Hakuna kitu kigumu kukipokea kama kukataliwa na Yule unayempenda au unaye tarajia kuwa nae ktk Maisha ya kimapenzi.
Tujue Kwanza kukataliwa ni haki ya yule anayetukataa,ana Uhuru na uamuzi wa kufanya hivyo,kwakuwa naye ana vigezo vyake vinavyo mfanya amchague mtu Fulani,kwahiyo tusipokuwa na...