoping" that former President Donald Trump...
Juzi makahama kuu ya jimbo la Colorado ilipitisha hukumu ya kumuondoa Trump kwenye uchaguzi kwenye hilo jimbo mwaka 2024.
Jana wajumbe wa jimbo la California walipnlendekeza Trump aondolewe pia kwenye makaratasi ya kupigia kura kwenye uchaguzi ujao wa 2024.
Jimbo la California na Colorado ni...
Mmoja ya wanasiasa machachari wa Marekani na aliyekuwa mshauri wa mambo ya ulinzi wa raisi Donald Trump, John Bolton amesema katika vita vinavyoendelea Israel imeshindwa na Hamas.
Katika makala yake iliyochapishwa juzi kwenye gazeti la Telegraph, Bolton amesema usitishwaji wa vita wa siku nne...
Tunaishi ndani ya dunia iliyo ndani ya begi dogo mno ni kiasi cha mistake ndogo tu tunaiacha dunia, twende pamoja....
Fununu kuhusu sanduku hilo...
Sanduku hili ndilo inaloitwa black Box ama 'sanduku la nyuklia', sanduku lililotengenezwa kwa chuma linalomuandama rais wa Marekani kila mahali...
Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio.
Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
Rais wa Marekani, Joe Biden, amezidisha mashambulizi yake dhidi ya rais wa zamani Donald Trump, Alhamisi, katika hotuba kali ambayo amewahi kutoa hadi sasa, kwamba rais huyo wa zamani na mgombea anaeongoza katika chama cha Republikan, ni kitishio kwa desturi na taasisi za kidemokrasia za nchi...
Republic wakimpitisha huyu kikongwe mhalifu kama mgombea wao wa Urais, watakuwa na kibarua kigumu kushinda.
--
A judge has ruled that former United States President Donald Trump committed fraud for years while building the real estate empire that catapulted him to fame.
Judge Arthur Engoron...
Rais wa zamani Donald Trump anasema atajisalimisha kwa mamlaka katika jimbo la Georgia siku ya Alhamisi kujibu mashtaka katika kesi inayomtuhumu kwa kupanga njama kinyume cha sheria, ya kugeuza matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2020 katika jimbo hilo.
“Unaweza kuamini? Nitaenda Atlanta...
Four takeaways from Trump's indictment for 2020 election interference
The special counsel investigating Donald Trump's efforts to overturn the 2020 election results has issued four charges against the US former president.
The 45-page indictment alleges Mr Trump orchestrated a broad conspiracy...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema jaribio la uasi wa Wagner nchini Urusi limemdhoofisha Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin
Trump ambaye kwa muda mrefu amekua akivutiwa na rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba Putin amedhoofishwa kwa kiasi fulani na uasi huo uliokomeshwa na...
Akizungumza hadharani tangu afunguliwe mashtaka 37 yanayohusu kuficha nyaraka za siri za Serikali katika mjengo wake wa Mar-a-Lago, Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekana kufanya makosa hayo.
Amesema "Wanasema uwongo, wanatengeneza tuhuma, wanachukua hongo, wahalifu hao hawatakiwi...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anashtakiwa kwa makosa ya kumiliki nyaraka za siri za Serikalii zikiwemo za nyuklia na zinazohusu mipango ya kijeshi ya Taifa lake.
Imeelezwa katika mashtaka 37 yanayomkabili ya kuficha nyaraka hizo katika mjengo wake uliopo Florida, baadhi ya nyaraka...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za Serikali.
Wakili wa Trump ameweka wazi kuwa Mwanasiasa huyo atafika Mahakamani hapo Juni 13, 2023 lakini kwa sasa wanasubiri Hati ya...
federal jury in New York found former President Donald Trump liable for battery and defamation in a civil trial stemming from allegations he raped the writer E. Jean Carroll in a department store dressing room in the mid-1990s.
She was awarded $5 million total in damages.
The jury, made up of...
Licha ya kufunguliwa mashtaka hayo ya kughushi nyaraka za biashara ikiwemo malipo haramu ya Dola 130,000 kwa Staa wa filamu za ngono Stormy Daniels, Trump amewaambia wafuasi wake kuwa hana hati.
Akizungumza akiwa nyumbani kwake Florida baada ya kutoka Mahakamani Jijini New York, Trump amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.