tuhuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Jeshi la polisi linafanya uchunguzi wa malalamiko ya mwananchi mmoja dhidi ya askari polisi wa kituo cha polisi Goba

    Taarifa kwa vyombo vya Habari. Dar es salaam, 16/11/2021 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linafanya uchunguzi wa tukio la kijana anayefahamika kwa jina la Issa Kassim (20) mkazi wa Goba Wilaya Kinondoni kudaiwa kupigwa na askari wa Jeshi la Polisi na kusababishiwa maumivu makali...
  2. Ferruccio Lamborghini

    Ludewa: Kijana mbaroni kwa tuhuma za kumbaka nguruwe

    Mkazi wa kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe. Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
  3. B

    Tupate uthibitisho wa tuhuma zinazomkabili ASP Jumanne shahidi Na. 8 wa Jamhuri kesi ya Mbowe

    Naomba kwa mwenye usahihi wa tuhuma zinazoelekezwa kwa shahidi Na. 8 atusaidie kuziweka hapa for future reference lakini pia kusaidia familia yake kujua kijana wao huko kazina anatumikia umma au anajitumikia. Hadi Sasa zipo tuhuma tatu nzito dhidi yake ambazo Ni: 1. Anatuhumiwa kumwekea...
  4. F

    Hukumu ya Sabaya yaweza kuwapa wananchi kiburi ya kuibua tuhuma zingine kwa wateule awamu ya 5 na hata ya 6.

    Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida. Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu. Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma...
  5. Erythrocyte

    Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

    Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu . Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa...
  6. Miss Zomboko

    Kansela wa Austria atangaza kujiuzulu kwa tuhuma za Ubadhirifu

    Kansela wa Austria Sebastian Kurz amesema anapanga kujiuzulu kutokana na shinikizo la tuhuma za ubadhirifu, na nafasi yake itajazwa na waziri wa mambo ya nje. Kurz amekuwa akikabiliwa na tuhuma kwamba chama anachokiongoza kilitumia fedha za serikali kujiunufaisha na fadhila ya vyombo vya...
  7. mshale21

    Jeshi la Polisi lamshikilia mwanaume kwa tuhuma za kumchezea sehemu za Siri mtoto

    Polisi Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima wa Mlandizi kwa kumdhalilisha Mtoto wa kike mwenye miaka mitatu kwa kumchezeachezea sehemu za siri Alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea Mwanafunzi huyo wa Chekechea ==== Polisi Mkoa wa Pwani wanamshikilia...
  8. S

    Kosa kubwa alilofanya IGP Sirro katika tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe, ambalo linaweza kuleta fedheha mbaya kwake binafsi, kwa Polisi na Tanzania

    Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo? Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka...
  9. msovero

    Rais wa Chama cha Walimu (CWT) Bi. Leah Ulaya, asimamishwa kwa tuhuma nzito

    Dodoma. Baraza Kuu la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) limemsimamisha rais wa chama hicho, Leah Ulaya kwa madai kuwa ameshindwa kuwaunganisha walimu na kueleza changamoto zinazowakabili. Kwa uamuzi huo, Leah atasubiri hatima yake katika mkutano mkuu wa CWT utakaofanyika mwaka 2022 ili kujua...
  10. Idugunde

    Sakata la Mbowe kuwa na tuhuma za ugaidi isiwe sababu ya kutaka Watanzania tuamini anaonewa. Tuache mahakama iamue.

    Kila mwanaChadema anataka kuwaaminisha watanzania kuwa Mbowe amebambikizwa shitaka la ugaidi. Mbowe anaonewa maana sasa amewekwa kwenye sero ya wafungwa wa kunyongwa. Sawa, mnaweza kuwa sawa lakini suala lipo mahakamani. Ibara ya 13 ya JMT ipo wazi kabisa kuwa hakuna mtu atakuwa na hatia mpaka...
  11. Chakaza

    TAKUKURU, Bila Kuchunguza hii Rushwa ya Bunge, bora ivunjwe

    Kumekuwa na tuhuma nyingi kuwa Taasisi ya Kuzuia Rushwa ni Toothless bull dog na kwamba taifa linapoteza fedha nyingi kuiendesha wakati haina tija yeyote. Na haya yamesemwa mpaka na wabunge wenyewe. Kuna tuhuma ambazo zimekuja kama swali bungeni leo kuhusu wabunge wa CCM kupewa rushwa ya...
  12. Pununkila

    Arusha: Askari SUMA JKT wakamatwa kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia askari watatu wa Suma JKT kwa tuhuma za kumtesa hadi kumuua mkazi wa eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru, Almasi Mohamed wakimtuhumu kwa wizi wa mahindi. Kamanda wa Polisi Mkoa Arusha, Jastine Maseju akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Septemba 7...
  13. Roving Journalist

    Hassan Said(26), Askari Magereza Ukonga, ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI ACP Debora Magiligimba RPC Ilala Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said, 26, Askari Magereza, Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29...
  14. Mindi

    Tuhuma za Polisi kubambikiza kesi, kunyanyasa, kutesa na kuua watu, zinahitaji hatua madhubuti

    Kumekuwa na tuhuma nyingi zikielekezwa Jeshi la Polisi kuhusu kubambikiza kesi, kunyanyasa raia ambao ndio wanapaswa kuwalinda, utesaji wa watuhumiwa hadi wengine kuuwawa, kama ilivyotokea kwa mdogo wa mh. Heche, aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA. Huyu alikamatwa na polisi, na akiwa...
  15. N

    Askofu Gwajima ashindwa kutoa ushahidi wa tuhuma zake dhidi ya chanjo

    Katika kikao kinachoendelea Bungeni leo agosti 31, Kamati ya maadili iliyowahoji Askofu Josephat Gwajima na mbunge Jerry Slaa imetoa ripoti yake na mapendekezo ya adhabu. Kwa upande wa askofu josephat Gwajima, Kamati imesema kua ilimtaka atoe evidence juu ya zile tuhuma alizokua...
  16. waziri2020

    TAKUKURU Kilimanjaro chunguzeni tuhuma hizi

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwamba aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ndaki Muhuli ambaye kwa sasa amehamishiwa wilayani Kakonko alianzisha miradi ya ufyatuaji matofali na uchanaji wa mbao kama miongoni mwa miradi ya halmashauri ya Siha. Taarifa...
  17. beth

    Mali: Waziri Mkuu wa zamani akamatwa kwa tuhuma za ufisadi

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Boubèye Maïga, amekamatwa kwa tuhuma za ufisadi wakati wa manunuzi ya ndege ya Rais miaka kadhaa iliyopita. Anadaiwa kuhusika kwenye kuongeza gharama na ndege ya Rais ambayo ilinunuliwa kwa Dola za Marekani Milioni 40. Alikuwa Waziri Mkuu kati ya mwaka 2017...
  18. J

    Kamati ya Maadili ya Bunge leo inaendelea kumuhoji Askofu Gwajima

    Bwana Yesu apewe sifa! Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumuhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uongo na kulivunjia bunge heshima. Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama? Mungu ni mwema wakati wote.
  19. Mshana Jr

    Tuhuma inayoharibu future kwa maumivu makubwa. Je, Serikali ina la kujifunza?

    Hii ni simulizi ya kutia huzuni mno ya mhanga wa kusingiziwa tuhuma aliyekaa gerezani mahabusu kwa miaka tisa.. Pengine katiba mpya itarekebisha haya mapungufu ya kisheria. Kipindi cha pili na cha mwisho cha utawala wa hayati Benjamin Mkapa kulikuwa na matukio mengi sana ya uvamizi wa kwenye...
  20. Shujaa Mwendazake

    Tuhuma za ugaidi wa Mbowe "una-doubt" umakini wa Vyombo vya Usalama vya awamu iliyopita

    Nikiitazama hii picha, Nikitazama video nyingine za mtuhumiwa Mbowe akihutubia taifa na sehemu mbalimbali ambazo kulikuwa na viongozi wa kitaifa, kiserikali,kitaasisi, kidini na kisiasa napata tabu sana kufikiri walikuwa hatarini kiasi gani IKIWA Freeman Mbowe alikuwa ni Gaidi kweli. Walinzi...
Back
Top Bottom