Mwalimu wa dini wa shule za madrassa huko Tarime amekamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo.
Soma mwenyewe hapa chini.
======
MWALIMU wa madrasa kwenye Msikiti wa Kebeyo, Kijiji cha Getenga, Tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Shaban Harun (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi...
Na Walter Mguluchuma -Katavi
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Agustino Mikese Mkazi wa Kijiji cha Isinde Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mpanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kumbaka na kumtishia kumuua mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16...
Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani.
KOSA lake / TUHUMA yake ni
KUTAKA KUUA KWA KUKUSUDIA.
Na tayari ORDER...
Paroko wa Parokia ya Haydom, Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Bartazari Margwe Sule (63) amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Manyara kwa tuhuma za kuiba zaidi ya shilingi milioni 20 kwenye akaunti ya kaka yake, Dionice Margwe Sule ambaye inadaiwa kuwa ni mgonjwa wa kupoteza kumbukumbu...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano akiwemo Mkazi wa Kijiji cha Kiliwi wilayani Kwimba, Hoka Mazuri (48) na wanaye wawili kwa tuhuma kumuua mumewe, Mange Washa (49).
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amewataja...
"Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka,"
Habib Mchage Mwenyekiti wa MECIRA.
Kampuni ya Ulinzi (HOMASA SECURITY) inapata bahati ya kuingia mkataba na Bilionea ANDRON MENDES
Mkataba huu unahusisha kumlinda Bilionea huyu nyumbani kwake na Pia kulinda kwenye ofisi ilipo kampuni yake ya KOPA GAS huko maeneo ya Skanska Tegeta karibu na IPTL.
Bilionea huyu wa kitanzania...
Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa.
Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga??
Nimeangalia mara 5 clip ya "anayedaiwa kuwa mwanafunzi aliyejeruhiwa"...
Diwani wa Buzilasoga (CCM), David Shilinde na watu wengine 13 wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Getruda Dotto.
Mbali na diwani huyo, yumo pia Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B, William Nengo...
Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli.
Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameibua tuhuma nzito bungeni kuhusiana malipo ya shilingi triliioni 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizotakiwa kulipa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kama malipo ya CSR na faini kuchelewesha mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa miaka miwili kinyume cha...
Hatua hiyo imefikiwa baada ya shinikizo kutoka kwa taasisi za kimataifa ikiwa ni wiki moja tangu akamatwe.
Inadai kuwa mwanahabari huyo, Arlindo Chissale alinyimwa chakula alipokuwa kizuizini katika Mji wa Balama na uamuzi wa kuachiwa huru ulitokanana Jaji kuamua kuwa hakuna kesi yenye nguvu ya...
Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 48, amefikishwa katika Mahakamani Jijini Dakar huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama yaSerikali na inapaswa kutupiliwa mbali.
Mwanasiasa huyo aliyeshika nafasi ya tatu katika uchaguzi wa Rais Mwaka 2019, ameshaweka wazi nia yake ya kugombea Urais...
Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limethibitisha kuwa mwanafunzi wa darasa la 7 Iptisum Suleman Slim, alibadilishiwa namba ya mtihani na uchunguzi umepelekea kugundulika kwa wanafunzi wengine 7 kubadilishiwa namba zao za mitihani, na kuchukua hatua ya kuifungia shule ya Chalize Modern kuwa...
POLISI MANYARA YAWADAKA SUNGUSUNGU SITA KWA TUHUMA ZA MAUAJI.
Na John Walter-Babati
Mwili wa Mohamedi Musa Said (42) anaedaiwa kuuawa na kikosi cha ulinzi shirikishi (Sungusungu) wa usiku mjini Babati katika mkoa wa Manyara, umezikwa oktoba 17,2022 nyumbani kwao mtaa wa Kwere mjini hapa.
Baba...
MCHUNGAJI wa Kanisa la Anglikana Yombo Kiwalani jijini Dar es Salaam Edwin Taji, amesimamishwa kutoa huduma ya kichungaji baada ya kudaiwa kumtorosha mke wa muumini wake na kumpangishia nyumba maeneo ya Pugu Kajiungeni.
Madai hayo yametolewa na muumini wa kanisa hilo ambaye ni Mume wa mwanamke...
Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji.
Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki.
Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa.
Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze...
Mchungaji wa kanisa la kilokole Nurdin Abdallah, amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kosa la kumbaka kwa nyakati tofauti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka sita.
Chanzo: EA Radio
====
Mchungaji Nurdin Mahakamani kwa kumbaka mtoto wake
Mchungaji wa kanisa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.