Wakati Tume ya Katiba ya judge Warioba ikikusanya maoni ya wadau mbalimbali nchini, Tume ya Uchaguzi iliweka wazi kwamba haipo huru na ikashauri ipewe uhuru wake ili iweze kutekeleza majukumu yake kwa uhuru na kuweza endesha chaguzi ambazo zitakuwa free, fair and credible.
Rasimu ya katiba mpya...
Kwa huu mtihani kabambe ambao jopo la watendaji wa Tume wakiongozwa na Majaji wenye weredi wa kutosha kushindwa kutafsri kanuni za uchaguzi na hatimaye Tindu lissu kuibuka kidedea kwa kuwapa darasa ambalo limekuwa funzo kwa Tume na kwa wagombea wengine. Hii ni dhahili tosha kwamba huyu jamaa...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya...
Kila mtu anashuhudia mambo yanavyoendelea, kwa uelewa wangu wa katiba ya nchi hii, mwenye kinga ya madaraka ni Rais pekee, He vipi kuhusu watendaji wa Tume ya uchaguzi, hawawezi kuburuzwa korotin kwa kukiuka Sheria na Kanuni za Uchaguzi zilizoweka kwa mujibu wa katiba ya nchi hii?
Nani mwenye...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
Kamwe haki na usawa haviwezi kuwepo kwenye uchaguzi wa nchi hii Hadi pale rais atakapo ondolewa mamlaka na madaraka ya uteuzi wa Tume ya Uchaguzi.
Nashauri yafanyike mabadiliko ya katiba, Tume ya Uchaguzi iundwe na bunge au na mahakama ili kuondoa malalamiko na watu kuona hawajatendewa haki.
CCM...
Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika
Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
chadema
eneo
jeshi
jeshi la polisi
kampeni
lissu
lisu
machozi
nyamongo
polisi
risasi
serengeti
serikali
tanzania
tarime
tumeyauchaguzi
tundu lissu
uchaguzi
vijana
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni
=====
=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
Nawaombeni Ndugu zangu mnieleweshe juu ya Sheria ya Uchaguzi inasemaje juu ya mawakala ya Vyama vya Siasa kwenye vituo vya kupigia kura. Leo nimemuona mgombea fulani wa Chama fulani akisema kuwa hakitaeleweka kuhusu mawakala wao kama hawataapishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliwasimamie kwenye...
Mgombea urais kwa tiketi ya CUF Prof. Ibrahimu Lipumba, amesema uchaguzi huu usiwe chanzo cha uvunjifu wa amani ya Tanzania.
Lipumba ametoa kauli hiyo leo septemba 24, mwaka huu kwenye mkutano wake wa hadhara wa kuomba kura katika uwanja wa changalawe uliopo mjini Kayanga wilaya ya Karagwe...
Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT Wazalendo kwa CHADEMA hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua lile na wala hatukuisikia tume ikinyanyua kidole juu.
Lakini hata hivyo sio lazima chama cha siasa...
Tume yetu ya uchaguzi imekua kimya sana kuchukua hatua kwa kauli tata zinazotoka kwa Wagombea katika uchaguzi huu. chaguzi hasa Barani Afrika hazijawahi kuwaacha salama waafrika na bila ya mifakano ya kutosha.
Inawezekana Imeshatoka miongozo mbalimbali lakini kadri tunavyozidi kufanya chaguzi...
MAPEMA Juma hili tumesikia baadhi ya vyama vya siasa nchini vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2020 vikitoa maneno makali dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kile ambacho wao wanasema kuwa Tume imekosa meno dhidi ya wanaokiuka Maaduili ya Uchaguzi.
Mgombea Urais kupitia Chama cha...
Baada ya wiki moja ya kampeni tumepokea taarifa mbali mbali za mienendo ya kampeni.
Kinachonifanya niandike huu uzi ni kitendo cha NEC kufumbia macho suala la wanafunzi kuamriwa kuacha masomo kwenda kuhudhuria mikutano ya kampeni.
Ni kweli kuwa baadhi ya wanafunzi wana umri wa kutosha kupiga...
Ulinzi wa mtu na mali zake ni jukumu linaloanzia kwa mtu mwenyewe baadaye jamii na kisha vyombo vya kiserikali.
Jukumu hili ni la msingi kikatiba, na kwa umuhimu wake naona ni vema Tume ya Uchaguzi NEC na ZEC zikawa bega kwa bega na Wananchi katika kuhakikisha wezi wa kura hawapati nafasi ya...
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"...
Katika taarifa yenu ya tarehe 11 September 2020, kipengele namba i Imekubali rufaa 34, kata ta Kamgambo (Karagwe) imetajwa mara mbili. Rekebisheni kosa hilo maana yawezekana mlikusudia kutaja kata nyingine iliyo Karagwe na hivyo muhusika wa kata hiyo (Kamagambo ya pili} hajajulishwa
au soma...
1. Nini tathimini ya Tume kuhusu mchakato mzima wa kupokea na kurudisha fomu za wagombea, mapingamizi na rufaa kwa wagombea hasa kwa nafasi za Ubunge na Udiwani?
2. Nini tathimini ya Tume kuhusu mapingamizi yoote yaliyowakiliishwa Tume kutoka kwa wasimamizi wa uchaguzi (Wakurugenzi) kwamba...
Siyo siri kuwa hizi njama zilizofanywa na hawa wasimamizi wa majimbo, ambao ni makada waaminifu wa CCM, kuwaengua kihuni wagombea wa vyama vya upinzani, kwa wingi na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha, kutakuwa kumewaongezea umaarufu mkubwa hao wagombea wa upinzani
Ni lazima hivi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.