Kuna mambo mengi ya hovyo yanaendelea nchini,
Bandari
Utalii
Madini
Mikopo ya kijinga
Ufisadi CAG report
Mfumuko wa bei n.k
Wanasiasa tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza ila nasikitika kusema wengi wa wanasiasa nchini Tanzania ni walafi, vibaraka na watumwa wa wageni.
Nasikitika kusema Rais...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania...
Habari zenu wakubwa, Kwanza nipende kuwashukuru wachezaji wetu wa Yanga kwa kuweza kuitangaza Tanzania kuwa tunaweza kupambana, pia nipende kutoa shukrani Kwa mashabiki, wadau wa mpira na pia mheshimiwa Rais wetu mpendwa kuwapa Ari ya kufanya vizuri.
Tumejionea hujuma zilizofanywa na wachezaji...
Hii ni kauli mbiu ya Chuo Kikuu Mzumbe S.L.P.1 Mororgoro, Tanzania. kutokana na hii kauli mbiu imewafanya viongozi wengi ambao wamepitia katika chuo hiki kuwa na hamu pamoja na uchungu katika kuleta maendeleo kwa wananchi hasa wale wenye uhitaji zaidi na hawana mtu wa kuwasemea changamoto zao...
Kama YUSUFU alimlea YESU,
Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA.
Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu.
Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani.
Hata wewe unayekataa kumlea mtoto wa mwanamke uliyemkuta NAE hii inakuhusu.
NIKO PALE NIMEKAA...
Usipokua mtu wa kuappreciate mambo mazuri wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza na kufanikiwa
Sisi waafrika hatu-appreciate mambo mazuri ya watu wengine ndo maana tuko vilevile, ni rahis sana kwa mwafrika kumuona mwezake amefanikiwa balaa ya ku-appreciate ataanza kumtuhumu ni...
Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi!
Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
Haya wale mliopo huko Rondo Chipota tunaomba mturushie picha za huko kijijini Rondo ili Watanzania wanyonge tuweze kujifunza kitu.
Natanguliza shukrani zangu
Juzi nimesikitika mnoo. Koloz wameolewa lakini kiunaume, mnajidanganya wazee kuolewa kuolewa tu. Hongereni pia kuiwakilisha Afrika Mashariki ma kati na kwa hatua ile mliyofikia Kyle Moroko. Nina hakika hata hili la NbC hapa kwetu mtalisikia kwenye Bomba.
Leo nina machache sana ya kushea, Moja...
Kichwa cha habari cha utafiti ni muhimu sana kwa sababu kinapaswa kuwa na maneno yanayoelezea kwa usahihi na kwa ufupi lengo la utafiti wako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia unapotafuta kichwa cha habari cha utafiti:
Eleza kwa usahihi na kwa ufupi lengo la utafiti wako: Kichwa cha habari...
HISA ZA KAMPUNI BINAFSI
Hisa za kampuni binafsi ni hisa zinazomilikiwa na watu wachache ambao wamealikwa na kampuni kushiriki katika umiliki wake. Kampuni binafsi mara nyingi hazina nia ya kuorodheshwa kwenye soko la hisa na kuuza hisa zao kwa umma.
Kwa kawaida, hisa za kampuni binafsi...
brela
company
fahamu
hisa
kampuni
kampuni binafsi
kisheria
kodi
kodi ya biashara
kuzingatia
lending
mambo
mambo ya kuzingatia
policy
private
sera
sera ya ukopeshaji
tujifunze
usajili brela
usajili wa biashara
usajili wa kampuni
Wanabodi,
Humu JF, mimi najihesabu ni mmoja wa waalimu wa somo gumu kabisa kwa watu wa kawaida. Hili ni somo la kitu kinachoitwa "psychoanalysis"
Kuijua psychoanalysis ni nini na ni ya kazi gani? tembelea hapa Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide...
Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika.
Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana...
Leo nimeamka nikiwa sina hata mia mbovu mfukoni,kila mshikaji niliyekua namuomba aniazime hata elfu 10 tu wote wakawa wananikataa.nikapekua simu yangu nikakuta jina la ex wangu ofcoz huyu dada tuliachana tu coz ya harakati za maisha na huwa tunachat mara moja moja tu kupeana salamu na vitu kama...
Watu wengi leo tumebaki na tunajiuliza kwanini wimbi la kuvunjika kwa ndoa linakua kwa kasi sana mashauri Mahakamani kuhusu taraka yamekuwa Mengi kiasi kwamba yanataka kuzidi Mashauri ya kesi za Ardhi?
Siku moja alinifata ndugu mmoja akawa ananisimulia kisa chake mke wake amekuwa akimfumania...
Watu 19 wamefariki na 26 kuokolewa kwenye ajali mbaya ya ndege huko Bukoba.Innaa Lilaahi wainna ilayhi raajiuun.
Kwanza ni wazi kuwa ni ajali iliyotokana na mipango ya Mwenyezi Mungu.Shirika la ndege na rubani hawana cha kulaumiwa.Zaidi ni kuwa rubani kwa haraka kabla uchunguzi anaweza...
Katika maisha ya mwanadamu kuna mambo mengi lakini mawili ni muhimu zaidi.
1. Kujielewa yeye ni nani na anahitaji nini.
2. Kujithamini kabla ya kuthaminiwa.
Ukishafahamu hayo kila kitu utakiweka panapostahiki.
Kuna watu wa kila aina ndani ya jamii zetu.
• Kuna waungwana
• kuna watwana...
Kuna mambo ambayo yapo nje ya uwezo wetu na Katu hatuwezi kuyabadilisha hata kidogo, huenda yanatukosesha Raha au kutufanya tusijiamini mbele za watu.
Fuatana nami ule Asali!
Kuna msemo unasema ukishindwa kulibadilisha Jambo basi likubali jinsi lilivyo, hakika hawakukosea kabisa,ukilikubali...
Wakuu Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Tanzania.
Twende kwenye mada wakuu nilikua naomba kujuzwa tofauti ya 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN na kazi zake kwa matumizi ya Wi-Fi maofisini na nyumbani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.