Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Unaweza kusema Kuwa CHADEMA wameamka kutoka usingizi wa Pono ,kwa sasa wameanza kuzinduka ,wameanza kuutambua ukweli ,wameanza kujua mbivu na mbichi.
Hii ni baada ya kutumika kwa miaka mingi,kunyonywa kwa miaka mingi ,kudanganywa kwa miaka mingi ,kuburuzwa kwa...
Kwenye Mwananchi ya Leo kuna habari hiyo.
CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buku moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone
Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitolea 10B
Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli
Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Ndg. John Heche amezungumza na watanzania jioni ya Tarehe 11 July 2026 nyumbani kwake Tarime mjini ambapo amewashukuru kwa simu na jumbe za pole.
Pia soma:Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.