"Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka,"
Habib Mchage Mwenyekiti wa MECIRA.