tujifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Leo tuachane na siasa, tujifunze magari yetu yanafanyaje kazi

    majority humu mnaendesha magari. Je, engine yako inafanyaje kazi? C&P
  2. East

    SoC02 Tujifunze Teknolojia kuanzia sasa na kuendelea

    Utangulizi Natumauni ni mzima wa afya, leo nitagusia baadhi ya kozi zinazohusiana na masuala ya teknolojia. Katika karne hii inakupasa ufahamu baadhi ya vitu ili uweze kuelewa tupo wapi na tunaelekea wapi. Pia kujifunza teknolojia itakusaidia kuelewa na kutatua matatizo madogo na hata makubwa...
  3. Etugrul Bey

    Tujifunze Kukataliwa!

    Hakuna kitu kigumu kukipokea kama kukataliwa na Yule unayempenda au unaye tarajia kuwa nae ktk Maisha ya kimapenzi. Tujue Kwanza kukataliwa ni haki ya yule anayetukataa,ana Uhuru na uamuzi wa kufanya hivyo,kwakuwa naye ana vigezo vyake vinavyo mfanya amchague mtu Fulani,kwahiyo tusipokuwa na...
  4. LegalGentleman

    Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    1. JOHN LENNON (MUIMBAJI) Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale...
  5. Inevitable

    Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Wakuu, Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania? UPDATE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
  6. FOX21

    Je, unaweza kushika ujauzito baada ya kujifungua (kipindi cha kunyonyesha)?

    Kweli wanawake wengi wanadhani kuwa hawawezi kupata ujauzito kipindi wananyonyesha hasa kutokana na kutopata hedhi au kupata hedhi kidogo katika miezi ya awali tangu wajifungue. Kitabibu ni sahihi kunyonyesha na ni mojawapo ya njia ya asili ya uzazi wa mpango ambayo watu wenye imani za kidini...
  7. G Sam

    Kukumbukia ukatili kumetufanya tusahau matatizo mengine yote kwa muda. Watanzania tujifunze

    Hakuna ubishi kuwa enzi ya utawala wa awamu ya tano wa hayati John Magufuli kulikuwa na vitendo lukuki vilivyokuwa na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kuanzia watu kuokotwa fukweni, kupotea, kupigwa risasi, kutishiwa wahame vyama, kunyamazisha vyombo vya habari, kutaifisha, kwenda kinyume na...
  8. Chendembe

    Tujifunze hapa

    KUNA MWALIMU MMOJA ALIINGIA DARASANI AKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO: (1) 9+1=70 (2) 9+2=11 (3) 9+3=12 (4) 9+4=13 (5) 9+5=14 (6) 9+6=15 (7) 9+7=16 (8) 9+8=17 (9) 9+9=18 (10) 9+10=19 Alipo maliza kuandika tu, akaona wanafunzi wote walikua wanacheka, kwasababu alikua amekosea swali la kwanza...
  9. Mia saba

    Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

    Nilimwona nikadhani malaika wazam Yuko duniani Nikamtamani kwa uzuri uliopitiliza Nikatongoza - ikagoma Nikatongoza - nikapewa shit Nikatongoza - nikapewa namba Uhusiano - miez 1 na nusu Omba mzigo - kachomoa Omba mzigo - ntakuja kukutembelea. Nikateleza😋 Akakagua simu - akapata presha Nikaomba...
  10. tutafikatu

    Tanzania Tujifunze: Russia inafadhili vikundi vya mazingira, vinavyopiga kelele Ulaya na Marekani kuzuia uzalishaji nishati

    Kuna vikundi vitatu vikubwa nchi za Ulaya na Marekani, ambavyo vimekuwa vikibweka sana kuzuia miradi mikubwa ya uzalishaji nishati mbadala kwa Ulaya na Marekani ambavyo vimesababisha uzalishaji wa nishati kwa nchi hizo upungue sana, hadi kuifanya Ulaya sasa kutegemea Nishati ya Russia kwa...
  11. K

    Tujifunze kumpenda Mungu sio kumjaribu

    Wakati huu wa kwaresma ni wakati wa kukumbuka pamoja na kwamba Mwenyezi Mungu anatulinda tusimjaribu. Mungu ametupa uwezo wa kujua na kugundua dawa hivyo tusiache kutumia na kusubiri Mungu. Kwa ufupi kumjaribu Mungu sio swala zuri na kuwaambia watu waache kufuata njia za kinga kama kutumia...
  12. Q

    Tufungue Ukurasa Mpya: Tujifunze siasa za Kenya. Leo Uhuru anampigia kampeni Odinga

    Kitendo Rais Samia Suluhu kukutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe huenda kikafungua ukurasa mpya katika siasa za Tanzania. Inasemwa kuwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu. Tukubali katika eneo la Afrika Mashariki na Kati kisiasa Kenya...
  13. Little brain

    Yanga tuwe tunajifunza kutokana na makosa pia tujifunze kitu kutoka kwa Simba SC

    Hii mechi maandalizi yake hayana tofauti na yale ya Rivers united au ile ya Azam kule Zanzibar. Wachezaji waache kupewa ruhusa za kiduwanzi na mchezaji akichelewa kureport apigwe bench na adhabu kali, haya mambo tukicheza mechi mbili au tatu wachezaji wanaenda kula bata tuache ni ushamba.
  14. figganigga

    Tujifunze Kiingereza na Kiswahili hapa

    A - a -a prep. of. -a baridi adj. cold. abiria n. passenger. -abudu v. worship; adore. -a bure adj. free. -acha v. cease; allow; leave; let go; abandon. -achana v. leave each other. -achia v. leave to / for. ada n. fee. adabu n. good manners. adhabu n. punishment; penalty...
Back
Top Bottom