tujifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mundele Makusu

    Ukweli mtupu usiopingika kuhusu maisha

    Katika maisha ya leo ukijionea huruma, utakuja kutia huruma. Ukikosa nidhamu, utakuwa kuadabishwa na walimwengu Ukijidanganya utakutana na ukweli muda ukiwa umepita. Tujifunze na kutia maanani yafuatayo: 1.Thamani yako ndo inaamua mkate unaoingiza. Ikiwa chini, lazima ipande kubadili matokeo...
  2. mkarimani feki

    Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

    Wakuu nimekua nikipambana bila mafanikio. Nimejaribu fursa mbalimbali lakini mambo bado bilabila. Nimejaribu kufanya kilimo changamoto yake ipo kwenye umwangiliaji na soko, nimejaribu kutoa boda za mkataba lakini bado napigwa ngumi za pua. Najua JF pana wengi na hapakosi kuwa na mengi ya...
  3. ward41

    Tujifunze kutoka Gaza

    Rwanda ni nchi ndogo ki eneo lakini ina raia 13,000,000. Ukubwa wa jeshi la Rwanda ni kwamba Ina active personnel 33,000 Jeshi 33000 lenye serikali imara ni ngumu Sana ku-invade. Tujifunze Vita ya Israel na Hamas. Israel pamoja nakuwa na jeshi Bora na zana bora za kivita, lakini mpaka sasa...
  4. Kijana LOGICS

    Tujifunze kuongea mazuri ya Watu tuache unafiki, chuki na roho mbaya

    Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana. Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila...
  5. M

    Tujifunze kwa Wakenya kwenye riadha

    Muneria Wins Malaga Marathon in Spain as Kenyans Rule Road Races in Busy Weekend for Athletics The 2016 Africa Cross Country bronze medalist Charles Muneria clocked a personal best of 2:08:54 to win the Malaga Marathon on Sunday as part of what was a plentiful harvest for Kenyans in various road...
  6. R

    Kiimani zipo familia zikikaribishwa kwenye tawala lazima vifo na ajali viwe vingi; tujifunze kuchagua kwa kuongozwa na roho wa Mungu

    Zipo familia zikipewa nafasi ya kuongoza damu lazima itamwagika kwa wingi sana kwenye Taifa husika. Siyo watu wakuleta baraka bali ni watu wanaoambatana na laana. Zipo familia zikipewa nafasi wanaonungunika wanaongezeka ghafla. Manung'uniko yakizidi watu wanaacha kuombea kheri na hapo shetani...
  7. S

    Maoni ya Fundi Samico kuhusu ukamataji wa makahaba kiufundi; Tujifunze pamoja

    Heshima kwenu ndugu zangu! Nashawishika kuandika maoni haya Leo nikitambulika kama fundi Samico, Fundi bora kabisa wa umeme na ujenzi kwa bei nafuu kwa watu wote na taasisi! Wateja wangu ni wengi wakiwemo hata makahaba wenyewe! Napatikana kwa simu 0711756341 au Instagram tafuta...
  8. Bigmaaan

    The Advantage of being a latecomer: Yanga tunalo la kujifunza kwa Simba

    Miaka ya 2000 Mwanzoni, Mpira wa Uingereza—ligi fuatiliwa zaidi duniani—ulikuwa umetawaliwa na Klabu Mbili tu; ARSENAL na MANCHESTER UNITED. Liverpool alikuwa msindikizaji, Manchester City alikuwa bado 'chandimu'. Chelsea walikuwa na timu nzuri sana—Frank Lampard, John Terry, Joe Cole, Petr...
  9. SAYVILLE

    Maarifa Hatari: Embu tujifunze na kumjadili huyu Shetani vizuri

    Kwanza naomba mods msihamishe uzi huu kwa kuupeleka kwenye jukwaa la dini maana nataka tumjadili huyu Shetani katika misingi ya maisha yetu ya kila siku na si katika misingi ya dini. Naileta mada hii kwa tahadhari kubwa sana. Sina nia ya kumpromote huyu jamaa ila nadhani imefika wakati...
  10. Pascal Mayalla

    Tujifunze kuwa na Shukrani kwa Madogo ili Tupatiwe Makubwa!. Japo Tulitaka Kikubwa, Tumepewa Kiduchu!, Tukipokee Tushukuru, au Tususe Kudai Kikubwa?.

    Wanabodi, Huu ni wito kwa Watanzania tujifunze kuwa ni watu wa shukrani, tuwe na shukrani kwa kwa madogo ili tupatiwe makubwa!. Je tujifunze kuwa na shukrani kwa madogo ili tupatiwe makubwa!. Japo tulitaka kikubwa, Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, tumepewa kiduchu tuu!, je tukipokee...
  11. GENTAMYCINE

    Kwa pamoja wana JamiiForums karibuni tujifunze Kiingereza kilichoenda Shule ya Kuzimu cha Mwalimu wetu dr namugari

    'Otherwise these is absolutely rubbish;' by PhD Holder and JamiiForums Great Thinker dr namugari Tafadhali Wordsmiths Wengine akina jiwe angavu na Division One Mimi GENTAMYCINE nataka Kukijua hiki Kiingereza Kibovu cha huyu Member hapa Jamvini JamiiForums je, naweza kupata tu Mawasiliano yake...
  12. Mundele Makusu

    Tujifunze kitu kikubwa hapa

    Pichani:Muanzilishi wa KFC(Kentury Fried Chicken) HISTORIA YAKE.. Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4. Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba. Akiwa na miaka 20...
  13. Madear

    Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Ni kawaida sana kuona watu wakifuga kuku, ng'ombe, mbuzi, nguruwe, n.k. Lakini ni nadra sana kuona watu wakifuga samaki licha ya kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa shughuli za ufugaji samaki kutokana na kuwepo kwa maeneo yenye maji ya kutosha na hali nzuri ya hewa. Baadhi ya mataifa kama China...
  14. Ester505

    Tujifunze kwa Vicky kuhusu ndoa

    TUJIFUNZE KWA Vicky jamani kuhusu ndoa. Unakutana na mtu anakwambia nimefunga ndoa na Fulani ndoa ya serikali. Sasa huba nilemeee, wewe unafunga NAE Tena ndoa ya dini may be kanisani. Ndugu zangu, wewe unayefunga Nae ndoa ya pili wakati ndoa ya kwanza haijavunjwa MAHAKAMANI huna haki kisheria...
  15. The Burning Spear

    Watanganyika Tujifunze Kitu Hapa

  16. R

    Baada ya kuondoka Hayati Magufuli tumebakiwa na Tundu Lissu, vijana tujifunze uzalendo

    Habari jJF, Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:- 1. Ni watu wenye misimamo 2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi . Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa. Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo...
  17. TPP

    Tujifunze: Kipindi ambacho dini na imani zilianza kupoteza nguvu na kuanguka Ulaya

    Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini Ulaya kilianza miaka ipi na karne gani? Simple fact: Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu...
  18. Li ngunda ngali

    Ruto akiongea kuhusu kuwa na taasisi ya kiafrika ya kifedha mbele ya Rais wa Ufaransa

    Rais wa Kenya ndugu Ruto akimpa makavu bwana Emmanuel rais wa Ufaransa.
  19. Li ngunda ngali

    Jaji Warioba: Tujifunze kwenye mikataba iliyopita

    Mwananchi. Mzee Warioba ana maanisha nini anaposema waziwazi kwamba kwenye huo mkataba haitoshi kusema haya ni makubaliano na bila kupepesa macho AMESEMA WATAWALA WAANGALIE YASIYO FAA WAYAONDOE?!
  20. African Geek

    Njoo tujifunze namna ya kutengeneza Mobile Apps kwa Flutter

    Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS, Windows, Linux na Web. Kutokana na ujuzi mdogo nilioupata nikaona sio vibaya nikianzisha uzi huu ili...
Back
Top Bottom