tulinde amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tulinde amani kwani hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania

    KABLA YA OKTOBA 29, 2025, Mambo yalikuwa shwari, wananchi walipata usafiri kwa haraka na nafasi. Walemavu na wanafunzi wote walipata huduma, wafanyakazi walifika kazini on time. Lakini uwajibikaji huo ulirudishwa nyuma. Baada ya tukio la tarehe 29 Oktoba 2025, vijana waliorubuniwa na watu...
  2. JamiiForums Tanzania TUDUMISHE UTAMADUNI, TULINDE AMANI, TUJENGE MARIDHIANO. UMOJA WETU NI NGUVU YA TAIFA LETU.

    Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la Kitaifa la Utamaduni amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN alionekana kucheza mchezo bao...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini. Rais Samia amebainisha hayo Jumatano Mei 6...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siasa ni maendeleo si uhasama: Tulinde amani na mshikamano wa taifa kwa maendeleo endelevu

    Katika kipindi hiki tumeshuhudia mijadala ya kisiasa ikizidi kuwa mikali na yenye hisia kali. Hali hii inatukumbusha umuhimu wa kurejea kwenye misingi imara ya taifa letu: amani, umoja na mshikamano. Kwa maslahi ya Taifa, ni vyema wanasiasa, wanaharakati wa haki za binadamu na wadau wote wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tulinde amani na kuacha mafisadi wa CCM wakiiba rasilimali zetu za umma?

    Hiyo ndio maana inayotamkwa hadharani kuwa tukae kimya kama mapimbi huku familia za mafisadi wachache wa CCM wakifaidi mali za umma kihuni. Hapo kunakuwa na umuhimu wa amani?
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Eveline Munisi: Viongozi wa vyama vya siasa tulinde amani

    Nianze kwa kupongeza TLS kwa kutuandalia hili kongamano ambalo binafsi limenifungua mambo mengi kuhusiana na sheria ya uchaguzi, na yaliyopo ndani ya Katiba kwa ujumla. Suala wa wasimamizi lilikuwa shida sana pale awali kwa sababu kila kitu kwenye uchaguzi ni serikali inasimama. Lakini kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…