Hatimaye Mwenyekiti wa ZEC amethibitisha kuteuliwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar.
=====
ZEC YAMPITISHA MAALIM SEIF KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imempitisha Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif kuwa mgombea wa Urais baada...
Haya haya haya Mwana FA usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.
Kazi unayo Mwanaccm uliyetaka kubebwa.
===
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana siku ya Tarehe 10 September 2020 ilitoa ilitoa majibu ya rufaa zilizokatwa na Wagombea mbalimbali ambao waliondolewa awali.
Katika Jimbo la Muheza...
Wapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) IWEKE HADHARANI MAJINA YA WAGOMBEA WETU WALIOKATA RUFAA
Chama cha ACT-Wazalendo kinaitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iweke hadharani orodha ya majina ya wagombea wetu wote wa Ubunge na udiwani ambao walikata rufaa kwake.
Hitaji hilo linatokana na taarifa ya...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Uchaguzi ndiyo hivyo unajongea kampeni nazo zinaendelea. Kila mtu na kila chama na lake.
Wakati wa teuzi palikuwa na fomu yenye kanuni za maadili ya uchaguzi. Nini contents za fomu hii?
Ilikuwa vyema kilichomo kikafahamika kwetu wapiga kura pia. Ili tuweze...
Hii ni aibu aisee, yaani inatia kinyaa sana niko namsikiliza anapiga kampeni Magu kila baada ya maneno matatu ni full kisukuma.
Haileti picha nzuri kabisa, kwa sababu kampeni inarushwa Tanzania nzima, sasa kusema kwamba kama anamwaga sera, mtu wa kule Tanga anamuelewa vip?
Huu ni udhaifu...
Aliyevaa koti ni Azizi Hamid Mahmoud, mtoto wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)
Huyu Azizi ambaye ni Mwanasheria, ndiye mshauri wa kisheria wa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.
Inasemwa kwamba...
1 September 2020
Dodoma, Tanzania
Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao"
Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi Katika Majimbo Mbalimbali Wamekutana Na Waandishi Wa habari jijini Dodoma Kuiomba Tume Ya Uchaguzi...
Tunaelewa JKT Wana miradi wanayosimamia na yawezekana wanalipwa kujenga majukwaa ya CCM kwa ajili ya kampeni. Ila huu ni uchaguzi na jeshi ni chombo neutral katika issue kama hizi, tuliona Dodoma magereza wakitumia wafungwa kufunga bendera za chama, leo Singida JKT wanaingia mtaani kutengeneza...
HABARI,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC mapema tarehe 25 Agosti 2020 ilimteua Ndugu MWAKASAKA BOAZ DONARD kuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Sauti ya Umma (SAU). Mwakasaka ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na Maendeleo ya kijamii ameahidi kutokomeza yote yaliyoshindikana katika...
Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi.
Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa.
Fedha kiasi...
WITO KWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUKUTANA NA CHADEMA NA ACT WAZALENDO KUTATUA TATIZO LA KUENGULIWA KWA WAGOMBEA.
Tarehe 29 Agosti 2020, nimetoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kukutana na Uongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo kwa lengo la kuzungumza na kutatua tatizo la kuenguliwa kwa...
Maalim Seif Hamad amesema kuwa Rais Magufuli akizungumza na balozi mwaka huu alimhakikishia balozi kuwa kutakuwa na uchaguzi huru na haki na wazi lakini amesema kwa sasa wananchi wanachokishuhudia ni tofauti kabisa na maneno hayo na si tu kwa Tanzania bara lakini pia hata Zanzibar unga umezidi...
Akizungumza na waandishi wa habari, ndugu Kigaila ameitaka NEC kurudisha wagombea wote wa Chadema walienguliwa kihuni.
Amesema kuna watu walitekwa na vyombo vya dola kama TAKUKURU ili wasirudishe fomu.
Kuna wengine walienguliwa kwa wakurugenzi kuharibu fomu zao kwa kuongezea maandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.