Wasalaam.
Ndugu zangu wadanganyika hakika sisi ni wadanganyika na tumekua tukidanganyika tangu kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa mwaka 1992. Hapo nyuma kulikua na chombo cha kusimamia uchaguzi kilichoitwa tume ya uchaguzi Tanzania ambapo viongozi wake wote walichaguliwa na mwenyekiti WA CCM...
Januari na Nape kuondolewa sio faraja kabisa kuelekea Uchaguzi,
Hivyo tutafakari ya mwaka 2015 walio yafanya tunaweza kujiuliza ni kweli wameondolewa au watanzania wamefanyiwa kiini macho,
Hao vijana ni hatari sana mfumo unaweza kuwa unahadaa umma sio rahisi kihivyo kabisa katikati ya nyakati...
Tume ya uchaguzi kumekuwa na ubabaishaji mwingi kwani yanayoendelea mengi ubabaishaji kuanzia upande wa vyakula mpaka malipo. Tukianza na upande wachakula kuna malalamiko mengi waseminishwaji wamenyeshwa chai na viazi mbatata na na kuna baadhi ya wilaya na makande.
Sasa sijui kiutaratibu...
Tume ya Uchaguzi ya Namibia (ECN) imeeleza wasiwasi wake kuhusu idadi ndogo ya watu wanaojiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi ujao ikiwa zimebaki wiki mbili tu.
Hayo yamesemwa na afisa mkuu wa uchaguzi wa ECN Peter Shaama katika mkutano na waandishi wa habari.
Bwana Shaama amesema...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Tabora na Katavi kuwa na ushirikiano kati yao, Serikali, Vyama vya Siasa na wadau wengine wa uchaguzi.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa)...
Tume ya Taifa ya uchaguzi (sina hakika kama ni HURU) mara zote tangu uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa kama ni sehemu ya wawezeshaji muhimu kwa CCM kushinda uchaguzi.
Watu wanaoheshimika wenye hadhi ya ujaji, hufanya mambo ya hovyo yanayowaaibisha ili mradi tu CCM ishinde uchaguzi.
Kuzuia utoaji...
1. Nitashangaa kama CHADEMA watashiriki tena uchaguzi ili waje kulalamikia tena Tume na Wasimamizi wa uchaguzi
(Wakurugenzi wa Halmashauri).
2. Hivi hamna strategy ya kufanya mchakato wa Katiba Mpya uendelee ili uchaguzi uwe huru? Chama cha upinzani mmepoa kama SACCOS.
Pia soma: Je, CHADEMA...
UTANGULIZI.
👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi.
👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
Tanzania tuitakayo ni nchi inayoongoza katika demokrasia na utawala bora barani Afrika. Ni nchi ambayo kila raia ana sauti katika kuchagua viongozi wake na kuamua mustakabali wa taifa lake. Ili kufikia Tanzania hii tuitakayo, tunahitaji kuboresha mfumo wetu wa uchaguzi kwa kutumia teknolojia ya...
demokrasia
gharama za uchaguzi
maendeleo endelevu
siasa na maisha
tanzania tuitakayo
teknolojia yauchaguzitumeyauchaguzi
ushiriki wa vijana katika siasa
ushiriki wa wanawake katika siasa
vyama vya siasa
Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko.
Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi.
Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio...
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi.
Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015 watujuze CCM ilipaswa kutumia mbinu gani 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu wa...
Habari,
Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti hii si rasmi.
Ukweli wake upoje?
Inasikitisha wakati kuna vijana wanahangaika mjini kutafuta ajira bila mafanikio ni dhahiri kwamba baada ya tangazo la tume ya uchaguzi kutangaza nafasi za kazi kwaajili ya uchaguzi mkuu wengi waliojitokeza kuomba ni waajiriwa tayari.
Wengi wao ni walimu na watendaji wa mitaa SERIKALI...
Salaam,
wazee wenzangu, Kwa akili ya Serkali na wanasiasa wa CCM ninaowaona kwa sasa na namna wanavyotuchukulia watanzania, tukiendelea kukomalia katiba mpya basi watatubadilishia tu jina na kuiita "KATIBA MPYA YA JAMHURI YA KUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2024"
Na kwa wingi wa Watanzania...
Wanabodi,
Haya ni mapendekezo yangu kwa miswada mitatu ya sheria ya uchaguzi, Sheria ya vyama vya siasa na Tume ya uchaguzi.
https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=lqufL6e34DyB2Gjr
Nilipendekeza
1. Sheria yetu ya uchaguzi tunayoitunga, ifuate katiba ya JMT ibara ya 5 na Ibara ya 21.
2. Ibara ya 5 ni...
Kumekuwa na dhana inayotengenezwa na serikali ya CCM kwamba kwa kuwa Mwenyekiti wa NEC ni mtu mwenye nyadhifa ya ujaji basi ni wazi kwamba maamuzi yote atakayoyapitisha yatakua ni haki,na hayapaswi kupingwa na mtu yeyote au chombo chochote.
Jamii inapaswa ielewe kwamba heshima ya maamuzi ya...
Wakuu waTume wamejiuzulu na kukiri wizi wa kura ,wakisadikisha kupora kura sahihi za wapiga kura 70000 za mgombea Uraisi Imran ambae hata hivyo ameibuka kidedea.
Wakuu hao wamesema amri za kubadilisha zilitoka kwa wakuu wa vyombo vya usalama.
Hapa kwetu wanaobadilisha ni hao wakuu wa Tume na...
Najaribu kutafakari mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, kisiasa na tume ya uchaguzi dhidi ya uchaguzi huru na haki, Najaribu kuoanisha na nguvu kubwa ya umma iliyo nyuma ya CHADEMA, Nazingatia pia usaliti mkubwa uliofichwa kwenye miyoyo ya wana ccm, Nasema hakuna namna tutakuwa na uchaguzi huru...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani jijini Dodoma leo tarehe 15 Februari, 2023 uchaguzi huo utafanyika tarehe 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.