Pamoja na yanga kufanyiwa mtimanyongo kwenye goli la Aziz Ki,
Lazima tukubali kuwa timu zetu za Tanzania zina udhaifu mkubwa kwenye upigaji penati.
Inafika hatua, tukifika kwenye mikwaju ya penati tunahesabu kuwa tumeshatolewa tayari na mara nyingi tunashinda pale ambapo kipa atasave mikwaju...
Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na uchumi mkubwa
Tumeshindwa kuendesha bandari zetu wenyewe, mbuga zetu tunawapa wageni, Bado tutawapa...
Mzuka wanajamvi.
Watanzania wengi na waafrika kwa jumla kusini mwa jangwa la Sahara tumshukuru Mungu kwa kutufanya kuwa maskini hadi kutoweza kumudu kula milo mitatu kwa siku.
Hii ni advantage kwetu na imetufanya Tuwe na afya bora na kufanya kinga za mwili zetu ziwe thabit.
Professor Janabi...
Mimi najua mtu ukiashapata pesa huwezi kushaurika wala kukubaliana na wenzako uliowapita, hili ni kwa asilimia kubwa ya matajiri wanaozidi kuongoza gurudumu.
Kisa kilicho nileta hapa kuna jamaa alisikia tetesi ile nyumba inauzwa muda wowote ila kutojulikana siku, yeye akachukua maamuzi ya...
Mahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu.
Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi hizo kwa kukosa uwezo.
Hivi inakuwaje kwenye nchi tena yenye miaka zaidi ya 60 ya uhuru watu...
WAKILI mahiri na msomi kweli kweli. Pia shangazi wa taifa, Bi Fatma Karume, amesema kuwa hatuna utawala wa sheria Bali tuna watawala wa sheria.
Hii inamaana gani kwamba nchi inaendeshwa kwa matakwa ya watu na sio kwa majibu wa sheria. Kwa maneno mepesi ni kwamba watawala au watu wenye...
Naona kuna habari za EAC kuwa na sarafu moja. Kwa mipango ya EAC leo hii tayari tulitakiwa kuwa na sarafu moja. Lakini kiukweli ni ngumu sana kuwa na sarafu moja bila ya kuwa na shirikisho la kisiasa. Jambo hilo limewatesa na linazidi kuwatesa Umoja wa Ulaya.
Nchi huwa zinashindana kibiashara...
Uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa upo kwa wageni. Yes! Matajiri wengi waliopo Tanzania sio watanzania kwa asili, wengi wana asili za nchi nyingine. Hii ni kwasababu hatuna akili za biashara kabisa. Niliposoma gazeti hili la majira kuhusu sakata linaloendelea ndio nikaona shida zaidi.
Agha...
Wengi huwa tunajidanganya ya kuwa rafiki yangu ni fulani na fulani; ila kiukweli yule si rafiki bali ni mtu uliyemchagua tu ili kubadilishana naye mawazo.
Kwa umri wa chini ya miaka 40 ni vigumu kuukubali huu ukweli; kwa sababu ni kundi lililopo kwenye ujana na mitindo ya kisasa; ambalo ni...
Mimi Wadiz nawasalimu na hapa chini ni ujumbe wangu kwenu wenye kupangia watu maisha.
Wanawake wanatakiwa kujua sisi wanaume ambao hatutaki kuoa hatuna sifa ya husband material kabisa.
Ndiomana wengi wetu pia hatutaki single mothers kwa sababu hatutaki kubeba majukumu ya wengine.
Sisi...
Hii mada imenifikirisha sana maana ule msemo wanaume tunawai kufa mapema ni kweli kabisa tena ukiwa na majukumu mazito ya kujenga familia mpaka nchi.
R.I.P wote wasio viongozi na viongozi
Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa.
Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024...
Kuna mambo yanayogusa maisha ya wananchi ya kila dakika. Suala la mgao wa umeme, miundombinu ya maji kuharibika na kutokutengezwa kwa haraka ili kurejesha huduma, barabara mbovu, dawa hospitalini, nk. siyo vitu vya kusubiri sijui mpaka rais aje avitolee maelekezo au kuwajibisha watendaji wake...
Leo Jumatano 24.01.2024.
Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania
Kikosi cha Tanzania
Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo
Mpira Umeanza...
Tanzania...
1.Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa.
5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine...
Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?
Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.