Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC.
Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka.
Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) kimejibu tuhuma kuwa kuna baadhi ya viongozi wa juu wa chama hicho wanafuja fedha za michango ya Wanachama kwa kugawana zaidi ya Tsh. Milioni 400.
Kufahamu zaidi kilichosemwa kuhusu tuhuma hizo, soma hapa - CHAKUHAWATA wawageuza...
Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho.
Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
TAARIFA YA KESI ZINAZOENDELEA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA
MASHEIKH 6, LEO IJUMAA TEREHE 1/12/2023, WAMESHINDA KESI LAKINI WAMECHUKULIWA TENA NA VYOMBO VYA DOLA
Masheikh hao ni sehemu ya mamia ya Waislamu walio kamatwa na serikali ya Tanzania mika 10, iliyopita na...
CCM naona huwa wanatoa matamko tu ili jambo lipite. Waanajua watz ni watu wasahaulifu sana na hawafuatilii mambo. Mfano.
1. Tume za waziri mkuu kubusu kuungua masoko.
2. Tume za waziri mkuu uoigaji wa pesa za umma.
3. Madini ya ruby Dubai.
4. Nyara za serikali nchini Australia kutoka...
Kesi dhidi ya aliyekuwa Mama wa Taifa wa Zambia Esther Lungu, mke wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Edgar Lungu, imeanza mjini Lusaka.
Anashitakiwa kwa tuhuma za wizi wa magari matatu, wizi wa hatimiliki ya mali huko Lusaka na kupatikana na $400,000 zinazodaiwa kuwa mapato ya uhalifu.
Anakabiliwa...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB), inakusudia kufanya uchunguzi wa kina ili kupata ukweli wa tuhuma za ukatili na udhalilishaji unaodaiwa kufanywa na Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul dhidi ya Hashim Phillemon, mkazi wa Babati Mjini.
Akizungumza na waandishi wa...
Wakati makundi mbalimbali yakimjia juu Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Pauline Gekul kwa madai ya udhalilishaji, mwanasiasa huyo kupitia katibu wa ofisi yake, ametoa ufafanuzi akigusia madai ya kuwapo imani za kishirikiana na ushindani wa kibiashara.
Ufafanuzi huo awali ulitolewa na Hussein...
Asubuhi ya leo nikikatiza maeneo ya mbuyuni huku Mbezi Beach wakati naelekea mjini tulipofika maeneo ya Kwa Mwinyi, pale ilipo nyumba yake ya miaka mingi rafiki yangu akanionyesha kiwanja kikubwa chenye heka kadhaa.
Akaniambia ni kwa sababu ya mvua tu lakini kuna michakato ya ujenzi wa Mall...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa saba kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha, na baadaye kumteka mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hani Hussein (29) Mkazi wa Masaki, Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashilia...
Hatua hiyo inafuatia taarifa za Wanajeshi kuvamia makazi ya Watu Oktoba 29, 2023 na kuwajeruhi kwa vipigo ikidaiwa ni kulipiza kisasi kwa madai kuwa Wananchi wa eneo la Garu Kaskazini Mashariki mwa Ghana waliwashambulia Maafisa wa Vikosi vya Usalama wa Taifa waliokuwa wakipambana na ugaidi...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa...
Dar es Salaam. Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya; Miriam Steven Mrita, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa hakuhusika na mauaji ya wifi yake kwani hata sababu inayotolewa si ya kweli.
Miriam alitoa...
Mahakama ya Qatar imetoa hukumu ya kifo kwa raia nane wa India ambao ni wafanyakazi katika Kampuni ya Al Dahra Nchini Qatar baada ya kukutwa na hatia ya kufanya ujasusi.
Maafisa hao walikamatwa Mwaka 2022 wakidaiwa kufanya ujasusi kwa kutumia teknolojia ya Qatar wakati wakiwa watumishi wa...
Mgogoro huo ulihusisha Makubaliano ya mwaka 2010 baina ya Nigeria na Kampuni ya Process and Industrial Developments Limited (P&ID) kuendesha Kiwanda nchini humo ambacho kingebadilisha gesi asilia inayochomwa wakati wa uzalishaji wa Mafuta kuwa Umeme
Kampuni hiyo ilipewa Kandarasi ya miaka 20...
Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa, Utakatishaji Fedha na Ubadhirifu wa Mali za Umma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jenerali Leonard...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu 1. ERICK S/O SINKALA [33] Mkazi wa Ilembo - Sumbawanga 2. SAID ERNEST MIHAYO [41] ña 3. AMOS BENARD NYANZANDU [25] wote wakazi wa Mbagala D’Salaam kwa tuhuma za kupiga ramli chonganishi @ lambalamba kwa lengo la kujipatia pesa isivyo...
Wakuu Salam,
Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu.
Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo.
Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.