Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya Uchaguzi iitwe jina gani, hivyo hakuna tatizo katika kubadili jina la sasa ambalo ni Tume ya Taifa...
Ndg zangu
Nimesomea political science eneo la PSPA.
Naomba kujua sifa gani kupata ajira tume ya uchaguzi.
Najua kazi zao ni
Majukumu
1. Kusajili vyama vya siasa na kuvifuta vile ambayo vimekiuka masharti ya usajili kw ujibu wa Sheria namba 5 ya mwaka 1992.
2. Kuratibu shughuli za Baraza la...
Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
Huu ni sehemu ya Mchango alioutoa Emmanuel Masonga Bungeni Dodoma alipokuwa anachangia kwenye Muswada wa Sheria za Uchaguzi .
Sheria ya sasa inataka aliyeenguliwa akate rufaa kwa Tume yenyewe .
=====
Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais....
Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni kuhusu fursa ya kuufanya uchaguzi Mkuu ujao wa Rais, Wabunge, Madiwani na serikali za mitaa utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki.
Kwanza tukubaliane katika uendeshaji wa nchi...
Tume huru ya uchaguzi iko wapi ikiwa kila kitu anachagua rais? directly or indirectly
At least nilitegemea kitu kama hiki..... to say the least Pascal Mayalla Erythrocyte johnthebaptist
20. The Swedish Election Authority is organised as follows:
21. The Election Authority is governed by a...
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA Zanzibar), Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar (WAHAMAZA), pamoja na Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), zikishirikiana na Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO)...
Imeelezwa kuwa Wizi wa kura ambapo Tume ya Uchaguzi Nchini humo ilimtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi ktk kinyanganyiro uchaguzi Wiki iliyopita.
Uchaguzi Nchini Gaboni uligubwikwa na fujo ma vurugu nyingi na vitendo vya uvunjifu wa amani dhidi ya Raia.
Aidha taarifa zinadai kuwa siku moja...
Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023...
Katika mkutano wa wadau wa demokrasia nchini ulioandaliwa na TCD. Joseph Selasini amesema Tume ya Uchaguzi iwe na fedha zake, iwe na watu wake na namna yake ya kuajiri badala ya kutegemea fedha kutoka hazina.
Aidha amesema suala la uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ufanyike kwa siku...
Kutokana na mahakama ya Africa kutengua wakurugenzi kusimamia uchaguzi Tanzania na kuagiza serikali kufanya marekebisho ya sheria ya uchaguzi ndani ya miezi 12 nilikuwa na mapendekezo yafuatayo.
Napendekeza tume ya uchaguzi iundwe katika mfumo ufuatao.
1. Tume iwe na wajumbe 10 ambao...
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai kiongozi huyo hajawahi kuwa na wadhifa mkubwa ndani ya chama.
Je ukweli ni upi? Tunaombeni muweke jambo...
Kiongozi huyo wa Upinzani unaoongozwa na Muungano wa Azimio la Umoja One, amesema maandamano ya kupinga Utawala wa Rais Ruto na Serikali yake yatafanyika leo Mei 2, 2023 licha ya Polisi kukataa kuwapa kibali.
Odinga amesema watawasilisha Pingamizi kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2022, Malalamiko...
Tume hiyo imeahidi kukabidhi mara moja vifaa vyalivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Februari 2023 kwa Vyama vya upinzani vya Labour na Peoples Democratic Party (#PDP) vinavyopinga matokeo ya uchaguzi huo.
Hatua hiyo ni baada ya Vyama hivyo kupata kibali cha Mahakama cha ufikiaji wa taarifa za...
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
Kwa sababu Mbowe alikuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa muda mrefu kwa kutegemea hiyo hiyo Tume anayosema siyo huru.
Kama Mbowe ameangukia pua Uchaguzi uliopita, siyo kosa la Tume kwa sababu Tume ilikwishathibitisha kwamba inaweza kufanya kazi efficiently.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.