Nianze kwa kusema siamini katika chama chochote, na nasikitika kwa kila kibaya kinachoendelea katika taifa hili....kama mmoja wa wananchi na mlipa kodi inauma kuwa wamekula kodi zetu kwq miaka yote tangu uhuru hadi sasa na hakuna aliyehangaika nao zaidi ya kuwasema tu....wamenogewa kiasi cha...
MKE wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbalimbali kutoka wizara ya Afya alipowasili katika kituo Cha Afya Cha mlandizi kilichopo Mkoani wa Pwani, (katikati) ni Waziri wa wizara hiyo, Jenista Mhagama.
Sophie anatarajia kutembelea kituo...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hivi vitu vitatu UVUMILIVU, UTULIVU NA AMANI, huenda vikawa na muonekano sawa katika umbile la nje kimtazamo ila kuna cha kujifunza katika kuelewa hasa hasa tunaposema tuna Amani.
Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
Yanayoendelea sasa hivi hapa nchini yamenifikirisha sana na kunikumbusha wakati wa ZCO ACP ya Abdallah Zombe.
Baada ya uchunguzi wa Tume ya Jaji ikagundulika kuwa wale waliouwawa na polisi eti ni majambazi walikuwa wafanya biashara na walichukuliwa na Polisi, kufungwa vitambaa machoni kisha...
Lete Computer yako mbovu tukutengenezee!
Tunafanya Services aina zote za Computers
Tunauza Spares & Accessories za Computer aina zote
Tupo Ilala Dsm
0718290779
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe.
Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
Bado tuna kazi ya kufanya inabidi tuzipige hizo 10% mfululizo
China NBS data
Annual GDP
China's Historical Nominal GDP for 1952–present[8]
(current price, revision based on the 4th economic census 2018)[9]
year
GDP
GDP per capita
based on mid-yr pop.[10]
Reference index...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema bado kuna fursa nyingi hapa nchini ambazo zikitumika vizuri zinaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumatano, Agosti 21, 2024) wakati akizungumza na mamia ya wadau na washiriki waliohudhuria tukio la USIKU WA UTALII...
VERSION 1
Nikiangalia maamuzi ya viongozi wetu yanavyotughalimu, yanavyoighalimu nchi; matumizi mabaya ya hela za walipa kodi ambazo zingepelekwa kenye kuboresha maisha yao, mikataba mibaya tunaishia kulipa matrilion ya faini, maliasili za nchi kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa wageni kwa manufaa...
Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
We Mama Njoo
Njoo Uone Nchi Ilivyobadilika
Tanzania Ya Leo Oooh!
Imejengwa Imejengeka
Pita Ubungo Tazara
Za Juu Barabara
Tayari Zinatumika
Reli Yenye Viwango Bora Standard Gage
Karibu Inakamilikaa!
Tanzania Ya Sasa Mama
Aii Mama!
Ya Magufuli Mama
Aii Mama!
Ina Wakawaka Mama
Aii Mama!
Inapendeza...
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League bali pia inaenda kuwa Bingwa wa CAFCL na tukienda katika Mashindano ya Vilabu duniani Yanga SC tena...
Amos Makalla, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi na Mafunzo amesema Chama chake kina taarifa ya kinachoendelea Nchini Kenya (kuhusu maandamano) na kuna jambo ambalo wao wanajifunza katika kuwatumikia Wananchi
Amesema hayo wakati akizungumza katika Kipindi...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga...
Wakuu mi huwa napenda kufatilia mambo ambayo hayafuatiliwi na watu wengine.
Hii jamii ya pygymies inayopatikana tanzania ni ipi?
Ndugu zangu waha mnisamehe nauliza tu maana waha wengi ni wafupi sana.
Ni kwa ajili ya kujifunza
Mfano jamii za pygmies kwene nchi mbalimbali
Rwanda na Burundu...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao.
Rais...
Natamani kufuga sangara ila vifaranga vya sangara sijui nitawapatia wapi? yeyote wakunieleza nakaribisha kwa moyo wote.
Na kama hakuna anae uza kwanini mtu asianze utafiti na kuzalisha vifaranga vya vya sangara atuuzie sisi wafugaji?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.