Tuhuma za Heche zinafukuza matajiri kuchangia CHADEMA

004

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
2,257
Reaction score
3,239
Kwenye Mwananchi ya Leo kuna habari hiyo.

CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buku moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone

Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitolea 10B

Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli

Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha MO29

ALUTA KONTINUA
 
CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buko moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone

Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitole 10B

Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli

Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha MO29

ALUTA KONTINUA
Lazima tuwachikishe adabu hawa washenzi
 
Nilitaka nichangie 20million lakini ufisadi wa Heche sitachangia.
 
Kwenye Mwananchi ya Leo kuna habari hiyo.

CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buku moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone

Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitolea 10B

Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli

Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha MO29

ALUTA KONTINUA
wabongo wengi uwa mnafanya maamuzi au judgement ya vitu kwa mihemko,we unauthibitisho gani wa tuhuma umefanya ukaguzi/au uchunguzi wa izo tuhuma na kuthibitisha ni kweli ?au ndo kila udaku mnachukua tu kwa watu wenye akili timamu uwa hatukurupukii vitu bila vithibitisho na kujionea kwa macho
 
Usisahau pia kuwa inaweza kuwa njia ya kufukuza manyani, kuona nani kweli ni mwanachama na nani alikuwa opportunist.
 
Kwenye Mwananchi ya Leo kuna habari hiyo.

CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buku moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone

Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitolea 10B

Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli

Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha MO29

ALUTA KONTINUA
Kweli propaganda kiboko....hapo anatafutwa atolewe ili waridhiane baada kutuaaa
 
Kwenye Mwananchi ya Leo kuna habari hiyo.

CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buku moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone

Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitolea 10B

Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli

Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha MO29

ALUTA KONTINUA
Na fala kama wewe na mavuzi yako Kama kichaka unajiona binadamu ,pumbavu shenz type
 
Kwenye Mwananchi ya Leo kuna habari hiyo.

CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buku moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone

Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitolea 10B

Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli

Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha MO29

ALUTA KONTINUA
Haziwezi kufukuza matajiri bali watatoa michango yao kwa kificho zaidi na tahadhari kubwa mnoo ili kuibomoa CCM hii iliyojaa vibaka sugu.
 
Kwenye Mwananchi ya Leo kuna habari hiyo.

CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buku moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone

Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitolea 10B

Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli

Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha MO29

ALUTA KONTINUA
Hatujitaji matajiri majizi kuichangià. Tunahitaji common man kuichangia. Ukichangiwa na majizi, uta compromise kuwawajibisha.

Not.media.zote Tanganyika ziko mfukoni kwa ccm
 
Chadema inaendeshwa na wanachama hao matajiri wasitoe tutachangia kibamia zetu chama kitasimam....hatutaki 1B za mashariti .
 
Back
Top Bottom