Kupitia akaunti ya twitter ya Tundu Lissu,nimeona video (bila shaka ni huko Kawe, Dar-es-salaam) inayoonyesha rundo la kura zinazidaiwa kuwa ni feki huku Polisi wakishirikishwa kuzitambua/ kushuhudia karatasi hizo za kura ambazo zimepigiwa kura mgombea wa CCM.
Video hii ni tofauti na ile...
Hii ni wiki ngumu kwa NEC na Wasimamizi wao wa uchaguzi kwa ngazi ya majimbo hasa katika suala la utoaji wa matokeo.
Kwa miaka kadhaa kuna dhana imejengeka miongoni mwa watu kwamba Rais alisikika akiwaonya hawa anaowateua halafu asikie wamemtangaza mpinzani.
Kwa upande wangu wasiwasi wangu uko...
Tume ya uchaguzi zipo taarifa za wakurugenzi kutoa taarifa zinazokinzana za vituo, muda na tarehe kuapishwa mawakala.
Tokeni adharani mweke ratiba wazi watu wasome nakuteleza. Itashangaza kusikia wapo mawakala wameshindwa kuapa. Ikumbukwe kwenye uteuzi figusu zilianza kama rumas lakini...
Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Kuaminika kwa mamlaka zote zinazohusika kwenye mchakato huu wa uchaguzi ilikuwa jambo la muhimu sana kwa amani yetu. Yote ni tisa, kumi ni kuaminika kwa tume ya uchaguzi ambayo haswa ndiyo yenye hii shughuli.
Ilikuwa ni jukumu la tume kuwahakikishia wadau wote...
Ratiba rasmi ya NEC toleo la 5 la Octoba 2 mwaka huu, inaonesha namna wagombea wa vyama vyote sehemu wanazotakiwa kuwepo kwenye mikutano rasmi ya kampeni. Lakini kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa ratiba hiyo kwa upande wa CCM na mgombea wake. NEC inaonesha kuigwaya CCM na mgombea wake.
Mara...
1. Tusimamie haki, tutende haki na tuhamasishe watu wetu kutotumia nguvu inayo dhuru mtu, ua watu , kupoteza watu na kuharibu uchaguzi. Toka tulipoanza na tulipofikia kuna matukio mengi tayari (kwa mujibu wa picha na malalamiko). Tunakokwenda na baada ya uchaguzi matukio hayo yasiwepo kamwe.
2...
Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini..
Tangu Mwanzo watu wamekuwa wakihoji Wapiga kura milioni 29 Tume iliwatoa wapi? Kwa sababu Kwanza muda wa kujiandikisha ulikuwa mfupi sana na Zoezi lenyewe lilifanyika kiholela holela tu...watu wengi, Hasa Wafanyakazi hawakuweza kujiandikisha.
Halafu...
Toka kampeni imeanza hawakuzungumzia wala kufuatilia wanayo yafanya Mawaziri, Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa, hawa watendaji wamefanya mengi sana wengine wamejihusisha nakuwaagiza wananchi kutowachagua wapinzani kama Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya alifanya kampeni kata hadi kata, alizuia...
Jaji Msataafu Thomas Mihayo ambaye ni Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amesema kuwa mpiga kura aliyehama sehemu aliyojiandikisha kupiga kura atatakiwa kusafiri kwa muda ili apate haki ya kupiga kura kinyume na hapo hatoweza kupiga kura
====
Leo asubuhi nemesikia kwenye redio ya East Africa, kwenye kipindi cha Supa Breakfast mambo ya tume ya uchaguzi ya kustaajabisha. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi akiwa Mara na kusema wagombea wanaotumia lugha ya matusi na uchochezi kwenye kampeni wataondolewa kwenye karatasi ya kupigia kura. Yaani...
KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais.
Wajumbe 15...
Nimemsikiliza mara nyingi sana tena kwa makini sana mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu, mara zote amekuwa akiisisitiza Tume ya uchaguzi nchini, iendeshe uchaguzi mkuu ujao, katika njia ya uwazi, Uhuru na Haki.
Amezidi kusisitiza kuwa wanachowataka Tume hiyo ya uchaguzi ni...
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni...
Jawabu ni CCM.
Je ni CCM pekee ? Tulikubali hilo na tukilikubali nini matokeo yake ?
Tegemeo kuu ni mwitikio wa wananchi katika majimbo yao majimbo ambayo kwa sasa inakaribia Tanzania nzima wananchi yameshaikataa CCM,uhakika ni kuzuka kufukuzwa wagombea wa CCM mchana kweupe,tumeona baada ya...
Mgombea Urais kupitia chadema amesema kuna hatua za kuchukua kabla ya kufikia hatua za kumuadhibu au kamati kufikia maamuzi, maswali yafuatayo ni ya kujiuliza ili tupate majibu:
1. Mgombea Urais anapo saini Fomu ya maadili, je ni chama, katibu wa chama au ni Mwenyekiti wa chama ndiye anakuwa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu
Kumekuwapo na malalamiko ya uvunjifu wa kanuni na sheria za maadili ya uchaguzi yanayofanywa na mgombea wa CCM yaliyowasilishwa kwenu rasmi.
Mgombea wa tume ameendelea kutofuata ratiba za kampeni, Majaliwa naye anaendelea akitumia raslimali za Serikali, kuita...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi.
============
Leo tarehe 02 Oktoba 2020 kamati ya maadili ya Kitaifa imesikiliza malalamiko dhidi ya Mgombea wa kiti cha Rais...
Kama yupo anaetutakia amani na nchi yetu kwenye kipindi hiki basi atusaidie kuifanya Tume ya uchaguzi isiyumbishwe na wanasiasa wote.
Afande Sirro ni msomi sana na muelewa, Maaskofu na Masheikh ni waelewa sana, wananchi ni wapenda amani na ni waelewa sana. Makundi yote haya washirikiane...
YAH: Upendeleo wa wazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu huu na kutumika kuwanyima wananchi haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa
Ndugu Mwenyekiti,
wakati Taifa lingali likiendelea na mchakato wa uchaguzi kuelekea katika tarehe yenyewe ya tukio la kupiga kura tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.