tuhuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

    Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu. Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Bodi ya wakurugenzi Microsoft kumchunguza Bill Gates kutokana na tuhuma za kutembea na mfanyakazi

    Bodi ya wakurugenzi Microsoft inachunguza tuhuma za Bill Gates kutembea na mfanyakazi wa kampuni hiyo miongo miwili nyuma. ======= The board used an external law firm for a ‘thorough investigation’ but did not reach a conclusion as Gates stepped down. Microsoft Corp. conducted an...
  3. Erythrocyte

    Hai: Zaidi ya Wafanyabiashara 36 wathibitisha kuwa na Nyaraka za uhakika kuthibitisha tuhuma za Sabaya. Waomba kukutana na mamlaka inayomchunguza

    Hii ndio habari mpya inayosambaa Wilayani Hai kwa sasa baada ya Taarifa ya kufutwa kazi kwa aliyekuwa DC wa hapo bwana mdogo bilionea mpya Sabaya (miaka 34) , ambaye anachunguzwa kwa makosa mbali mbali ikiwemo uvamizi , uporaji wa pesa na wizi wa kuaminiwa ikiwa ni pamoja na ulevi wa madaraka...
  4. R

    Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

    Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri. Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke...
  5. M

    Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
  6. Miss Zomboko

    Zimbabwe: Mke wa Mugabe aitwa Mahakamani kwa tuhuma za kumzika Mumewe kinyume na utaratibu wa Kimila

    Mahakama ya Kitamaduni nchini Zimbabwe yamtaka Mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Grace Mugabe kufika mahakamani hapo kwa tuhuma za kufanya mazishi “yasiyofaa” ya hayati Rais Robert Mugabe. Grace Mugabe anatuhumiwa kwa kuenda kinyume na utamaduni wa jamii yao kwa kumzika mume wake katika boma...
  7. MK254

    Tuhuma za Rostam Aziz zichunguzwe. Wawekezaji walikuwa wanaikimbia Tanzania na kama tusingewapokea ungekuwa ujinga

    Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote hiyo tukamtupia nje, ichunguzwe kwenye ngazi zote. Ikumbukwe kwa kipindi cha JPM wawekezaji wengi...
  8. LESIRIAMU

    Lazaro Nyalandu jibu hizi tuhuma

    PDF la Lazaro _ Part 1. Kwa kuwa Mh Lazaro umerudi CCM, na umerudi kwa kuomba Msamaha, kwa dhati kabisa ukapokelewa pale kwenye mkutano mkuu maalumu wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa, na kwa maelezo yako ni kwamba umeomba radhi kwa uongozi wa CCM na ndo maana umepokelewa. Sawa, naomba hizi...
  9. GENTAMYCINE

    Kwa Kukengeuka na Kutukana simuungi mkono Nahodha wa Prisons, ila kwa tuhuma aliyoitoa dhidi ya Yanga namkubalia na Simba tumo pia

    Kuna Watu mmenishangaza kweli kweli kwa Hoja yenu kwamba inawezekana vipi Yanga SC kutaka Kuhonga Tsh Milioni 40 wakati hata Kombe lenyewe halina Kiasi kikubwa cha Pesa? Kitu pekee ambacho wengi wenu ( hasa Wanafiki ambao ni wana Yanga SC ) ni kwamba tayari Yanga SC imeshajua kuwa katika Ligi...
  10. M

    TFF fuatilieni hii tuhuma kwa Yanga kuwahonga wachezaji wa prison

    Akihojiwa baada ya mechi Benjamin Asukile amesema yanga walikuwa wanawapigia simu wachezaji wa prison wawape mil 40 ili kupata mteremko mechi ya leo. Fuatilieni hii tuhuma maana shahidi wa kwanza ni huyo Asukile. Ikigundulika ni uongo basi Asukile achukuliwe hatua na kama ni ukweli maana yake...
  11. Mdaiwa-Sugu

    TUHUMA: DED Karatu adaiwa kuwanyanyasa na kutamba kuwafanya chochote Watumishi bila kufanywa chochote

    Huyu ni DED wa wilaya ya Karatu. Anaitwa Waziri Morice. Ananyanyasa sana watumishi wa Serikali katika wilaya yake na anavyowanyanyasa anatamba kuwa anaweza kuwafanya chochote na watumishi hao wasimfanye chochote wala kumpeleka popote. Baadhi ya Mambo ambayo amekuwa akiyafanya: 1. Amekuwa...
  12. Jembe Jembe

    ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

    Askari Polisi saba wakiwemo watano wa kituo cha Polisi Usa Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na wawili wa Kituo Kikuu cha Polisi Arusha wamefukuzwa kazi kwa fedheha kwa kosa la kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 100. Wiki iliyopita Kamanda wa TAASISI ya Kuzuia na kupambana na Rushwa...
  13. S

    Doto Biteko kanusha tuhuma zinazokuandama mtandaoni vinginevyo Watanzania wataaamini kuwa ni kweli

    Waziri wa Madini Doto Biteko kwasasa ni vyema utoke hadharani wewe kama wewe na kukanusha tuhuma zote zinazokuja katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama inavyosema kuwa katika awamu ya sita ulifanya Wizara ya Madini kuwa ni sehemu ya kanda yenu. Kanusha kuhusu wizi wa madini ya Tanzania...
  14. Erythrocyte

    Ni lini Spika Job Ndugai atajibu tuhuma za yeye na Wabunge kuhongwa Pesa na serikali ya Magufuli ili kupitisha miswada mibovu ya sheria kandamizi?

    Mh Mbowe katika hotuba yake kwa Taifa pamoja na mambo mengine mengi aliyoyazungumza, pia alizungumza kwa msisitizo sana jinsi Bunge la Tanzania lilivyogeuzwa kuwa Muhuri wa kupitisha Sheria mbovu za ukandamizaji pamoja na kuunga mkono bajeti za serikali zenye makando kando. Mbowe alitamka bila...
  15. Pascal Mayalla

    TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

    Wanabodi Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni mada za uzalendo kutoka kwa mzalendo wa kweli wa taifa hili. Mada ya leo ni kujadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hapa nchini kwetu, hii ni idara yetu ya Usalama wa Taifa, TISS. Introduction ya Mada Hii ni mada very...
  16. brave one

    Diamond ajibu tuhuma za kudharau Redio na TV

    CEO wa Wasafi, Diamond Platnumz amedai kuwa kitendo cha baadhi ya watangazaji na waandishi kushikilia kumzungumzia na kumuandika kwa Mambo mabaya, cha kujipotezea muda kwao. Kwenye exclusive interview na Prince Ramalove kupitia Kings FM, Diamond Alifafanua kauli yake ya kusema kuwa yeye...
  17. Pascal Mayalla

    Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

    Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani!. Hii karma wakati wa kuhukumu, haina huruma kwa sababu hukumu zake ni za haki, unaweza kulipa mema, au kupigwa na mapigo ya kufidia uovu!. Karma ni powers of 'cause and effects' ambapo...
Back
Top Bottom