tume ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Wapigakura milioni 34.7 wanatarajiwa kushiriki Uchaguzi mkuu Oktoba

    Akizungumza leo Machi 5, jijini Dar es Salaam katika Mkutano wa Tume na wadau wa Uchaguzi, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Waliohukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, kuondolewa kwenye daftari la Wapiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa mtu yeyote anayehukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, anapoteza sifa za kuwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Hatua hii inalenga kuhakikisha kuwa wapiga kura wanaostahili kushiriki...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuwe na Tume ya Uchaguzi inayoshitakiwa ikikosea kwenye uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam "Utaratibu mzima wa kupiga kura umevurugwa na namna ya...
  4. Ngongo

    Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi kupunguza majimbo ya Zanzibar, itawakilishwa na wabunge 5 au 6

    Heshima sana wana jamvi. Tume inayojiita tume huru imetangaza mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi. Vigezo vikuu ni idadi ya watu na ukubwa wa eneo. Majimbo ya mijini idadi ya watu itakuwa kuanzia watu 600,000 huku majimbo ya Vijijini idadi ya watu itakuwa kuanzia 400,000. Idadi ya jumla...
  5. Cute Wife

    TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Wafula Chebukati afariki dunia

    Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, ameaga dunia. Pia soma: Kenya 2022 - Chebukati asimulia yaliyomkuta kabla ya kutangaza matokeo urais Kenya Jumatatu, Bw. Chebukati alilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja jijini Nairobi baada...
  6. T

    Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amelazwa ICU

    Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU == Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi. Bw...
  7. Mdude_Nyagali

    Mapendekezo ya Mdude kuhusu reform ya tume ya uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu 2025

    Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume hiyo. Kumbuka kwamba Rais anayeteua viongozi na watendaji wa tume pia ni kiongozi wa chama mojawapo...
  8. milele amina

    Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Mfumo wa Upigaji Kura wa Kibaha, secondary ni Njia nzuri ya Kuondoa Wizi na Malalamiko Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania. Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu na uhalali wa matokeo. Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hili, shule ya sekondari ya Kibaha...
  9. Mindyou

    Pre GE2025 Tanga: Afisa Mwandikishaji Handeni ataka waandikishaji wasaidizi kutunza siri za wananchi watakaojitokeza kujiandikisha

    Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Handeni Mjini Maryam Ukwaju amewataka waandikishaji wasaidizi,kuhakikisha wanatunza siri za wananchi watakaojitokeza kujiandikisha kwenye Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Ukwaju amesema hayo wakati akifungua Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi ngazi ya...
  10. Mindyou

    Pre GE2025 Picha: Washiriki wa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki Tanga wakila kiapo kabla ya kuanza mafunzo

    Wakuu, Ukishaanza kuona picha kama hizi ujue kabisa Uchaguzi umekaribia. Hawa ni moja watu watakaoenda kuamua nani ataenda kuwa diwani, Mbunge au Rais wako. Wasiende tu kurudia yale mambo tuliyoayaona kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa =============================================...
  11. K

    Pre GE2025 Ushauri wa upendo kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)

    Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu 2025 ni Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mmesikia Vyama vya Upinzani wakilalamika jinsi wanavyohujumiwa kwenye chaguzi zilizopita na hasa chaguzi za Serikali za Mitaa 2024 na Vyama vingine vikitamka...
  12. M

    Jopo la kamati ya uteuzi wa Tume ya uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC waapishwa

    Tujiulize wa jumbe wa Tume yetu ya Uchaguzi wanapatikana vipi? Wenzetu wapo mbali sana.
  13. Lord denning

    Sio dhambi! Tume ya Uchaguzi wakajifunze kwa CHADEMA namna ya kuendesha chaguzi

    Hawa wanalipwa mishahara na posho kwa kodi zetu sisi watanzania. Ila kwa kifupi hawaendeshi chaguzi ila wanafanya maigizo ya kaole tena kwa fedha za watanzania ili kuonyesha upuuzi na ujinga wa mtu mweusi kupitia sanduku la kura. Rai yangu leo. Naomba wafanye study tour ofisi za CHADEMA Makao...
  14. Megalodon

    Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

    Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden. That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti...
  15. F

    Kwa kifupi jinsi kura zinavyoibiwa kupitia daftari la mpiga kura. Unajua kwanini vyama vinapigania daftari la mpiga kura kuliko Tume ya Uchaguzi?

    Kimsingi zoezi la uandikishaji wa wapiga kura linapaswa kufanywa na kusimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi pekee na sio watendaji wa serkali za mitaa ambao wanawajibika moja kwa moja kwa watawala wa serkali. Jinsi kura zinvyoibwa kupitia daftari la mpiga kura: Unakuta kituo X waliojiandikisha...
  16. Roving Journalist

    Pre GE2025 Dodoma: Tume ya Uchaguzi yawanoa Maafisa wa Polisi kuelekea uchaguzi

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi (INEC), Kailima Ramadhani amesema wameamua kulijengea uwezo Jeshi la Polisi ili waweze kutambua matakwa ya Sheria za uchaguzi na kuepusha kuyumbishwa na Wanasiasa. Kailima aliyasema hayo katika mafunzo kuhusu sheria za uchaguzi yaliyotolewa na Tume hiyo...
  17. Mindyou

    Pre GE2025 Uboreshwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura wakamilika rasmi mkoani Dodoma na Singida

    Siku ya jana Tume Huru Ya Uchaguzi ilikamilisha uboreshaji wa Daftari lake la kudumu lkatika mikoa ya Dodoma na Singida, ambapo uboreshaji katika maeneo hayo ulianza tarehe 25 Septemba 2024 na kumalizika rasmi tarehe 01 Oktoba 2024. Zoezi hilo lilianza rasmi mwezi Julai katika mikoa ya Kigoma...
  18. Erythrocyte

    LGE2024 Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura

    Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
  19. M

    Pre GE2025 Ungepata nafasi ya kuuliza swali kwenye tume ya uchaguzi ungeuliza swali gani?

    Ungepata nafasi ya kuuliza swali kwenye tume ya uchaguzi ungeuliz swali gani? Huenda wengi tuko na maswali ambayo tungehitaji kuyauliz kwenye tume ya uchguzi ila hatujui tunayauliza wapi. Basi ni vyema tutumie uzi huu kuyauliza hyo maswali, mimi nawaomba Mods wayakusanyanye wawape tume ya...
  20. B

    Pre GE2025 Tume yaviasa vyama vya siasa kutoingilia mchakato wa uboreshwaji wa daftari

    Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25, 2024 mkoani Mara. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Wawakilishi...
Back
Top Bottom