tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanandoa tuache unafiki na huu msemo “amelala na mchepuko kwenye kitanda wanacholalia na mkewe/mmewe”

    Hakuna watu wanafki kama watu walioingia kwenye NDOA na hata hawa wapambe. nasema ni wanafki zaidi ya walio nje ya ndoa... Kama una hako kamsemo kakuwaambia watu au kuelezea kesi za watu huku ukiitaja hii sentensi hebu iache mara moja unajiaibisha. “amelala/kafumaniwa na mchepuko tena kwenye...
  2. Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

    Habari zenu wakuu. Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF. Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari...
  3. Wabunge tuache kufananisha awamu ya Tano na ya Sita, tunakosea sana

    Awamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo za kuchelewesha mambo kwa kuongeza ukiritimba. Awamu ya Tano iliendesha nchi kama vile dereva...
  4. Watanzania tubadilishe mitazamo yetu ya kunyanyapaa wanyama, nao wana haki ya kuthaminiwa

    Ni kawaida sana kwa hapa nchini wanyama kuteswa, kunyanyaswa, kupigwa, n.k na hii iaonekana kawaida sana, hata kesi yake faini ni laki moja ama kifungo cha mwezi. Hawa wanyama nao ni viumbe kama sisi licha ya tofauti tulizonazo lakini nao wana hisia, nao wanasikia maumivu, hawapendi...
  5. Tuache lawama! Kila mtu hupokea kulingana na Mchango wake katika jamii

    Kumekuchwa! Ukitoa Mia utapokea Mia. Ukilima mahindi bila Shaka utavuna mahindi! Maisha ni mfano wa kioo, ukicheka yanacheka ukinuna yananuna! Taikon siku zote atasema ukweli hata Kama unauma, ukweli ni ukweli tuu. Hili la Profesa Jay kuchangiwa limezua minong'ono kwenye jamii, hata hivyo hii...
  6. Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  7. T

    Tuache siasa kwenye mambo nyeti. Tuwe na wanasheria wa Taifa na siyo wanasheria wa Serikali

    Kwa ubush lawyer wangu ukifuatilia matukio ya Sabaya mahakamani na matukio ya Mbowe mahakamani unaona kabisa wanasheria wa Serikali wanahama kwenye taaluma ili kumfurahisha mwanasiasa mwenye vifaru. Wakati huyo huyo mwanasiasa ndiye aliyeagiza. Kumfanya mwanasheria wa Taifa kutampa Uhuru wa...
  8. Tuache kuvumilia wazembe, wajinga na wapumbavu makazini, wapo watanzania wengi uraiani hawana ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza Ni ujinga na upumbavu kuendelea kulea wazembe, wajinga, wapumbavu, wezi nk huko makazini huku mtaani kuna malaki ya vijana kwa wazee hawana ajira. Ni wakati wa Serikali, taasisi zake, na mashirika yote yaliopo Tanzania kulibeba hili na kutolea wazembe, wajinga na...
  9. Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
  10. Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

    Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe. Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire. Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
  11. Tuache unafiki, Utawala Awamu ya 5 ulikuwa hatarishi!

    Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi. Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa. Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea...
  12. M

    Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba usipokee Maombi ya Watanzania ulete Mvua, bali acha Kwanza tufe ili Akili zitukae sawa na tuache kuwa Mazuzu

    Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
  13. C

    Tuache porojo, hii ndiyo sababu ya kwanini Taifa Stars imepoteza. We're exactly where we belong

    Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu! Hebu twendeni taratibu, hatua kwa hatua. Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile wanavyoonesha sasa... je, kama wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa...
  14. T

    Suluhisho la wamachinga halina wala halijawahi kuwa na uhalisia hapa nchini! Tuache kujidanganya

    Kundi la vijana wasio na ajira rasmi linaongezeka kwa kasi kubwa sana, kila kukicha wanakuwa wengi leo kuliko jana. Mzee kikwete alikuja na ufumbuzi eti wa kujenga machinga complex ambayo matokeo yake haijapunguza tatizo hata tone moja. Namuona rais wa sasa anajaribu kupitia njia ileile eti...
  15. Tuache kuuma Uma maneno, Manara kamlilia Mungu wake Na Mungu amemjibu

    Kuna watu Dua zao huwaga Ni kun faya kun hasa hasa pale Haki inapokuwa upande wao. Na bado!!! Kufa hamfi ila cha Moto mtakiona..
  16. F

    Tuache polisi walinde amani

    Katika hotuba zilizonivutia katika kipindi hiki ni hotuba ya Jaji Warioba. Naomba ninukuu Tuache polisi walinde amani tusiwatake polisi walete amani kwani hiyo si kazi ya polisi. Kuleta amani ni kazi ya jamii.
  17. Tuache Ufyatu: Nyerere Alikuwa Rais wa Wapi?

    Kumbukizi ya Nyerere inaweza kuadhimishwa popote. Nyerere hakuwa Rais wa Kijiji cha Butiama...Kuna vya kulalamika..hili si mojawapo.
  18. Tuache unafiki, kumuacha umpendae sio rahisi hivyo

    Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri. Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo majibu ya wadau wengi,ila ukweli kumuacha mke unayempenda sio rahisi hivyo tusidanganyane. Hao...
  19. Ifike mahala Watanzania tuache kusomea ualimu, supply imekuwa kubwa mno kuliko demand

    Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya maelfu. Tusipochukua hatua hii, ipo siku idadi ya walimu itakuwa sawa na wanafunzi. Hivyo basi tujiulize...
  20. T

    Tuache utani TTCL hawako serious kwenye biashara ya internet

    Kwa kweli mimi nimeinua mikono kwa internet ya TTCL. Ni internet ya hovyo sijawahi kuona. Kuna mtu aliwahi kuandika humu kwamba mshikaji wake anaishi Tabata, anatumia mtandao wa TTCL, akilalia ubavu wa kulia anapata mtandao ila akibadilisha akalala ubavu aa kushoto ama akalala chali hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…